My Authors
Read all threads
FILAMU YA AVA (2020) INATIA MOYO KUIONA
#cipherdotseriesandmoviesuzi
#CertifiedThreads
Ava ni filamu ya kimarekani iliyotoka July 2, 2020 huko Hungary na ilipangiwa kutoka  Septemba 25, Marekani sielewi kwa nini huku kwetu tumeshaipata ikiwa kwenye HD na watu tumeshaiona ina
...maana tumewapiga bao hata wamerekani au?? Filamu hii ina kichapo kinachofanana kwa mbali na filamu ya ANNA kama umeiona utakuwa umeelewa kama hujaiona ni muda muafaka kuitafuta, filamu hii imeongozwa na Yate Taylor na kuandikwa na Matthew Newton wahusika wakuu wakiwa
...Jessica Chastain, John Malkovich, Common, Geena Davisna wengineo wengi. Filamu hii iliweza kuingiza dola za kimarekani 1.3 milioni
Filamu hii inaanzia pale Ava Faulkner ambaye ni muaji wa kike akimua mfanyabiashara wa kijerumani Peter Hamilton na baadae kusafiri na kurudi
...Boston lkn mauji yalipokuwa yanaendelea inaonyeshwa kuna msichana anasikiliza mazungumzo yake na mfu atarajiwa akimuliza ni nini alifanya hadi kupelekea yeye kutumwa kuja kumua, alipowasili Boston Ava anafikia hotel lkn baadae anaenda kumuona dada yake Judy na hapo ndipo
...mtazamaji utakpogundua kuwa Ava hapo Boston ndo nyumbani kwao na kwamba aliondoka bila kuaga miaka 8 iliyopita na baadae Ava anaonekana kwenda kumuona mama yake hospitalini. Baadae Ava anapewa kazi nyingine ya kumua Generali huko Riyadh lkn kazi hii ilimtaka Ava aifanye
...na ionakane kama amekufa kifo cha kawaida na sio kuawa
Anamtongoza generali wakiwa chumbani Ava anamdunga sindano ambayo baada ya dk 15 atakufa kwa kifo cha shambulizi la moyo, lkn kabla genarali hajafa watu wanakuja wakijua wazi kuwa aliyenaye ni muaji kwa kuona hivyo akajua
...wazi kuwa kauzwa hivyo naye kuwakomeshea ili ionakane kuwa kauwawa akamkata shingo genarali hapa panatokea kichapo na mapigano mazuri sana utakayoyapenda kwa bahati nzuri Ava akaweza kutoroka na kusafiri hadi  Barneville-Carteret kukutana na bosi wake Duke ambaye ndo mwalimu
...wake kutaka kujua kwa nini alitaka kumuuza Lkn Duke anampoza na kumweleza yaliyotokea huko sio kosa lake yeye Ava na hivyo kupewa ka likizo kafupi, na baadae Ava anarudi Boston ambako anakutana na Michael mpenzi wake Judy, hata hivyo kwenye vikundi vya kusaidiana kuacha pombe
...Ava anaongea kisa kilichomfanya aondoke pasipo kuaga kwa miaka minane na kwenda kujiunga na jeshi
Dukes naye anaonana na kiongozi wake huko British Columbia Simon ambaye binti yake mkubwa Camille alikuwa anamsikiliza Ava akimuhoji peter Hamilton kabla ya kumua, hapa baina ya
...Duke na Simon kunatokea mzozo kuwa kwa nini Ava anawahoji wafu watarajiwa? Wakati swala hilo walishamkataza lkn Duke anamshawishi kumuacha Ava kwa maana ni muaji bora. Lkn baadae inagundulika zile taarifa zilizopelekea yeye kutaka kuawa kule Riyadh haikuwa bahati mbaya alitaka
...Ava auawe kwa maana hata hivyo tayari ilishamuweka Alain tayari kumua Ava muda utakapofika, Ava alipofika Boston
Alain akapewa amri ya kutekeleza mauji katika mapambano hayo Alain anakufa na bivyo kumfanya Ava kwenda tena kumkabili Duke, lkn kumbe Duke alikuwa hajui kuwa amri
...ya mauji imetoka kwa Simon anamshawishi Ava kuwa huyu alikuwa mhuni wa mtaani aliyemvamia, usiku wa siku hiyo Ava, Judy na Michael wanatoka pamoja kwa ajili ya chakula cha jioni na hapa ndipo tunapogundua pia kuwa kabla ya Ava kutoroka alikuwa ni mchumba wa Michael ambaye sasa
...ni mchumba wa Judy kutoka na wivu wa judy chakula hakikufika mwisho
Baada ya jaribio la kutaka kumua Ava Duke anaenda tena kumkabili Simon mwisho ambao hakuwa mzuri kwa Duke maana yanayotokea kuanzia hapa nikisema lolote nitaiharibu picha kwa wale ambao hawajaiona, kuna mambo
...mengi yanatokea baada ya Duke kumkabili Simoni ndo kama vile picha inaanza  kama hujaiona tafadhali tafuta filamu hii kwa maana imejitahidi kidogo kuwa na mapigano ya nguvu.
Nini kitamtokea Ava baada ya Simon kugundua Alain alikufa?? Nini kitamtokea Simon baada ya Ava kugundua
...atakachogundua??
PLEASE RETWEET
TUFOLLOW @cipherdotM
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Cipherdot Series And Movies✍️

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!