My Authors
Read all threads
Akiwa na miaka 27 alifanya mapinduzi akawa rais.Akainua uchumi wa nchi yake kupitia biashara ya mafuta,akaandika kitabu ambacho ilikuwa ni lazima wanafunzi wakisome “Green Book”.Miaka 42 ya kuitawala Libya Gaddafi akajiita Mfalme wa wafalme,kiongozi wa mapinduzi.Mwisho akauawa. Muammar al-Gaddafi
Gaddafi alipiga marufuku biashara ya pombe na lugha ya kiingereza kutumika nchini kwake.Pia akafunga kumbi za starehe na bar.Vile vile alifanikiwa kuweka makubaliano na Makumpuni ya mafuta yaliyoiwezesha Libya kupata Pesa nyingi.Akajenga shule,hospitali na miundombinu yakutosha.
Rais Ronald Reagan wa Marekani alipoingia madarakani alimuita Gaddafi “Mbwa Kichaa”1986 akaamuru ndege za kivita kushambulia makazi ya Gaddafi,Kwa bahati hakuwepo hivyo akanusurika. USA chini ya Reagan ikakataa mafuta ya Libya na kumuwekea vikwazo lukuki.Gaddafi hakurudi nyuma. Obama and Gaddafi
Miaka ilivyozidi kwenda Libya ikazidi kuwekewa vikwazo na UN na mataifa mbali mbali,lakini pia hata mataifa mengine ya Kiarabu yakaanza kumkataa Gaddafi. Gaddafi akaelekezea nguvu zake Afrika, huku akataka iundwe “United States of Africa” na yeye awe kiongozi wa umoja huo.
Miaka ya mwisho ya utawala wake walitokea waaasi waliopinga uongozi wake huku wakipewa msaada na mataifa ya magharibi. Gaddafi akasema yeye ni mwanamapinduzi na atapigana mpaka tone la mwisho la damu yake.2011 akiwa na miaka 69 baada ya kuitawala Libya kwa miaka 42 akauwawa.
Mazuri ya Gaddafi kwa watu wa Libya ni mengi na hayawezi kuhesabika.Lakini pia alikuwa na mabaya yake kama Vile kutesa na kuua waliompinga. Kwa Tanzania alikuwa ni rafiki, licha ya kumsaidia Idd Amin kwenye vita ya Kagera. Alijenga msikiti mkubwa wa Dodoma na Butima kwa Mwalimu.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Ayubu Madenge

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!