. Profile picture
Dec 27, 2021 4 tweets 2 min read
Unatumiaje Whatsapp kwenye Device zaidi ya moja huku Source ikiwa Offline??

Pitia hapa Fungua whatsapp yako kisha navigate kwenye Menu and click Linked Devices

Itakuja Menu kama hio hapo chini.
Unaweza kutumia mpaka kwenye 4 devices huku simu yako iko offline
Jun 11, 2021 9 tweets 3 min read
Startup in Hacking

#UZI

Hacking ni kitendo cha Kufatuta Madhaifu katika system.

Hacker - Mtu anaetafuta Madhaifu kwenye System

Aina za Hackers

White Hat : Hackers wanaotafuta madhaifu kwenye system na Kutoa report kwa System administrators ili Madhaifu yaweze kukarabatiwa BlackHat - Aina ya Hackers Ambao wanatafuta madhaifu kwenye System na kuyatumia kwa Maslahi yao Binafsi

GreyHat- Aina ya Hackers ambao huwa na sifa za BlackHat na WhiteHat hackers

Note: hacking sio illegal, ila Kuhack bila ridhaa ya individual ni illegal
Jun 10, 2021 6 tweets 3 min read
Jinsi ya Kusurf DarkWeb
#Uzi

1. Download VPN.
Virtual private Network itasaidia kunye kuhide identity yako kwa zaidi ya 20%

2. Download TOR browser
Hii ni special browser inayotumia TOR (The Onion Router)

Ni special kwa ajili ya Kusurf darkweb na Deepweb. Inafanya kazi katika layers kama Kitunguu inasaidia kwenye kuhide identity kupitia relays (relays)

3. Tumia search Engine kama Duckduckgo au Startpage

5. Search for Hiddenwiki au bookmark link ya hiddenwiki ambayo ni latest

6. Ingia katika Tovuti unayotaka kuna Tovuti za kutosha