SANUKAnaCHAPO Profile picture
| Storyteller | Owner @usedpointtz | SON OF BONGO FLEVA | THE WALKING MEDIA | Binamu wa BARAKA MAVIATU |

Jul 27, 2021, 9 tweets

MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA KESI YA KUBAKA.

Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa(kipindi hujaja mjini πŸ˜‚) msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze.πŸ‘‡ UZI

Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na πŸ‘‡

Msanii huyo, huyu binti alikuwa form 2 kipindi hicho akiwa anasoma shule ya sekondari ya kishua kidogo ile wanayovaa nguo za rangi ya damu ya mzee chini na juu shati zao nyeupe ila kama chafu(waliamua tu kujitofautisha na watoto wa umbwa πŸ˜€)

Turudi kwenye kisa hasa cha storyπŸ‘‡

Basi yule binti alikuwa ni mkali sana so msanii akajiongeza ikawa ni mwendo wa majoka na kula bia ila mchizi akiwa na mwanae mtoto wa mdosi mmoja jina la mwisho anafanana na Rais wa chama cha soka wa zamani wakawawekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji(natumia wingi hapa....πŸ‘‡

Sababu yule Vero alikuwa na rafiki yake jina lake ni Piru(sio jina halisi ila linaendana na jina halisi huyu dada ni pini hatari sana hachuji hadi leo yupo mitaa ya Mikocheni ni mtoto flani wa Kingazija)

Mabinti baada ya kuwekewa unga kwenye kinywaji😧😳 wakalewa jamaa wakaπŸ‘‡

Kakamata manzi wakaenda kupiga, kumbuka mademu walikuwa hawajitambui hivyo waliwala bila idhini ya wale mademu so kesho yake ndio mtiti ulipotokea kwani mademu kurudi home asubuhi wanalia wanasema wamebakwaπŸ™„ wazee wao wakawaka ikumbukwe ni watoto wa kota za Msasani kama mtoto πŸ‘‡

Wa mjini unajua msasani zile kota wanaishi wakina nani 😎

Wazee wakaungana wakiongozwa na IGP wa wakati huo msanii na mwenzake wakatiwa ndani.😰 kwa kesi ya kubaka(miaka yake inajulikana).

Msanii analia tu maana simu za show promota anamtafuta msanii yupo nyuma ya nondo.

πŸ‘‡πŸ‘‡

Ngoma ikakata kama wiki hivi ndipo malaika wa kheri akawashukia baada ya mtoto mtukutu wa IGP kipindi icho akijulikana kwa jina la pua(jina la utani la huyo dogo) akaenda kuwaombea msamaha kwa mshua na sababu hasa ni kuwa jamaa ni wanae sana ila pia kwenye kesi mmoja ni mtoto πŸ‘‡

Wa dingi anaheshima na ni fogo mitaa hiyo so ikabidi wakae chini kama familia wazee kuyamaliza ukizingatia hao mabinti kwao walishindikana so ikawa kidogo rahisi msamaha kutokea ila kama si hivyo msanii wetu angekuwa jela siku nyingi.

#CodeZaChapo #ChapoWasHere #SanukaNaChapo

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling