Pumbu erosion ni ugonjwa wa kuvu (fungus) unaowapata watu wenye/ kwenye mikunjo ya ngozi sehemu ya siri zenye joto na unyevunyevu…..hasa kwenye mapumbu/korodani.
Nilpokuwa sekondari rafik yangu aliwahi patwa na tatzo ili na lilisababishwa na kuvaa chupi bila ya kujifuta maji mara baada ya kuoga au kujitawaza lakin pia kurudia kuvaa chupi bila kufua
Uchafu na unyevunyevu ndo haswa visababishi vya kuwafanya kuvu (fungus) hao kuota na kukua
DALILI ZA PUMBU EROSION
👉Kujikuna sana hata kujichubua ngozi na kusababisha majeraha ambayo hutoa majimaji na baadaye kuweka tabaka gumu ambalo pia huwasha sana.
👉 Ukioga maji ya baridi utapata maumivu siyo ya dunia hii na hivyo unashauriwa kuoga maji ya vuguvugu
MARA UNAPOOGA ZINGATIA
✔kujifuta vizuri na upake antifungal powder na siyo dawa yoyote ya cream au majimaji.
LENGO
📌kutengeneza mazingira makavu ktk maeneo ya sehemu za siri.
✔Na kumbuka kupiga pasi taulo ili kuua kuvu wanaojishikisha kwenye taulo.
✔Pia ukumbuke kuvaa chupi/boxer safi na kamwe usirudie kuvaa chupi chafu.
TIBA
Dawa kama mycota powder ni kiboko kwa aina ya kuvu hawa na ukianza kuitumia matokeo yake ni ndani ya saa 24 hali inabadilika na unapomaliza wiki unakuwa na dalili za kupona kabsa.
Lakini ata hivyo unapaswa uendelee na matibabu kwa takribani wiki mbili baada ya dalili zote kupotea.
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
MAPUNGUFU YA KISHERIA KATIKA KESI YA YESU (KWA MUJIBU WA SHERIA YA WAYAHUDI)
Usiku Yesu alipokamatwa alifikishwa mbele ya wafuatao kwa mashtaka, Caiaphas - Kuhani mkuu (na aliye agiza yesu akamatwe na pia ndiye aliandaa mashtaka), Annas - Kuhani mkuu mstaafu, na Sanhedrini -
Baraza la makuhani. Kwa kuwa hawa ni viongozi wa kidini Yesu hapa alishtakiwa kwa makosa mawili;
1. Kufuru (blasphemy), 2. Kajitangaza kuwa ni mwana wa Mungu na Messiah
Baadaye akapelekwa kwa kwa Pilato, na huko mashtaka ghafla yakabadilika na kuwa matatu yafuatayo;
- Kutaharakisha jamii na kusababisha uasi (rioting)
- Kukataza watu kulipa kodi
- Kujitangaaza kuwa ni mfalme wa wayahudi (uhaini).
Makosa haya chini ya utawala wa Rumi adhabu yake ni kifo;
✍ Hili ni kanisa la kipind cha mitume 12 wa Yesu Kristo
✍ Ni ktk kipindi hki kulkuwa na mafundisho ya utakatfu na upendo wa Mungu
✍ Baadaye tunaliona kanisa hili linauacha upendo wa kwanza baada ya mitume wa Yesu kufa
2. SMIRNA
✍ Katika wakati wa kanisa hili kulitokea wafalme wakatili walitaka kuingiza desturi za kipagani ndani ya kanisa na kuwaua watakatifu wa kanisa na kufanya mbinu za kuiondoa biblia katika dunia hii.
✍ Kinaitwa kipindi cha mateso na machungu .
3. PERGAMO ( 312- 590 B.K)
✍ Ni kanisa lililofunga ndoa na upagani.
✍ Ni kipindi ambacho mfalme Constantine aliutangaza Ukristo ndio dini ya Rumi au Taifa.
JE, UNAFAHAMU JINSI WANAFUNZI WA YESU WALIVYOKUFA?
1. MATHAYO.
Huyu aliuawa kwa upanga huko Uhabeshi (Ethiopia ya leo) baada ya kuonyesha imani kali juu ya kanisa la Kristo.
Alijeruhiwa kwa upanga na kidonda chake hakikupona hadi umauti ulipomfika.
2. MARKO
Huyu alifariki huko Alexandria Misri ya sasa baada ya kuangushwa na farasi barabarani, aliangushwa vibaya na hakupata msada. Mwishowe akafariki.
3. LUKA
Alinyongwa huko Ugiriki, hii ni kutokana na msimamo wake mkali aliouonesha,
Aliawa mwaka 84A.D
4. YOHANA
Huyu alitumbukizwa katika pipa lenye mafuta yanayochemka huko Roma, (Italia ya sasa). Hata hivyo kwa miujiza hakuungua na alitolewa akiwa mzima kabisa.
Alipelekwa katika gereza lililokuwa katika migodi huko kisiwa cha Patmos.
Siku moja tajiri mmoja akawa anachungulia dirishani gafla akamwona masikini akitafuta tafuta mabaki kwenye dustbin akainua mikono yake juu akasema nakushuru Mungu kwa sababu mimi siyo masikini kama huyu👇👇👇
Naye masikini huyu siku moja katika pitapita zake akakutana na kichaa yuko jalalani akichambua chambua mabaki yaliyo mwangwa ili ajipatie riziki masikini huyu akainua mikono yake juu akasema nakushuru Mungu kwa sababu mimi siyo kichaa.👇👇
Naye kichaa huyu katika mihangaiko yake ya kujitafutia riziki akutana na mgonjwa getini hospitali moja akiwa anasukumwa kwenye vitanda vya wagonjwa huku yuko mahututi kichaa huyu akanyosha mikono juu akasema nakushuru Mungu kwa sababu mimi ni mzima.
👇👇
1."Napenda kuwaambia wale wanaodhani siasa haiwahusu, Moja ya madhara ya kukataa kujihusisha na siasa ni kwamba utaongozwa na watu uliowazidi akili. Na kwa upungufu wao wa akili watafanya maamuzi ya kila kitu katika maisha yako. Plato
2. "Moto mkali zaidi wa jehanam wameandaliwa wale wanaojifanya wapo neutral mahali ambapo wanyonge wanaonewa"- Martin Luther King, Jr.
3. "Binadamu kwa asili ni mnyama wa kisiasa. Kumtenganisha na siasa ni sawa na kumzuia kuishi"- Aristotle.
4. "Kama hatuamini uhuru wa maoni kwa wapinzani wetu, basi hatuamini katika uhuru wa maoni kabisa. Kwa sababu wafuasi wetu hawahitaji uhuru wa kusema, bali wapinzani wetu"-Noam Chomsky.
5. "Mpumbavu akipewa nyundo hudhani kila tatizo anaweza kulitatua kwa nyundo" Nelson Mandela
1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo
2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu.
3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa size ya mwisho
4. Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa wa tani 200 hadi 300
5. Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito zaidi ya Tembo mkubwa
6.Mdomo wa nyangumi unaweza kuhifazi tani 90 za chakula na maji akiufumbua mpaka mwisho
7. Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa siku, ili nyangumi ashibe vizuri anakula kilo 3600kg