BREAKING NEWS.
06/06/2021

#UZI

MWALIMU ADAIWA KUMPA MIMBA MTOTO WA MWALIMU MWENZAKE HUKO SAME.

Oyaaa Kichwa Ya Habari a.k.a Heading Mumeiona🤓🤓ila #DUNIA

Tushukee Waku Elewa Ni Suala La Kweli.
Same. Mwalimu wa shule ya Sekondari Lugulu iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro,.

Anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu, mwenye umri wa miaka 17 na kisha kutokomea kusikojulikana.
Mei 27 mwaka huu shule hiyo iliwapima wanafunzi wote wa kike ujauzito na mwanafunzi huyo alibainika kuwa na ujauzito wa miezi wa sita.

Akizungumza na Mwananchi juzi, Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Nduga Makenji ...
alisema baada ya mwanafunzi huyo kubainika kuwa na ujauzito walimhoji na alimtaja mwalimu kuhusika na ujauzito huo.

“Mei 27 kama ilivyo kawaida ya kupima wanafunzi ujauzito wakati wa kufunga shule, mwanafunzi huyu alibainika kuwa
na ujauzito wa miezi sita, tulimhoji aliyehusika na ujauzito wake ambapo alimtaja mwalimu (jina linahifadhiwa) kuhusika na Uja Uzito huo.

“Wazee au mnataka Jina lake pia 😂Tulia hii ni Battle ya walim yaani..Tushuke na habar yetu.
“Tulimweleza mzazi wake ambaye tulikuwa tukishirikiana naye, baada ya mwalimu anayetajwa kuhusika na ujauzito kupata taarifa hizi alikimbia na mpaka sasa hatujampata.

"Oya Ata kama ni Ww Unge Baki..!?😅lazma usepe eeh.
Sema Nn Wakuu adi Leo Jombaa Ajulikan amesepea wap yaani.

Oyaa @funjojr 😂😂uangalie bana sket izii unaona mnyamwez ukuu kasepa.
Anyway Tuishie apo ww unasemaje juu ya Hili.

Mwanamfunz ana makosa kumuachia Mwalim Utelez au Mwalimu Ndo ana Makosa kumlaghai Mwanamfunzi..!?

Weka Comment chini.

Usiache ku butua #RETWEET.🤳

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Mobam✨

Mobam✨ Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @iam_mobam

7 Jun
#Simulizi_Uzi

SAFARI YANGU YA KUTO KUMWANI MWANAMKE KTK MAHUSIANO ILIPOANZIA.

Baada ya mahusiano ya miaka minne ya uaminifu na upendo kwa binti mmoja hivi jina kapuni, ndipo safari yangu ya kuto mwamini tena mwanamke katika mahusiano ilipoanzia kutokana na kile alichonifanyia. Image
Katika maisha yangu ya mahusino na huyo binti, nilikuwa mwaminifu sana pia nilimwamini kupita kiasi, siwezi sema labda sikuwa na uzoefu katika mapenzi laahasha,

nilikuwa na uzoefu kuliko hata binti mwenyewe yaani..🙌🏾 Image
Kutokana na mazingira aliyokuwa ameyajenga kwangu ndio kilikuwa kichocheo kikubwa kilicho changia kumwamini kupita kiasi,

Kwa uaminifu niliokuwa nao hata kama ungempiga picha akiwa nyumba ya kulala wageni(guest).. Image
Read 20 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(