Jana jioni marafiki zangu wakanichukua kwenda kutazama mchezo wa Biashara United na Yanga SC, lakini sikuwa na hamu ya kutazma use mchezo. Siku yangu ikaita mara none, sikupokea au kutazama. Message ikaingia, nikaamua kusoma nikakuta Askofu Emasius Mwamakula kanipigia kwa kitambo
Askofu Mwamakula baada ya kuona sipokei simu aliniandikia ujumbe wa maneno, nikausoma, nikampigia, Tulizungumza kwa kitambo kirefu, alinipa neno kubwa la faraja sana. Pia akatuombea watanzania wote na mwisho akaomba kuzungumza na ****** ambaye pia alikuwa na ujumbe wake wa kiroho
Kwanini nasema haya hadharani? Sio viongozi wote wa dini wanaweza kutambua maumivu ambayo tunapitia sasa. Sio wote wanatambua kiwango cha kisasi katika vifua vyetu. Viongozi wa dini wanazo nguvu za ushawishi, kusimama hadharani na kukemea uovu kunaponya wengi. Kunyamaza kimya ni
Kuamua kuisaliti "kweli" na ukweli ni neno. Kuna upande unahitaji faraja na kuna upande unahitaji kuonywa kiroho na kibinadamu. Hizi pande tukiamua kuziacha zijiendeshe zenyewe tutakuwa hatulitendei haki taifa let ambalo linahitaji uponyaji. Haki imporwa, washindi wamepokwa.
Walipokwa haki ya kuchagua ni wapiga kura, wamechaguliwa wasiowataka. Walioporwa ushindi ni wale waliochaguliwa na wapiga kura lakini hawakupewa haki yao ya ushindi. Hawakutangazwa. Wote hawa wanahitaji tohara ya kiroho. Viongozi wa dini simameni kwenye haki na ukweli.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Martin M. M

Martin M. M Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @IAMartin_

1 Nov
Siku ya kupiga kura kuna Askari Magereza mmoja alitutonya kuwa Kituo cha Magereza watumishi wamepewa karatasi za kura 3 kwa kila Mgombea kwa lengo la kuchagua wagombea wa CCM

Yule Askari Magereza alipewa akahoji kwa nini anapewa Karatasi 3 wakati anatakiwa kupewa Karatasi 1?
Wakati Askari akipewa kumbe wa mbele yake alikuwa amepewa nae. Wakala wetu akashtuka na kumsimamisha yule Mama. Kabla hajatumbukiza karatasi ikakaguliwa na kukutwa amepiga kura 3 za Michael Kembaki (Mgombea wa CCM). Muda huo Esther Matiko akapata taarifa, akafika.
Askari aliyekuwa analinda kituo akapiga simu Polisi na kuita gari ya polisi kuwa Chadema tunaleta vurugu na kuharibu uchaguzi.... mwisho wake @Matiko_Esther_ na mgombea udiwani kata ya Kenyamanyori wakakamatwa na hadi mgombea udiwani yupo mahabusu na wengine waliokamatwa hapo.
Read 4 tweets
2 Jun
MAMA FATMA KARUME; anasema mzee ABEID KARUME alimueleza, endapo atakutwa na mauti katika mapinduzi ya kumuondoa SULTAN katika ardhi ya Zanzibar, basi mkewe abakie kwa furaha na amani kwa sababu mumewe ni shujaa na akamtaka asomeshe watoto wao (endapo atakutwa na mauti). UZI 👇
PAULINE OPANGO LUMUMBA; mke wa mwanamapinduzi wa Zaire (sasa DR Congo) Patrice Emery Lumumba, alishuhudia kukamatwa kwa mumewe mjini Ilebo jimboni Kassai-Occidental kabla ya kuuwawa jimboni Katanga Januari 17, 1961. Alichofanikiwa kubaki nacho Pauline ni Barua ya Lumumba
Ambayo Patrice aliita “risala yangu ya mwisho kwa Pauline” Kwenye risala Patrice Lumumba alisema "sihofii maisha yangu mwenyewe, ikiwa itahitajika kumwaga damu yangu ili wakongo wapate uhuru wa kweli, kamwe siwezi kusita kuwa sehemu ya sadaka hiyo kwa taifa langu"
Read 31 tweets
29 May
PAULINE OPANGO LUMUMBA; mke wa Patrice Emery Lumumba, alizaliwa 1937 na kufariki 2014 akiwa nyumbani kwake jijini Kinshasa, taarifa ya msiba wake ulitangazwa na Lambert Mende msemaji mkuu wa serikali ya Kongo, Pauline anajulikana pia kama "Pauline Opangu Mama wa Taifa" THREAD 👇
Pauline alikuwa ni mwanaharakati wa Kongo na mke wa Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huru. Alizaliwa kijiji cha Wembonyama, Tarafa ya Sankuru, Jimboni Kasai katika iliyokuwa Belgian Kongo. Aliolewa na Patrice Lumumba mnamo Machi 15, 1951
Kwa mujibu wa Karen Bouwer katika kitabu chake cha Gender and Decolonization in the Congo, watu wengi Afrika wanamuona Lumumba kama kiongozi wa pili bora karne ya 20 nyuma ya Nelson Mandela kwa alama ya uhuru wa kweli wa Afrika. Leo tumtazame mkewe. Pauline Opangu Lumumba
Read 32 tweets
5 May
Tujadili hali ya miundombinu katika majimbo yanayoongozwa na CCM. Maana mkuu wetu alisema ukichagua CCM umechagua maendeleo.

Hali ya barabara jimbo la Chemba, Mbunge wake ni Juma Nkamia. Huyu ndie yule mbunge anaetaka Rais Magufuli aongeze kwa kipindi cha miaka saba mingine..
Tujadili hali ya miundombinu ya barabara katika majimbo yanayoongozwa na CCM. Ukiwasikiliza wabunge wa CCM bungeni wanavyoongea unaweza kudhani majimbo yao ni Toronto au Ottawa.

Jimbo la Kilolo, mbunge wake ni Venance Mwamoto (CCM)
Hali ya miundombinu ya barabara katika majimbo yanayoongozwa na CCM. Sasa kamsikilize anavyosema kuhusu maendeleo makubwa ya kununua ndege unaweza kudhani jimboni kwake kuna miundombinu kamilifu.

Jimbo la Mufindi Kaskazini, Jimbo hilo mbunge wake ni Mahmoud Mgimwa (CCM)
Read 4 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!