Kuna free short courses kibao YouTube. Skills ambazo zinanipatia hela leo nimejifunza zaidi ya miaka sita nyuma.
Hii sio motivational speech ni reality. START NOW!
youtube.com/c/JohnCrestani
youtube.com/c/JoshRyan
youtube.com/channel/UCaJ-3…
youtube.com/channel/UCFjP-…
youtube.com/c/CurbFrontSka…
youtube.com/channel/UCFBud…
Chagua kitu kimoja tu cha kujifunza, kielewe, kifanyie kazi then nenda kwenye kingine. Example unataka kujifunza Affiliate Marketing Komaa na hio hio.