OSCAR SALATHIEL KAMBONA

●Kambona ni shuhuda wa utiaji saini hati za Muungano 22/4/1964
●Tume ya Kawawa ilipendekeza mfumo wa chama kimoja Kambona akagoma
●Kambona akagoma kutia saini akaanda taarifa nyingine
●Akagoma kukubaliana na Nyerere kwenye kuleta mfumo wa kikomunisti
Nyerere aliporejea kutoka China 1965 alitamani muundo wa siasa za China
●Ndio msingi wa kuundwa tume hiyo iliyopendekeza “muundo wa chama kimoja”
●Msimamo wa Kambona haukumpendeza Nyerere. akamkunjia.
●1966 Nyerere akampiga ‘madongo’ Kambona jukwaa la sherehe za Sabasaba
●siku 2 baadae Kambona akatangaza kujiuzulu ukatibu mkuu wa TANU na uwaziri wa serikali za mitaa
●Baada ya kubaini mpango wa kukamatwa na kuwekwa kizuizini mwezi huo alitoroka nchini
●Alitoroka na familia yake yote, Mkewe, wanae, mtumishi wao kuelekea nchini Kenya
●serikali ikakamata ndugu wawili wa Kambona na kuwaweka kizuizini
●wake zao raia wa nchi za kigeni wakatakiwa kurejea kwenye zao, na watoto wao
●NEC walimvua uanachama Kambona 1968 na wabunge wengine 8
●1969 serikali ikamtuhumu Kambona kwa uhaini na watu wengine 7
isipokuwa Milinga na Kambona

●walihukumiwa vifungo tofauti. Bibi Titi alipata msamaha wa Rais mwaka 1972
●Baada ya Iddi Amin kumpindua Milton Obote, nyumba ya Kambona ilitumika kumhifadhi
●Ameishi nyumba hiyo tangu 1971 hadi aliporejea Uganda
●ugomvi ulizuka baada ya kutofautiana mtazamo wa muundo wa kisiasa
●1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa Kambona akarejea Tanzania
●akasafiri kwa kutumia nyaraka za UN zilizotolewa na Uingereza
●serikali ikamtaka arekebishe taarifa za uraia wake, maana ni M~Malawi
●Kambona akazungumza na wananchi akisema sababu za kutofautiana na Nyerere
● “mimi na Nyerere tuluanzisha TANU. nilimpinga Nyerere kuleta siasa za China za chama kimoja”
●Kambona aliishi Uingereza kwa miaka 25 tangu walipotofautiana na Nyerere
●Kambona akataka kufanya mkutano mkubwa viwanja vya Jangwani, kueleza “ufisadi wa Nyerere”
●viongozi wa dini wakamsihi asifanye hivyo, akagoma na kuendelea na msimamo wake
●watu wakamwagika Jangwani. akamtuhumu Nyerere na wengine kwa tuhuma nzito bila ushahidi
●mawakilu wa viongozi waliotuhumiwa wakampa Kambona siku 12 kuomba radhi au ushahidi
●Kambona akawaeleza “mtu mzima hatishiwi nyau”. akasema ushahidi ameusahu nchini uingereza
●Kambona alifariki mwaka 1997, London, Uingereza na mwili wake kupokelewa na viongozi wa serikali pia
●kati ya viongozi wa serikali waliofika kumpokea Kambona ni Jakaya Kikwete
●Kikwete alikuwa ni waziri wa mambo ya nje ya nchi wakati huo
●Nyerere hakuwahi kuonana na Kambona tangu mwaka 1967 hadi anafariki
●Nyerere hakufika pia msibani kumzika rafiki yake wa miaka mingi

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Martin M. M

Martin M. M Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @IAMartin_

8 Jan
MAMA FATMA KARUME; anasema mzee ABEID KARUME alimueleza, endapo atakutwa na mauti katika mapinduzi ya kumuondoa SULTAN katika ardhi ya Zanzibar, basi mkewe abakie kwa furaha na amani kwa sababu mumewe ni shujaa na akamtaka asomeshe watoto wao (endapo atakutwa na mauti). UZI 👇 Image
PAULINE OPANGO LUMUMBA; mke wa mwanamapinduzi wa Zaire (sasa DR Congo) Patrice Emery Lumumba, alishuhudia kukamatwa kwa mumewe mjini Ilebo jimboni Kassai-Occidental kabla ya kuuwawa jimboni Katanga Januari 17, 1961. Alichofanikiwa kubaki nacho Pauline ni Barua ya Lumumba Image
Ambayo Patrice aliita “risala yangu ya mwisho kwa Pauline” Kwenye risala Patrice Lumumba alisema "sihofii maisha yangu mwenyewe, ikiwa itahitajika kumwaga damu yangu ili wakongo wapate uhuru wa kweli, kamwe siwezi kusita kuwa sehemu ya sadaka hiyo kwa taifa langu" Image
Read 31 tweets
18 Nov 20
Hatuishangilii STAZI kwanini?👇

@Matiko_Esther_ aliyekuwa Mgombea Ubunge katika Tarime Mjini, amenieleza habari za kupotezwa kwa ndugu Damas Wilson mmoja ya vijana wa hamasa wa CHADEMA Tarime Mjini ambaye 'alipotea katika mazingira ya kutatanisha' tangu usiku wa 26/10/2020 👇
Imeelezwa kuwa kijana Damas Wilson alipotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa na mwenzake anaitwa Richard Kayanda Tongoli walipokuwa wakitokea nyumbani kwa @Matiko_Esther_ aliyekuwa Mgombea Ubunge Tarime Mjini baada ya kumalizika Kampeni na kwenda kutawanyikia nyumbani
Damas Wilson na Kayanda Tongori ni Vijana wa Hamasa wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini tangu kuanza kwa Kampeni mpaka kupotea kwao huku Damas Wilson akiwa mkazi wa Mtaa wa Byambwi Kata ya Bomani na Richard Kayanda Tongoli akiwa mkazi wa Mtaa wa Byambwi Kata ya Nyandoto.
Read 5 tweets
3 Nov 20
On Monday @TunduALissu, Chadema’s candidate in the presidential election, was arrested by Tanzanian police outside the German embassy.

Knowing that they were coming for him, he had sought diplomatic protection. He was first turned away by a political officer at the US Embassy
He then went to Umoja House – where the EU, UK, German and Dutch missions are located – where he waited for several hours while the bureaucrats inside deliberated on whether or not to let him in.
Shortly before he was picked up by the cops he sent a WhatsApp message: “They’re all in dread of this petty tyrant it’s unbelievable.”
Read 4 tweets
1 Nov 20
Jana jioni marafiki zangu wakanichukua kwenda kutazama mchezo wa Biashara United na Yanga SC, lakini sikuwa na hamu ya kutazma use mchezo. Siku yangu ikaita mara none, sikupokea au kutazama. Message ikaingia, nikaamua kusoma nikakuta Askofu Emasius Mwamakula kanipigia kwa kitambo
Askofu Mwamakula baada ya kuona sipokei simu aliniandikia ujumbe wa maneno, nikausoma, nikampigia, Tulizungumza kwa kitambo kirefu, alinipa neno kubwa la faraja sana. Pia akatuombea watanzania wote na mwisho akaomba kuzungumza na ****** ambaye pia alikuwa na ujumbe wake wa kiroho
Kwanini nasema haya hadharani? Sio viongozi wote wa dini wanaweza kutambua maumivu ambayo tunapitia sasa. Sio wote wanatambua kiwango cha kisasi katika vifua vyetu. Viongozi wa dini wanazo nguvu za ushawishi, kusimama hadharani na kukemea uovu kunaponya wengi. Kunyamaza kimya ni
Read 5 tweets
1 Nov 20
Siku ya kupiga kura kuna Askari Magereza mmoja alitutonya kuwa Kituo cha Magereza watumishi wamepewa karatasi za kura 3 kwa kila Mgombea kwa lengo la kuchagua wagombea wa CCM

Yule Askari Magereza alipewa akahoji kwa nini anapewa Karatasi 3 wakati anatakiwa kupewa Karatasi 1?
Wakati Askari akipewa kumbe wa mbele yake alikuwa amepewa nae. Wakala wetu akashtuka na kumsimamisha yule Mama. Kabla hajatumbukiza karatasi ikakaguliwa na kukutwa amepiga kura 3 za Michael Kembaki (Mgombea wa CCM). Muda huo Esther Matiko akapata taarifa, akafika.
Askari aliyekuwa analinda kituo akapiga simu Polisi na kuita gari ya polisi kuwa Chadema tunaleta vurugu na kuharibu uchaguzi.... mwisho wake @Matiko_Esther_ na mgombea udiwani kata ya Kenyamanyori wakakamatwa na hadi mgombea udiwani yupo mahabusu na wengine waliokamatwa hapo.
Read 4 tweets
2 Jun 20
MAMA FATMA KARUME; anasema mzee ABEID KARUME alimueleza, endapo atakutwa na mauti katika mapinduzi ya kumuondoa SULTAN katika ardhi ya Zanzibar, basi mkewe abakie kwa furaha na amani kwa sababu mumewe ni shujaa na akamtaka asomeshe watoto wao (endapo atakutwa na mauti). UZI 👇
PAULINE OPANGO LUMUMBA; mke wa mwanamapinduzi wa Zaire (sasa DR Congo) Patrice Emery Lumumba, alishuhudia kukamatwa kwa mumewe mjini Ilebo jimboni Kassai-Occidental kabla ya kuuwawa jimboni Katanga Januari 17, 1961. Alichofanikiwa kubaki nacho Pauline ni Barua ya Lumumba
Ambayo Patrice aliita “risala yangu ya mwisho kwa Pauline” Kwenye risala Patrice Lumumba alisema "sihofii maisha yangu mwenyewe, ikiwa itahitajika kumwaga damu yangu ili wakongo wapate uhuru wa kweli, kamwe siwezi kusita kuwa sehemu ya sadaka hiyo kwa taifa langu"
Read 31 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!