My Authors
Read all threads
Kuna mshikaji alioa binti ambae alikutana nae chuo.

wakiwa wanachukua kozi ya uhasibu(chuo kapuni) baadae wakakubaliana waoane na ndoa ilifana sana sababu wakati wanaoana jamaa alikuwa ameshapata kazi kampuni ya simu nchini(jina kapuni)

Baada ya ndoa binti nae akapata kazi👇
Taasisi ya serikali(jina kapuni).

MATUKIO•

Ndoa yao ghafla ikaingia pepo, jamaa ndani ya miezi 6 tangu wafunge ndoa hakuwai kupewa unyumba(kwichikwichi).

Kisheria hasa kwenye dini ya kikristo siku ya harusi mkitoka pale inabidi mkakwichi kwichi bila hivyo ndoa bado👇
Haijakamilika labda tu mwanamke awe kwenye siku zake(watoto wadogo mmenielewa?😂😂)

Basi mwana akabaniwa huku binti akiwa na sababu kibao mara nipo siku zangu mara naumwa ili tu mpwa asile tunda(japo alishalila tangu wakiwa chuo ila ndani ya ndoa alibaniwa) ikatimia👇
Miezi 6 kamili mwana bila mafanikio hakawa hana jinsi zaidi ya kuita kikao cha ndugu wa pande zote mbili ili angalau wapate suluhisho, kikao kikaitishwa na bado wakashindwa tatua, jamaa anavutiwa kwake kuwa mwanamke haeleweki huku mwanamke akisema wakiwa ndani ya ndoa alikuja
Kugundua kuwa jamaa ni kicheche sana hivyo anaomba talaka yake, ndugu wakashindwa ikabidi kesi ipelekwe kanisani kwakuwa ni wa ROMA ikabidi waende kwa padre aliewafungisha na padre akawaambia kuwa kama hamkukulana basi ndoa ni batili. Warudi nyumbani wakayamalize ila jamaa 👇
Akagoma kutoa taraka.

TUNDA LALIWA

Kumbe visa na mikasa yote mwanamke alipata bwana ofisini,boss wakitengo alikuwa mtu wa mabinti sana, ikija pisi mfanyakazi,intern,field alikuwa anazipiga sana spana.

Demu akajaaa mwana akawa anakula tunda la mke wa mtu,binti 👇
Akajisahau kabisa kwamba ni mke wa mtu sababu boss alikuwa mtu wa kuspoil basi dada akajaa akajisahau kabisa,huku analiwa na boss huku nyumbani anambania mwana asile tunda la mti wa kati,akajiachia hadi ofisini kila mtu akajua kuwa dada anavunja amri namba sita ambayo 👇
Musa alitumia nguvu kuiandika ila dada akavunja na kibosile wa ofisi.

Aliekuja kugundua yote hayo ni ndugu wa upande wa mume(yaani dada wa bwana harusi mumewe mama yake mdogo) alikuwa anafanya kazi taasisi hiyo ila kwakuwa ndoa ilikuwa changa huwezi kuwajua 👇
Ndugu wote tena wa mbali mbali ila watu wengine ni rahisi kukujua sababu waliuzulia harusi.

Jamaa kupata hiyo habari ilimuuma sana akaamua kutengana na mkewe,kila mtu akiwa na maisha yake sasa inatimia miaka 5 bila kuwa pamoja,jamaa anataka kuoa mwaka huu na yule mwanamke
Anataka kuolewa na mtu mwengine.ila jamaa anagoma kutoa talaka kama kutaka kumkomoa yule binti akisahau yeye pia anataka kuoa.

-Mwisho _______Hii ni story ya kweli.

Funzo: Mke wa mtu mtamu😂
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with #SANUKAnaCHAPO

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!