JINSI WATOTO WANAVYO SABABISHA BABA ZAO KUFA MAPEMA!!

Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini, ni mkulima, au anafanya biashara; huwa anakua na nguvu na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake: Familia humsikiliza, humjali humpenda, na huzingatia na kutambua uwepo wake.!
Tatizo huanza pale baba anapozeeka, nguvu za uzalishaji mali zimekwisha, au amestaafu.! Na pale watoto wanapokua wamekua watu wazima wameanza maisha yao.! Hapo ndipo mambo kwa baba huanza kuharibika na kupewa kisogo na wanae.!!
Mkewe huanza kumchukulia poa! Ile heshima aliyokuwa akipewa huanza kupungua taratiibu.. Baba hasikilizwi tena Kama zamani, isitoshe anakua hahusishwi sana tena kwenye mambo ya mkewe sababu hata akiambiwa atasaidia nini na pesa hana?
Badala yake mkewe huanza kuwafanya watoto kuwa washirika wake zaidi na kumuweka kando mumewe...

Baba anaachwa pembeni!!
Mama huanza safari kwenda kwa watoto, huko hukaa sana, baba kaachwa nyumbani peke yake! Watoto wanamgombea mama aende kwao, lakini baba hakuna anayemtaka!
Watoto wanasahau kwamba, upendo ulioonekana kwa mama kuanzia , malezi, mavazi, chakula alitafuta baba.!!

Elimu yao ilitokana na baba, kupendeza kwao, afya yao ilitokana na baba.!! Mama yao kupendeza kwake kulitokana na baba,
Mama alikuwa mama wa nyumbani, baba alikuwa mtu wa kazini, anatoka alfajiri anarudi usiku amechoka nyang'anyang'a: Safari za kibiashara huko na kule Hakulala nyumbani akiipambania familia.😭.
Sasa wakiwa nyumbani na mkewe, simu toka kwa watoto 80% anapigiwa mama, Baada ya maongezi mareefu, ndo baba anapewa simu anasalimiwa dk 2 imeisha hiyo Baba simu anayo,ila haoni simu za watoto wakimpigia,na wakimpigia ni kwa sababu maalumu tena maongezi huwa mafupi Hawana muda nae
Baba anajikuta anakuwa mpweke sana, anakua mgeni kwa familia yake mwenyewe! Wale ambao alizimalizia nguvu zake za ujana kuwatafutia maisha hawana muda nae tena!😭.

Wanaanza kuiharibu na kuitenganisha ndoa ya wazazi wao.😭
Pale baba anapokuwa anaihitaji sana faraja ya familia yake sababu ameshazeeka; Familia humpa kisogo! Upweke unamsonga!
Mawazo humsonga, hili hupelekea kinga ya mwili kushuka na kufanya iwe rahisi kushambuliwa na magonjwa na haichukui muda baba anauawa na watoto wake mwenyewe:😭
Hatimaye, anafariki!!
Familia wataliaa, watachapisha matisheti, watatoa mapesa kumnunulia sanduku la gharama na kumjengea kaburi la gharama. Mitandaoni watampost sana! Lakini alipokuwa hai... No one cares!
Hii ni laana kubwa kwa watoto: Wanapanda mbegu mbaya ambayo nao watavuna kwa watoto wao:😭

Wewe mtoto unaye fanya hayo, tubu, acha kabisa: Jirekebishe ili ujiponye na laana hii:.

Tuwajali baba zetu, walijitoa na kujinyima sana kufanya tufike tulipo!
Ni dhambi mbele za Mungu tena ni laana mbaya kuwapuuza baba zetu!

Wakati unaendelea kumsifia mama yako kuwa ni bora, msifie hata baba yako kwakuwa alikuchagulia mama yako aliye bora. Kama umeguswa na darasa hili, RT kwa wengine . Umebarikiwa:✋🏾✋🏾

You can follow @biturojr
C&P

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Dr.Socy²³ (HS)

Dr.Socy²³ (HS) Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @biturojr

12 Nov
NJIA 6 BORA ZA KUZUIA MIKOROMO UNAPOLALA

Watu wengi wanapolala huwa wanakoroma na tatizo hilo huwakera wengi wasiokoroma ambao labda hulala chumba kimoja na mtu mwenye hali hiyo. Lakini ni kwa nini watu hukoroma? Image
✔Mirija ya hewa iliyoziba kwa kitaalamu obstructive sleep apnea (blocked airways)

✔Unene kupita kiasi.

✔Tatizo la mfumo wa mdomo wako, pua, ama koo

✔kukosa kulala kimakusudi (sleep deprivation).

✔ kulala chali

✔ kunywa pombe muda mfupi kabla ya kwenda kulala.
NJIA ZA KUZUIA KUKOROMA

1. Punguza unene na kuzingatia mlo bora.

Kuwa na uzito mkubwa (unene) kunaweza kusababisha mtu kukoroma. Mafuta yaliyozunguka shingo hubana mirija ya hewa na kuzuia hewa kupita kiurahisi kutoka nje au kuingia ndani
Read 8 tweets
12 Nov
JE, NI KIPI HUMFANYA MWANAUME KUINGIA RASMI KWENYE NDOA?

👇👇

Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe,
Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe.

Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.
Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.
Read 5 tweets
11 Nov
DAWA KUMI AMBAZO MAMA MJAMZITO HATAKIWI KUZITUMIA KABISA

Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiw kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumbon
1.Albendazole;

hii ni dawa ya minyoo ambayo
hutumika mara kwa mara kujitibu lakini ni dawa mbaya sana kwa akina mama wajawazito kwani una uwezo wa kutoa mimba kabisa hivyo
mebendazole hutumika kama mbadala.
2.Gentamycin:
hii ni dawa ambayo iko kwenye
mfumo wa sindano tu, mara nyingi hutumika kutibu magonjwa ya mfumo wa mkojo.
Dawa hii huharibu mishipa ya fahamu (auditory nerve) ambayo hutufanya sskusikia. Hivyo matumizi ya dawa hii huweza kusababisha mototo kuzaliwa akiwa kiziwi
Read 12 tweets
11 Nov
BIASHARA YA CHAKULA (MGAHAWA)

 Kwa huzoefu wangu nahisi biashara ya mgahawa inalipa kwa wakati kuliko biashara nyingine ile.

Chakula ni hitaji muhimu kwa maisha ya kila mwanadamu, lazima watu wale.

ZINGATIA huduma bora, chakula kizuri na eneo zuri.
CHANGAMOTO ya biashara hii ni kwamba inataji lazima uwe na msaidizi mchapakazi lakini pia uwe serious na unachokifanya.

📌CHANGAMOTO nyingine ni wateja wakiume kuja kwa njia ya kutaka huduma tofauti na bidhaa husika, badala kula chakula wanataka kumla mpika chakula.
Lakini ndio wateja ambao watakuvusha na kupiga hatua ilimradi usiwe mkali kwa wateja hata wakiongea nini achana nao focus kwenye mradi wako ili na wao waendelee kuja.
Read 4 tweets
11 Nov
WACHAGA WAMEGAWANYIKA KAMA IFUATAVYO; SIO WOTE WAJANJA.
Kuna:-

1. Warombo

Wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu

Wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho

Wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa wanayofanya ni ya kuchinja... Wengi wanamiliki mabucha. Wana hasira sana na ni wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi anakuja kudai kisu chake.
Read 8 tweets
10 Nov
VITU SITA USIVYOTAKIWA KUFANYA KABLA YA KULALA

1. USILALE UKIWA UMEVAA SAA.

Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa (ya mkononi). Image
2. USILALE UMEVAA SIDILIA (wanawake wanayovaa kwenye matiti ).

Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.
3. USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU.

Wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.
Read 5 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!