My Authors
Read all threads
Leornardo Da Vinci mchoraji mwenye michoro maarufu isiyochuja ulimwenguni alimchora Monalisa mke wa tajiri wa Italia, aliweka nembo zinazotambulisha picha zake kwa usiri mkubwa sana.
Leonardo Da Vinci alizaliwa huko Vinci Toscana nchini Italia, 15 Aprili 1452 na alifariki akiwa hajamaliza mwaliko aliopewa na mfalme wa Ufaransa katika mji wa  Amboise, 2 Mei 1519.
Mwaka 1514 alimtembelea tajiri mmoja ajulikanae Florentine ambaye alimtaka Leornardo Da Vinci amchore mke wake mrembo Lisa Gherardini kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa. Kwakua mtu huyu alikuwa mashuhuri basi LD hakukataa kabisa.
Alianza kazi ya kuchora kwa umakini mkubwa mpaka alipomaliza kazi ya awali ambayo ilikuwa rahisi kwake lakini ilimchukua miaka minne kuleta uhalisia.
Picha ya Monalisa ilikuwa ndio kazi iliyopendwa sana na Da Vinci hakuwahi kuiacha, kokote aendako mkoba wake kwapani...
Mwaka 1516, Leonardo alikwenda Amboise, Ufaransa, baada ya kupata mwaliko kutoka kwa mfalme Fransisko I. Kati ya mizigo aliyosafiri nayo ulikuwemo mchoro maarufu wa Monalisa.
(Picha ya Mfalme)
Leonardo aliishi mjini Amboise, katika nyumba yake nzuri aliyopewa na Mfalme huyo wa Ufaransa, miaka yake ya mwisho, toka mwaka huo mpaka mwaka 1519.
Afya yake haikuwa nzuri kwa sababu alipatwa na ugonjwa wa kiharusi toka mwaka 1517.
Picha zake: Monalisa, Last Super, The Vitruvian Man na picha aliyojichora mwenyewe ndio picha maarufu sana Ulimwenguni.
@threadreaderapp unroll this please
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with MSAFIRI

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!