SANUKAnaCHAPO Profile picture
| Storyteller | Owner @usedpointtz | SON OF BONGO FLEVA | THE WALKING MEDIA | Binamu wa BARAKA MAVIATU |

Aug 20, 2021, 5 tweets

MSANII WA HIPHOP ‘CLASS’ ALIEKATAA DILI LA MILIONI 300.

Wakati msanii wa Hiphop “class” anaachia ngoma yake pendwa alikuwa on top kiasi cha kukataa show kibao kutokana na ufinyu wa muda yani jamaa ilifika kipindi anafanya show leo na kesho ana show 👇#UZI

Sehemu nyengine yani back to back, kwa mujibu wa meneja wake anadai jamaa aliwai kataa show ya milioni 16 😳.

Ikafika kipindi kampuni ya simu ya TigoU katika nchi ya Stanza ilimtaka jamaa awe balozi wa kampuni yao na dau lao lilikiwa milioni 300 kwa mwaka 😋.

Japo jamaa 👇

Alikubali ila baada ya kusikia kuwa mchekeshaji ambae ni balozi wa kampuni hiyo analipwa 300M kwenye mkataba wake jamaa akataka dau kubwa zaidi hapo ndipo waliposhindwana na kampuni ya simu ikaona single moja haiwezi kuwa na thamani ya zaidi ya 300M bora tu waachane nae, yaani👇

Deal ikaishia hapo na class akakosa hilo deal 😭😭

Naweza sema kwa lugha ya kitaalam ya kibiashara ya muziki kuwa class wimbo wake haukumnufaisha kama ilivyopaswa, jamaa alipata pesa nyingi sana ila kama kichwa kingetulia kuna hela nyingi sana angezipata na kwakujua👇

Ama kutokujua japo wenyewe wanasema kukataa deal ya chini ndio kujua thamani yako 😂.

Oyaa niishie hapa kwa leo nisije kubwabwaja sana nikatoa siri za ndani.

#ChapoWasHere #CodeZaChapo #SanukaNaChapo

Share this Scrolly Tale with your friends.

A Scrolly Tale is a new way to read Twitter threads with a more visually immersive experience.
Discover more beautiful Scrolly Tales like this.

Keep scrolling