JE, UNAFAHAMU JINSI WANAFUNZI WA YESU WALIVYOKUFA?

1. MATHAYO.

Huyu aliuawa kwa upanga huko Uhabeshi (Ethiopia ya leo) baada ya kuonyesha imani kali juu ya kanisa la Kristo.

Alijeruhiwa kwa upanga na kidonda chake hakikupona hadi umauti ulipomfika.
2. MARKO

Huyu alifariki huko Alexandria Misri ya sasa baada ya kuangushwa na farasi barabarani, aliangushwa vibaya na hakupata msada. Mwishowe akafariki.

3. LUKA

Alinyongwa huko Ugiriki, hii ni kutokana na msimamo wake mkali aliouonesha,

Aliawa mwaka 84A.D
4. YOHANA

Huyu alitumbukizwa katika pipa lenye mafuta yanayochemka huko Roma, (Italia ya sasa). Hata hivyo kwa miujiza hakuungua na alitolewa akiwa mzima kabisa.

Alipelekwa katika gereza lililokuwa katika migodi huko kisiwa cha Patmos.
Na huko ndiko alipofunuliwa na mwenyezi Mungu na kuandika kitabu cha "Ufunuo wa Yohana".

Baadae aliachiwa huru na kwenda kutumika kama Askofu huko Edessa (Uturuki ya sasa).

Alifariki akiwa mzee sana. Na ni mtume pekee aliyefariki bila mateso.
5. PETRO

Huyu alipata adhabu ya kifo cha msalaba. Ila yeye alisulubiwa tofauti na Yesu kristo.

Kusulubiwa kwa Petro ilikuwa kichwa chini miguu juu ktk msalaba wenye nembo ya "X"

Petro mwenyewe aliomba asulubiwe kwa namna hii kwani hakutaka kusulubiwa kama Yesu (Yohana 21:18)
6.YAKOBO

Huyu alitupwa kutoka juu kabisa ya mnara wa hekalu wenye urefu wa meta 100 baada ya kugoma kumpinga Kristo.

Mnara huo ni ule ambao Shetani aliutumia kumjaribu Yesu kwa kumwambia kama yeye ni mwana wa Mungu ajirushe.
Walipogundua kuwa hajafa baada ya kumdondosha tokea juu ya mnara, walimpiga na mawe mpaka akafa.

7. YAKOBO (MWANA WA ZEBEDAYO)

Akiwa kiongozi mkubwa wa kanisa Yakobo alichinjwa huko Jerusalemu kwa kukatwa kichwa kwa amri ya Herode (Matendo 12:2).
8. BATHOLOMAYO

Pia alijulikana kama Nathanieli. Alikuwa ni mmisionari huko Armeni (Asia ya sasa).

Alimshuhudia Yesu Kristo huko Uturuki.
Yeye aliuawa kwa kupigwa fimbo baada ya kugoma kuacha mafundisho yake juu ya Kristo.
9. ANDREA

Aliuawa kama Petro huko Ugiriki kwa kusulubiwa kwenye msalaba wenye umbo la "X" miguu juu kichwa chini sawa na Petro.

Ila baada ya kuwambwa msalabani aliendelea kupaza sauti akihubiri neno la Mungu mpaka mauti ilipomchukua.
10. TOMASO

Aliuwa kwa kupigwa na mshale huko Chennai (India ya sasa) katika moja ya safari zake kama Mmisionari kwenda kuanzisha Kanisa huko.

11. YUDA (THADEI)

Aliuawa kwa kupigwa na mshale ubavuni.
12. YUDA (ISKARIOTE)
Huyu alijiua kwa kujinyonga baada ya kumuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha.

13. THADAYO (AU MATHIA)

ni Mwanafunzi aliyeteuliwa na Yesu kuziba nafasi ya Yuda Iskariote (msaliti).

Huyu alipigwa na mawe hadi kufa na baada ya hapo walimkata kichwa.
NB: Si muhimu kujua ni namna gani mitume walikufa, ila ni muhimu kujua kuwa mitume wote walikufa wakitetea imani yao.

Walikua tayari kuchukiwa na kufa vifo vya mateso kwa ajili ya kumtetea na kumshuhudia Kristo.
Biblia imesema, "Nanyi mtakuwa mkichukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu, lakini mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka." Mathayo Mtakatifu 10:22

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Dr.Socy²³ (HS)

Dr.Socy²³ (HS) Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @biturojr

7 Nov
MAPUNGUFU YA KISHERIA KATIKA KESI YA YESU (KWA MUJIBU WA SHERIA YA WAYAHUDI)

Usiku Yesu alipokamatwa alifikishwa mbele ya wafuatao kwa mashtaka, Caiaphas - Kuhani mkuu (na aliye agiza yesu akamatwe na pia ndiye aliandaa mashtaka), Annas - Kuhani mkuu mstaafu, na Sanhedrini - Image
Baraza la makuhani. Kwa kuwa hawa ni viongozi wa kidini Yesu hapa alishtakiwa kwa makosa mawili;

1. Kufuru (blasphemy), 2. Kajitangaza kuwa ni mwana wa Mungu na Messiah

Baadaye akapelekwa kwa kwa Pilato, na huko mashtaka ghafla yakabadilika na kuwa matatu yafuatayo;
- Kutaharakisha jamii na kusababisha uasi (rioting)
- Kukataza watu kulipa kodi
- Kujitangaaza kuwa ni mfalme wa wayahudi (uhaini).

Makosa haya chini ya utawala wa Rumi adhabu yake ni kifo;
Read 13 tweets
7 Nov
UFUNUO JUU YA MAKANISA SABA NA SIKU ZA MWISHO

 1. EFESO

✍ Hili ni kanisa la kipind cha mitume 12 wa Yesu Kristo

✍ Ni ktk kipindi hki kulkuwa na mafundisho ya utakatfu na upendo wa Mungu

✍ Baadaye tunaliona kanisa hili linauacha upendo wa kwanza baada ya mitume wa Yesu kufa Image
2. SMIRNA

✍ Katika wakati wa kanisa hili kulitokea wafalme wakatili walitaka kuingiza  desturi za kipagani ndani ya kanisa na kuwaua watakatifu wa kanisa na kufanya mbinu za kuiondoa biblia katika dunia hii.

✍ Kinaitwa kipindi cha mateso na machungu .
3. PERGAMO ( 312- 590 B.K)

✍ Ni kanisa lililofunga ndoa na upagani.

✍ Ni kipindi ambacho mfalme Constantine aliutangaza Ukristo ndio dini ya Rumi au Taifa.

✍ Ni kipindi ambacho sanamu ziliingizwa kanisani.
Read 14 tweets
6 Nov
IFAHAMU PUMBU EROSION

Pumbu erosion ni ugonjwa wa kuvu (fungus) unaowapata watu wenye/ kwenye mikunjo ya ngozi sehemu ya siri zenye joto na unyevunyevu…..hasa kwenye mapumbu/korodani.
Nilpokuwa sekondari rafik yangu aliwahi patwa na tatzo ili na lilisababishwa na kuvaa chupi bila ya kujifuta maji mara baada ya kuoga au kujitawaza lakin pia kurudia kuvaa chupi bila kufua

Uchafu na unyevunyevu ndo haswa visababishi vya kuwafanya kuvu (fungus) hao kuota na kukua
DALILI ZA PUMBU EROSION

👉Kujikuna sana hata kujichubua ngozi na kusababisha majeraha ambayo hutoa majimaji na baadaye kuweka tabaka gumu ambalo pia huwasha sana.

👉 Ukioga maji ya baridi utapata maumivu siyo ya dunia hii na hivyo unashauriwa kuoga maji ya vuguvugu
Read 6 tweets
5 Nov
FUNZO LA MAISHA

Siku moja tajiri mmoja akawa anachungulia dirishani gafla akamwona masikini akitafuta tafuta mabaki kwenye dustbin akainua mikono yake juu akasema nakushuru Mungu kwa sababu mimi siyo masikini kama huyu👇👇👇 Image
Naye masikini huyu siku moja katika pitapita zake akakutana na kichaa yuko jalalani akichambua chambua mabaki yaliyo mwangwa ili ajipatie riziki masikini huyu akainua mikono yake juu akasema nakushuru Mungu kwa sababu mimi siyo kichaa.👇👇 Image
Naye kichaa huyu katika mihangaiko yake ya kujitafutia riziki akutana na mgonjwa getini hospitali moja akiwa anasukumwa kwenye vitanda vya wagonjwa huku yuko mahututi kichaa huyu akanyosha mikono juu akasema nakushuru Mungu kwa sababu mimi ni mzima.
👇👇 Image
Read 5 tweets
20 Aug
NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU KUHUSU SIASA

1."Napenda kuwaambia wale wanaodhani siasa haiwahusu, Moja ya madhara ya kukataa kujihusisha na siasa ni kwamba utaongozwa na watu uliowazidi akili. Na kwa upungufu wao wa akili watafanya maamuzi ya kila kitu katika maisha yako. Plato
2. "Moto mkali zaidi wa jehanam wameandaliwa wale wanaojifanya wapo neutral mahali ambapo wanyonge wanaonewa"- Martin Luther King, Jr.

3. "Binadamu kwa asili ni mnyama wa kisiasa. Kumtenganisha na siasa ni sawa na kumzuia kuishi"- Aristotle.
4. "Kama hatuamini uhuru wa maoni kwa wapinzani wetu, basi hatuamini katika uhuru wa maoni kabisa. Kwa sababu wafuasi wetu hawahitaji uhuru wa kusema, bali wapinzani wetu"-Noam Chomsky.

5. "Mpumbavu akipewa nyundo hudhani kila tatizo anaweza kulitatua kwa nyundo" Nelson Mandela
Read 9 tweets
13 Aug
NYANGUMI MNYAMA MWENYE MAAJABU 12 YA KIPEKEE

1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo

2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu.
3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa size ya mwisho
 
4. Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa wa tani 200 hadi 300

5. Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito zaidi ya Tembo mkubwa
6.Mdomo wa nyangumi unaweza kuhifazi tani 90 za chakula na maji akiufumbua mpaka mwisho

7. Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa siku, ili nyangumi ashibe vizuri anakula kilo 3600kg
Read 6 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!