My Authors
Read all threads
NJIA (Business Models) 10 ZA KUPATA PESA ONLINE. UZI Nimeshindwa kupata kiswahili cha Business Model (Mtanisaidia) Kwa uzoefu wangu watu wengi wanapotaka kuanza kufanya biashara Online or Offline. Hua wanafikiria njia moja au Mbili. #GillMadini
Kununua Bidhaa kutoka sehemu fulani au Kutengeneza hio bidhaa na kuiuza dukani or ikizidi sana mtandaoni kupitia Instagram au Facebook wachache kwenye website. Leo nimewaletea Business Models zingine 10. Ambazo unaweza kutumia kupiga hela.
Tukirejea kwenye UZI nilioandika mara ya mwisho. Kama bado haujausoma tafadhali usome Halafu rudi kumalizia Uzi huu. Leo nitatoa mfano wa wazo moja la biashara mbalo unaweza tumia njia zaidi ya 10 (10 Business Models) tofauti kuweza kufanikisha kujipatia pesa.
Kwa nini tunatakiwa kujifunza kuhusu hizi business modes? Kila mtu ana mfumo wake wa maisha, ujuzi pamoja na interest zake. Mfano wewe ni mwajiriwa unaingia kazini asubuhi mpaka saa moja jioni. Ukitaka kufanya biashara ya aina flani itakua ngumu kwako
Kuna watu hawapendi kukaa/kuishi eneo moja (dukani), wengine wanapenda kutumia internet, wanapeonda kuandika, kuongea, kufundisha, nk. Kuna watu wana mitaji ya biashara na wengine hawana. Hizi zote zitakusaidia kuchagua business model gani utumie kwenye kuanza biashara yako.
Mifano yangu ya leo nitatumia eneo moja la Health. Eneo hili ni most profitable kwa sababu Haijalishi mtu ana status gani, atahitaji kua na furaha na afya na mtu yupo tayari kununua bidhaa au huduma ambayo itamsaidia kutimiza hilo.
Kumbuka sio lazima uwe professional au expert kwenye hili eneo ili uweze kupiga hela. Unaweza kushare your own experience, Ukafanya research na ku share information umezipata kutoka sources zingine, Unaweza kumfanyia mtaalam interview, nk. Soma zaidi chini..
Eneo la Health ni eneo pana sana. Tuseme kwa leo umechagua kudeal na Weight Loss (Kupunguza Uzito). Eneo hili pia unaweza enda chini zaidi. Kupunguza uzito kwa watu ambao wako busy, Kupunguza uzito kwa wanaume/wanawake/watoto/wazee, Kupunguza uzito kwa wenye kisukari, etc.
Watu wengi wakishaona fursa kama hii atataka kukimbilia kutafuta au kutengeneza product/solution ambayo inatatua tatizo hilo hapo ndio mtu anakumbana na vikwazo kama mtaji, eneo alilopo (mfano nipo kijijini), muda wa kufanya biashara, Ujuzi, (insert vikwazo vingine hapa) nk.
Kwa sisi wafanya biashara wa mtandaoni kwenye eneo hili la afya. Huhitajiki kutengeneza bidhaa zako especialy tena kama ndio mfanyabiashra mpya kwenye eneo hili. Kuna options (Business Models) ambazo unaweza kuzitumia. Kwa kutumia mfano moja, Kupunguza uzito kwa wanawake
1. Tengeneza YouTube channel ambayo humo unakua unatoa tips mbali mbali specifically kuhusu kupunguza uzito kwa wanawake, Kuna contents nyingi unaweza weka, tips za mazoezi, aina za vyakula, accesorries gani za kununua mfano smart watch, fanyia interview wataalam wa hilo eneo.
Jinsi ya kupata Hela: Matangazo ya Youtube, Matangazo ya wafanyabiashara mfano watu wa forever living, Affiliate Products links (ntaongelea hapo chini), Uza hizo bidhaa unazo recommend kwenye channel yako, Uza ebook, etc Hii huhitaji kua na viwers wengi kupata pesa.
2. eBook: Kama unapenda kuandika. Andika kitabu kuhusu hio topic. Kupunguza uzito kwa wanawake. Then kiuze online. Uzuri wa Business Model hii gharama yake ni ndogo na faida kubwa na huna limit ya kuuza kitabu chako Tanzania tu. Na unaweza kukiuza milele.
3. DropShiping. Hii ni business model ambayo wewe unakua na online shop ambayo mteja akihitaji bidhaa anakulipa pesa yako wewe unaenda kununua hio bidhaa kwa bei ya chini sehemu nyingine halafu huyo muuzaji anamtumia mteja directly bila bidhaa kuja kwako. (Somo la siku nyingine)
4. Affiliate Marketing: Kiufupi wewe unakua unauza bidhaa za watu wengine but sio kama dropshipping, Hapa huchukui pesa yoyote bali unawadirect wateja waende kwenye duka flani mtandaoni kupata bidhaa flani. Wewe unapata commision % Kila mtu anaponunua hio bidhaa kwa hio duka
5. Professional Blogger: Hapa ni kama Youtube but tengeneza blog yako BURE ambayo humo unakua unatoa tips mbali mbali specifically kuhusu kupunguza uzito kwa wanawake, kisha utapiga noti kwa matangazo, nk. (Kuna njia kama 10 za kupiga hela kwa blog. Next time ntaelezea)
6. Membership Website: Hii ni webiste unatengeneza ambayo unakua unauza membership. Specifically kwa wanawake ambao wanataka kupunguza uzito. Humo utakua unatoa tips na mafunzo mbali mbali. mfano slimmingworld.co.uk Hii inaweza kufanyika hata kwa whatsapp/Telegram group.
7. Nutrition, Workout & Meal-prep Plans: Hizi ni plans za mazoezi au misosi ya kunguza uzito. Unatengeneza na kuziuza either kwa website yako au Kwa whatsapp. Mfano nutrisystem.com Possibilities are endless here. Ni wewe tu na ubunifu wako
8. Coaching/Mentoring : Hii inaweza kua online exercise instructions, etc. Za kupunguza uzito kwa wanawake. Kwa wale professional na experts wa hili eneo hii inawafaa.
9. Subscription Box: Hii inakua kama membership mtu anajisajili na anakua analipia let say kwa mwezi wewe unakua unampelekea kila siku misosi flani ya kupunguza uzito. (Inaweza kua misosi au kitu chochote, BE creative)
10: Kwa wale ambao wamezoea kuuza physical products hapa unaweza uza Weight Loss Suppliments, Equipments, Accessories kama Smartwatches, Sliming Tea, Sliming Belt (Dumb Product), etc Fanya research ach uvivu (SIKUFOKEI)
BONUS TIPS: Unaweza kua Women Weight Loss Influencer, Wewe mwanzo mwisho unatupa tips tu za weightloss, then brands mbali mbali zikakupa mchongo. Also unaweza kutengeneza weight loss app kama upo vizuri kwa codes or pay someone to do it for you example loseit.com
ANGALIZO: I’ll be frank and tell you that your options are limited if you have absolutely no money to invest in an online business. However, its possible to start from nothing, and some of the business models that I ve mention in this guide costs almost 0$ to start.
Lastly this is not a get rich quick scheme. It needs dedication and hardwork. Pia hizo business models hapo juu nimezigusia tu. Jaribu kupoteza muda wako YouTube, Google chimba zaidi. Asante Kwa kusoma.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Gillsant 4.0

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!