My Authors
Read all threads
BINTI YAZINGATIE HAYA NA UYAISHI...
EWE dada ambae haujaolewa na upo kwenye mauhusiano na mwanaume ambaye haujafunga naye ndoa basi zingatia hili,
1. Chagua mwanaume bora kwa kuangalia utashi wake na mawazo yake chanya, mwanaume bora ni yule aliyekuzidi utashi,tabia nzuri pamoja hekima na busara na mwenye mapenzi ya dhati kwako. Usiwekeze akili na muda katika wanaume wenye mafanikio
2. Mpende Mwanaume anayekujali na kukuheshimu huyu ndiye akufaae , anayekupa mawazo ya kesho, anayekufuta machozi na asiyekuliza kila siku . Kamwe usimwache bali mng'ang'anie..
3. Dada yangu tafuta mwanaume ambaye ni kichwa ili wewe uwe shingo sababu hakuna kichwa pasipo shingo. Awe rais kwako nawe uwe Waziri Mkuu ili mkayatende vema maisha ya ndoa
4. Mtengeneze mwanaume wako awe bora, anza naye kwenye maisha ya chini. Muombee na uwe faraja na matumaini kwake ya kutengeneza ndoa bora na yenye mafanikio ya kiuchumi, na mahusiano yenye afya yaliyo na mapenzi matamu na bora, usipende wanaume wa wanawake wenzako
5. Dada yangu achana na mabrothermen wanaopaka poda ,wanawanaotembea na selfiestick hawana tija, mwanaume bora havai mlegezo (sag trousers) wala hakai kihuni huni. Mwanaume bora anajua kujiheshimu..
6. Mwanaume bora hata kama hana pesa daima huwa na hazina ya mawazo na ndoto zenye matumaini ya kuwa na future nzuri baadaye. Tazama katika ndoto zake mzipalilie sio kuangalia mifuko yake kuna nn..
7. Achana na wanaume maarufu wengi wao hawana mapenzi ya dhati wanapenda kuwatumia wanawake kwa tamaa zao za mwili. Hawa kamwe hawatakufikisha popote zaidi ya kukuacha kmaa tambara bovu lisilofaa kwa deki..
8. Dada yangu mimi nakupenda na natamani uwe na ndoa bora na uchague mpenzi bora, mpende mpenzi wako kwa moyo wote achana na zile kauli za wanaume wote wanafana. Uliwaonja wote lini? Wapo waaminifu na bora ikiwa ww utakuwa bora..
9.. Muombe Mungu akupe mume bora na wewe uwe mke bora sababu mke mwenye mapenzi ya dhati huwa anabeba baraka za mafanikio ya mume wake. Wewe umebeba baraka za mafanikio ya mumeo.
10. Wakati ni sasa sio kesho acha kuwa na idadi kubwa ya wanaume, chagua mwanaume wako mmoja bora, pia achana na utamaduni wa kuchat na ma ex.wako . Ex huwa ni km shetani anayekuja kubomoa ndoa yako..
11. Jiweke kiheshima, vaa vyema, tengeneza tabia yako wewe kwanza. Muonekano wako hufanya watu wakuone wa maaana au mhuni. Mavazi yasiyo ya heshima hupunguza thamani yako..
Inafaa ukiwabariki wengine kwa kuretweet

share with others
See you change
sir Franko Samuel
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Sultan M N Y A L U 🇹🇿🇹🇿🧚‍♀️🧚‍♀️

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!