SANUKAnaCHAPO Profile picture
Jul 27, 2021 9 tweets 4 min read Read on X
MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA KESI YA KUBAKA.

Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa(kipindi hujaja mjini 😂) msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze.👇 UZI Image
Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na 👇 Image
Msanii huyo, huyu binti alikuwa form 2 kipindi hicho akiwa anasoma shule ya sekondari ya kishua kidogo ile wanayovaa nguo za rangi ya damu ya mzee chini na juu shati zao nyeupe ila kama chafu(waliamua tu kujitofautisha na watoto wa umbwa 😀)

Turudi kwenye kisa hasa cha story👇 Image
Basi yule binti alikuwa ni mkali sana so msanii akajiongeza ikawa ni mwendo wa majoka na kula bia ila mchizi akiwa na mwanae mtoto wa mdosi mmoja jina la mwisho anafanana na Rais wa chama cha soka wa zamani wakawawekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji(natumia wingi hapa....👇 Image
Sababu yule Vero alikuwa na rafiki yake jina lake ni Piru(sio jina halisi ila linaendana na jina halisi huyu dada ni pini hatari sana hachuji hadi leo yupo mitaa ya Mikocheni ni mtoto flani wa Kingazija)

Mabinti baada ya kuwekewa unga kwenye kinywaji😧😳 wakalewa jamaa waka👇 Image
Kakamata manzi wakaenda kupiga, kumbuka mademu walikuwa hawajitambui hivyo waliwala bila idhini ya wale mademu so kesho yake ndio mtiti ulipotokea kwani mademu kurudi home asubuhi wanalia wanasema wamebakwa🙄 wazee wao wakawaka ikumbukwe ni watoto wa kota za Msasani kama mtoto 👇 Image
Wa mjini unajua msasani zile kota wanaishi wakina nani 😎

Wazee wakaungana wakiongozwa na IGP wa wakati huo msanii na mwenzake wakatiwa ndani.😰 kwa kesi ya kubaka(miaka yake inajulikana).

Msanii analia tu maana simu za show promota anamtafuta msanii yupo nyuma ya nondo.

👇👇 Image
Ngoma ikakata kama wiki hivi ndipo malaika wa kheri akawashukia baada ya mtoto mtukutu wa IGP kipindi icho akijulikana kwa jina la pua(jina la utani la huyo dogo) akaenda kuwaombea msamaha kwa mshua na sababu hasa ni kuwa jamaa ni wanae sana ila pia kwenye kesi mmoja ni mtoto 👇 Image
Wa dingi anaheshima na ni fogo mitaa hiyo so ikabidi wakae chini kama familia wazee kuyamaliza ukizingatia hao mabinti kwao walishindikana so ikawa kidogo rahisi msamaha kutokea ila kama si hivyo msanii wetu angekuwa jela siku nyingi.

#CodeZaChapo #ChapoWasHere #SanukaNaChapo Image

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with SANUKAnaCHAPO

SANUKAnaCHAPO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @chapo255

Sep 7, 2023
NJIA 10 ZITAKAZO KUKUSAIDIA KUIBA PESA NYINGI, KUTAKATISHA PESA NA KUTOROKA USIKAMATWE.

1. Pesa iwe inakulipa kweli
Hakikisha pesa unayotaka kupiga hata likibumbuluka ina kuwa na thamani ya kuharibu kweli maisha yako hata ukienda jela nafsi haikuumi ila pia unaweza kuhonga na kuendesha kesi?
Image
2. Nani atatakatisha pesa?
Huwezi kupiga mabilioni ya pesa then ukataka uyabebe uondoke nayo kama fala 😂
Utakamatwa mchana kweupe .

Unatakiwa upate mtu wakuziweka pesa kwenye mzungungo… hapo ndipo nahitaji watu wa aina 2 kwanza mbongo ambaye ataziingiza pesa kwenye 👇 Image
Mzunguko ili ionekane ni pesa halali hapo ndipo unahitaji watu wanaitwa “Mapapaa” mafundi wakuingiza pesa kwenye mzunguko hata uwe na kiasi gani cha pesa wao wanataka chao mezani tu ndio muhimu.
Kama unataka pesa zako zote ziende nje ya nchi hapo utahitaji mtu anaitwa👇
Read 7 tweets
Nov 5, 2022
Nimefanikiwa kunyaka copies za mkataba wa wasanii hawa na Konde Gang unaonyesha kuwa wote kwa pamoja walikubaliana kutofata masharti ya mkataba wao hasa kifungu namba 15(a)(b)(c) cha mkataba wao wa tarehe 31/08/2020.

🧵shuka nao👇 Image
Stori kamili iko hivi…
Kumbuka wasanii hawa waliingia mkataba wa miaka 10 na lebo hiyo tajwa hapo juu
na endapo Kama Konde Gang wangevunja mkataba na moja ya wasanii hao basi walipaswa kumlipa kiasi cha milioni 10 kama fidia.

Ikumbukwe Konde Gang ndiyo iliomba kusitisha mkataba Image
na wasanii hao, waliwaita chini na kukubaliana kuwa mkataba uvunjwe kwani lebo hiyo haikuwa na haja ya kuendelea na wasanii hao, wasanii waliomba kama mkataba ungevunjwa basi vipengele muhimu vizingatiwe ikiwemo fidia ya pesa.

Wasanii wao kupitia mwanasheria wao walitinga Image
Read 7 tweets
Nov 4, 2022
ZUCHU ALIVYOMPA CONNECTION DIAMOND KWA MPOMPO.

Mwezi wa 4 mwaka huu ilirekodiwa ngoma ya Zuchu ft. Adenkule Gold, Love, hii ngoma ishatoka na tukaizungumzia kidogo hapa ila hilo si swala, nachotaka kukusanua ni kwamba 👇

🧵 Image
Namna wimbo wa Sona wa Diamond Platnumz ft Adekule ulizaliwa, yani bila Zuchu kufanya hii kolabo ya Lobe na Adenkule basi Diamond asingefakisha Sona kwa urahisi Sona.

Kabla sijaendelea nakukumbusha kupitia @usedpointTz kuna laptop na simu za bei nafuu sana.

Shuka nayoo👇 Image
Zuchu alikuwa na ushikaji na Adenkule, kuna kipindi Ade alikuwa ana comment kwenye posts za Zuchu kama celebs wengine wa Naija, mazoea yakaongeza ukaribu baina yao hao wawili

Kwahiyo huo ndio ukawa mwanzo wa kupatikana kwa wimbo wa Sona wa Diamond, sababu ni Zuchu ndiye alieye Image
Read 4 tweets
Jan 8, 2022
KWANINI COUNTRY BOY AMEONDOKA KONDE GANG?

Tetesi ni kuwa DSM Boy, Chido na Killer hawapo sawa na management yao ya Konda Gang inayoongozwa na Chinga.

Kwanini? Nimeweka uzi mfupi kukufafanulia ili usibaki na maswali.

@usedpointTz @Chapo_Porkpoint

#UZI 👇 Image
Kama nilivyoeleza hapo juu hizi ni tetesi si habari ya uhakika hadi pale wenyewe watakapo thibitisha, naomba kwasasa ichukulie kama tetesi.

Za ndaaaaani kabisa zinadai kuwa kabla DSM Boy hajaingia Kondi Gang alipata bahati ya kufanya ngoma na msanii mkubwa Tanzania👇
Sitomtaja jina ila nilishawai kuandika hapa msanii DSM Boy ndoto zake zilikuwa kufanya kazi na nani.

Alipoingia na kusaini mkataba na Kondi Gang aliambiwa apeleke mezani ngoma alizonazo na moja wapo ni hiyo collabo na msanii mkubwa Bongo.
Menejimenti wakaigomea ngoma kwamba👇
Read 8 tweets
Aug 20, 2021
MSANII WA HIPHOP ‘CLASS’ ALIEKATAA DILI LA MILIONI 300.

Wakati msanii wa Hiphop “class” anaachia ngoma yake pendwa alikuwa on top kiasi cha kukataa show kibao kutokana na ufinyu wa muda yani jamaa ilifika kipindi anafanya show leo na kesho ana show 👇#UZI Image
Sehemu nyengine yani back to back, kwa mujibu wa meneja wake anadai jamaa aliwai kataa show ya milioni 16 😳.

Ikafika kipindi kampuni ya simu ya TigoU katika nchi ya Stanza ilimtaka jamaa awe balozi wa kampuni yao na dau lao lilikiwa milioni 300 kwa mwaka 😋.

Japo jamaa 👇 Image
Alikubali ila baada ya kusikia kuwa mchekeshaji ambae ni balozi wa kampuni hiyo analipwa 300M kwenye mkataba wake jamaa akataka dau kubwa zaidi hapo ndipo waliposhindwana na kampuni ya simu ikaona single moja haiwezi kuwa na thamani ya zaidi ya 300M bora tu waachane nae, yaani👇 Image
Read 5 tweets
Aug 18, 2021
SARAPHINA WA BSS

Nimemsikiliza mikwaju yake mipya kadhaa, itoshe kusema ni msanii wa kumuangalia sana 2022 ana hela zake nyingi.

Ni full package ya msanii, anajua kuimba,kucheza na kutawala jukwaa na kingereza kimelala, hata siku akifanikiwa kwenda kimataifa haitaji👇#UZI
RASI SIMBA wakumfundisha kinge.

Bongo fleva ina uhaba wa wasanii wakali wa kike yaani wanahesabika kabisa na hawazidi hata 10 hivyo ujio wake Saraphina itoshe kusema sio tu anaongeza namba ya wasanii wa kike kwenye kiwanda bali anaongeza ushindani na list ya wasanii wa kali.👇
Nikisikia nyimbo zake kama SIO KITOTO,SINGO,IN LOVE na SITAKI TENA unamsikia Vanessa Mdee kwa mbali hii inanifanya masikio yangu yanayo miss ngoma za V-Money yapate tiba kutoka kwa Saraphina.

Kwasasa Saraphina yupo chini ya Maneja mwenye uzoefu na muziki wa bongo anaejulikana👇
Read 4 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us!

:(