My Authors
Read all threads
BURNA BOY Part2.

Msanii wa Nigeria Burna Boy amebaniwa kuingia nchini UK kwa miaka 15 hii ni kutoka na kuhusika na kifo cha mtu ambae aliuwawa na moja ya watu wa genge la kihuni ambalo Burna Boy alikuwa akijihusisha nalo nchini uingereza

Tukio hilo likitokea 2013 Image
December nakufanya kupigwa mvua ya miaka kadhaa ila baada ya miezi 11 aliachiwa na kupewa adhabu kifungo cha nje cha miezi 2 akitakiwa kufanya huduma za kijamii ila kurekebisha tabia ila jamaa akatoroka na kurudi Nigeria ambapo alisainiwa na record label ya Aristokrat Records . Image
Mkulungwa Burna Boy alijisahaulisha na kusafiri tena kwenda nchini Uingereza alipofika Airport alizuiliw na kurudishwa Nigeria na kuambiwa haruhusiwi tena kuingia nchini UK kwa kipindi cha miaka 15. Tukio la pili likitokea. Mwaka 2017 November mkulungwa Burna Boy Image
Alihusishwa na polisi kama master mind wa tukio la ujambazi la kupola pesa kwa tajiri mkubwa nchini Nigeria Mr 2Kay kwenye hotel kubwa ya Eko Hotels & Suites. Burna boy alikuwa mtukukutu sana miaka ya nyuma kabla ya kutulia 2018. Image
Mfano mwaka 2015 Burna Boy aliteka vichwa vya habari baada ya kupigana na msanii wa dance hall wa Zimbwe aishie nchini South Africa katika halfla moja nchini Afrika kusini.

Mwaka huo huo Burna Boy alitishia kumuua mwandishi mmoja wa blog ambaye aliandika habari za Image
Uongo zilizo mkela Burna Boy na ku tweet “These bloggers be writing shit thinking its a game until I see yall face to face one-day nd hospitalize or murk u. We gon meet 1day #onsight"

Mwaka 2015 ulikuwa mwaka wa mambo mengi kwani Mjuba alipost instgram picha mbili akiwa Image
Ameshika bunduki ambalo ni kosa kwa sheria za Nigeria kwenye makosa ya kimtandao kwa kuashilia matumizi mabaya ya silaha pia alishawai kuhusishwa na tukio la kumchapa vibao mfanya kazi wa kumbi za cinema ujulikanao kamaSilverbird cinema, Port Harcourt nchini Nigeria. Image
Burna Boy ni kati ya wasanii wenye mkwanja mrefu kwa sasa Afrika ila ni mtu mwenye matumizi makubwa sana ya pesa kama kununua magari mengi ya kifahari kwa muda mfupi na matumizi mengine yasiyo na lazima.

Written by: @chapo255

Pia tupo instagram : @chapo_255

#Sanakunachapo Image
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with #SANUKAnaCHAPO

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!