My Authors
Read all threads
Wakati fulani ulipokwenda famasi kununua dawa, inawezekana ulipewa brand tofauti ya ile uliokua unahitaji. Swali ni je, dawa hizo ziko sawa na zinafanya kazi sawa? Fuatilia #Uzi kwa majibu na ushauri.
Kwa kuwa zoezi la kutengeneza dawa ni zoezi lefu linalotumia gharama nyingi kwenye utafiti, Kampuni mgunduzi( innovator ) hupewa "patent" yaani kuwa wauzaji pekee wa dawa husika ili kurudisha gharama zilizotumika wakati wa utafiti.
Baada ya patent kuisha, Makampuni mengine hurusiwa kutengeneza dawa hiyo Ila watapaswa kuthibitisha dawa yao ina tabia sawa ile ya Kampuni mama ( innovator brand).
Dawa hutengenezwa kwa kiambata hai(active pharmaceutical ingredient) na viungo vingine(excipients) vinavyofanya dawa ionekane kama inavyoonekana.
Hivyo basi alternative brands zina kiambata hai sawa lakini zinaweza kutofautiana kwenye excipients ambayo inapelekea kuwepo kwa utofauti katika rangi, ladha na hata vifungashio( packaging).
Kwa hiyo , hakuna utofauti endapo utapewa brand tofauti na ile uliohitaji Ila cha muhimu ni kuhakikisha kiasi cha kiambata hai kiko sawa katika brand hizo husika, mfano Azithromycin 500 mg inapatika katika brands tofauti tofauti kama Azuma, Zaha na Azicure.
Hata hivyo kwa magonjwa sugu ( Chronic Illnesses) kama Shinikizo la juu la damu na Kisukari inashauriwa mgonjwa akatumia brand moja pekee wakati wote.
Kwa kuwa patent nyingi zinaisha muda wake, alternative brands nyingi zitakuepo sokoni kwa bei tofauti. Uliza kwa mtoa huduma wako na atakusaidia kuchagua brand gani itakufaa zaidi kulingana na hali yako ya kiafya.
@threadreaderapp unroll tafadhali.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Paulyn

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!