My Authors
Read all threads
Mara nyingi nimesikia CCM wakisema CHADEMA walipinga ununuzi wa Ndege lakini mbona leo wanazipanda! Ni hivi; hakuna anayepinga ndege zisinunuliwe, ila tatizo tuna VIPAUMBELE. Nchi hii kwa sasa, Sekta Afya, Elimu, Kilimo ni muhimu kuliko ndege. Mbona wagumu KUELEWA ninyi watu!!!🙌
Njia rahisi ya kuelewesha ni hii. Serikali imefanya kazi kubwa ya kusambaza UMEME, kujenga ZAHANATI, si ndio! Sasa ni lini mmesikia Upinzani unasema msisambaze Umeme au Msijenge Hospitali? Hivi ni vitu MUHIMU kwa Jamii, ndiyo maana Upinzani hawavipingi. Lakini unaponunua NDEGE👇
na kujenga madaraja kama lile la baharini la Salenda kuna faida gani? Mnatumia 200 billion kunufaisha watu elfu 10 au utumie pesa hizo hizo kujenga Shule ambazo utanufaisha watu wengi. Hili tatizo ni KUBWA ndiyo maana Serikali inaelemewa na mahitaji ya Raia na kwenda kukopa zaidi
Hivi, kujenga Uwanja wa Ndege Chato, kujenga Uwanja wa Mpira Dodoma, kujenga Daraja la baharini na miradi mingine ya ambayo haina TIJA inalisaidia vipi Taifa? Tuache SIASA kwenye masuala ya Kitaifa. Unatumia pesa zote hizi huku kuna watu hawana access ya Maji Safi na Salama!
Ngoja nitawaangikia UZI kuhusu miradi ya HOVYO kwenye ILANI ya CCM na kisha niwaoneshe maeneo ambayo mabovu na yanahitaji pesa za Haraka. Nadhani wengi mtaelewa. KUKOSOA SERIKALI NI UZALENDO sio UADUI. Serikali ikubali imekosea BIG TIME!🙌
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Baba Mwita

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!