kulikuwa na wabunge wa upinzani 114 kwenye bunge la 11. chadema (70), cuf (42), act (1) na nccr (1). wote hao hawakuweza kuzuia kitu chochote ambacho serikali na ccm walitaka kupitisha. wabunge wa viti maalumu wa upinzani hawatakuwa na maana yoyote kwenye bunge la 12
labda kama ni kuwapeleka wapate pesa za kuchangia harakati za chama, lakini zaidi ya hapo hawatakuwa na msaada wa aina yoyote katika kuisimamia serikali na kuzuia upitishwaji wa masheria ya hovyo na mambo mengine ya kishenzi.
mimi sizungumzii sijuwi ni haki yao au blah blah zingine. mimi nazungumzia 'usefulness' ya wabunge wa upinzani wa viti maalumu kwenye bunge lililojaa makada wa ccm, wengi wao wakiwa wameshinda kwa kuiba kura, na kubebwa na magufuli mwenyewe.
ni uamuzi ambao vyama vyenyewe vinapaswa kuufanya, lakini mimi kama mwananchi sioni wabunge wa upinzani wa viti maalumu wakiwa na 'influence' yoyote kwenye bunge lijalo. labda tuwapeleke na wao wapate mitaji ya kufungulia boutiques na massage parlours tu!

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Khalifa Said ☭🌹

Khalifa Said ☭🌹 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @ThatBoyKhalifax

4 Nov
@Sabatho7⁩ says if there’s “any flaws” in Tanzania’s “democratic process” then the solution “should be internal” and not inviting the West “to decide [Tanzanians’] future.” quite a good observation which ignored a number of considerations. a thread udadisi.org/2020/11/q-with…
firstly, @Sabatho7 doesn’t say what if tanzanians aren’t allowed by their gov to fix the weaknesses in their democratic system/process. in a country like ours where all avenues of protesting have been closed, Sabatho should tell me how as a tanzanian can I fix my country?
@Sabatho7 should tell leaders and supporters of this country’s opposition how are they going to protest the alleged voter fraud if the State doesn’t even allow them to hold demonstration and you can’t challenge the election results in any court?
Read 8 tweets
26 Oct
hii nafasi hatutoipata tena mpaka miaka 5 mengine ijayo. hii ni nafasi adhimu ya kutuma ujumbe kwa ccm kwamba haingii akilini tulipe kodi lakini hapo hapo tulipie bili zetu za afya. tulipe kodi hapo hapo tulipe mkono wa elimu ya juu. tunapiga kura dhidi ya ccm kutuma huo ujumbe!
oct 28 tunapiga kura dhidi ya ccm kwa sababu hatuwezi kuruhusu chama kimoja cha siasa kuwa na nguvu kuliko nchi. wanachama wa ccm kuwa bora kuliko wananchi wengine. piga kura dhidi ya ccm kwa sababu watu waliosababisha matatizo yetu hawawezi kuwa na akili ya kutatua!
tunapiga kura dhidi ya ccm kuipa ujumbe kwamba hawana hatimiliki na hii nchi. kwamba tanzania ni kubwa kuliko ccm. kwamba kila maisha — hata yawe ya mtu mmoja— yanamaana. piga kura kukomesha utekaji, mauwaji holela ya raia na mambo mengine ya kishamba @MagufuliJP ametuletea!
Read 8 tweets
13 May
My people, what has exactly happened to @ChademaMdude? Please tell me. I think I’m missing something out.
It seems that the gov of President @MagufuliJP has now resorted to the use of gangster-style method to dealing w/ its most vocal critics: planting drugs on the activists. That’s next level gangster shit right there y’all. So sad, sickening and infuriating.
Read 4 tweets
9 May
People have every right to criticize and call out the irresponsibilities of the orgs that claim to work for them.

If you don’t want to be criticized as an NGO/CSO, stop fooling around by claiming that you work for the people.

Stop that nonsense once and for all.
These petty and childish excuses that “the State is restricting the work of CSOs” is just bullshit and a cover for irresponsibility.

Where on earth has the gov guaranteed basic freedoms to its people w/out a fight? You expect the gov to give you the freedoms?

Come on y’all!
As I said for the media and journalists: if the gov‘s repression has become so intensive to the extent that you cannot even do what the society expects of you why the hell sticking to journalism? Why not quit and find some other vocation? The same applies to those in CSOs.
Read 8 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!