Ikiwa bado wafikri na kuwaza namna mtavyokula keki, vyakula na kunywa kwa shangwe, u mtoto wewe ndoa walio waachie wakubwa waliojianda๐
Ikiwa unafikri ndoa ni jinsi marafiki watakavyo jaa na kukupongeza na kukusifu tambua bado hujakua kabisa na hujui nini maan ya ndoa , tulia waachie wakubwa
Ndoa sio contract ya kuivunja unavyojiskia hivyo usisaini km hauko tayari
Tambua kuwa km umekosea kuna samahan! Km amekukosea kuna kusamehe na hiyo ndio misingi ya ndoa
Thamani ya kuvumiliana
Thamani ya msamaha
Thamani ya kupendana
Thamani ya kushirikiana na kushirikishana
Thamani ya kuwa mwili mmoja, mtu mmoja
Thamani ya kukubali kuacha anasa zote na kuishi maisha ya ndoa.
folo @IamFranco92