JINSI YA KUTENGENEZA MAUDHUI (CONTENTS) YENYE KUONGEZA USHAWISHI KWA MTEJA.

Mara nyingi katika kutengeneza Maudhui, tunatumia mawazo, Ideas na ushawishi wetu binafsi...

..lakini, kuzingatia muonekano na aina ya Maudhui yanayoandikwa ni jambo muhimu mno.
Ni rahisi sana kutengeneza mawazo na topic mbalimbali kwa ajili ya wateja wako...

..Lakini, kama muuzaji, ni lazima uwe na uelewa mkubwa wa namna ya kuwasilisha mawazo hayo kwa mteja wako.
Ndio maana ni muhimu sana kufahamu namna mbalimbali ya kuandika maudhui yanayokidhi mahitaji ya mteja wako.

Kupitia mchanganyiko huu wa maudhui, itakusaidia kuongeza wafuasi wako zaidi, kufikia wateja wapya, na kutengeneza mazingira rafiki ya kuuza Bidhaa au huduma yako.
Haya ni makundi 4 muhimu ya maudhui yanayoweza kukusaidia katika kuongeza ushawishi kwa wateja wako;
1. Maudhui ya Kuburudisha (Entertaining Content)

Unapokuwa na Malengo ya kujenga ufahamu kwa kuamsha hisia mbalimbali juu ya bidhaa au huduma unayoitoa kwa wateja wako, ni muhimu zaidi kutengeneza maudhui yenye kuburudisha na kuongeza Furaha kwa Mteja wako.
Mfano: Storytelling Contents, Brand Stories (Hasa shuhuda za Wateja wako), na Social media Quizzes.
2. Maudhui ya Kuelimisha (Educational Contents)

Kwa ajili ya kujenga commitment na ushawishi wa kununua huduma au bidhaa yako, focus zaidi katika namna unavyoweza kutatua matatizo yao.

Kufahamu Tatizo =>> Kutatua Tatizo

Mfano mzuri ni Contents za Brother @GillsaInt
Mfano: Infographics, Product Demos, Videos au Makala Mbalimbali kuhusu huduma au Bidhaa zako.

Unaweza kuangalia Instagram page ya @ThamaniAcademy
3. Maudhui ya Kushawishi (Convincing Contents)

Kwa ajili ya kumvuta mteja aweze kununua bidhaa yako au kuchukua hatua nyingine muhimu, focus zaidi katika kufunga gap lilipo kati ya kile anachokifahamu na asichokifahamu.

@NyandaAmosi ni mfano mzuri wa content hizi.
Mfano: Case Studies, Workshops, Madarasa ya online, au Mikutano ya Mtandaoni (Webnar na Zoom Meeting etc).

@fotty__ ana content yake ya mazungumzo kwa simu. Unaweza kujifunza kutoka kwake pia.
4. Maudhui ya Kuhamasisha

Kama unataka kuamsha hisia zaidi na kujenga mazingira ya kuuza bidhaa au huduma yako, basi hakikisha maudhui yako yanaweza kumhamasisha mteja wako

@mafolebaraka kupitia yeye utaona namna anavyogusa hisia za vijana wengi kupitia content za Freelancing.
Mfano: Mrejesho au shuhuda za wateja wako wengine, Comment nzuri za wateja wako, Mawazo yenye ushawishi kutoka kwa Watu Maarufu (Influencers) kuhusu huduma yako.
Kama Mjasiriamali katika eneo lolote au Mmiliki wa Biashara yoyote, ni muhimu kuhakikisha unaelewa nini hasa wateja wako wanahitaji kabla ya kuanza kuwauzia huduma au bidhaa yako

Ni Imani yangu #UZI huu umekuongezea kitu

Kindly RT ili na wengine wajifunze

Your Friend,

Ansey.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Anselmo

Anselmo Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @CoachAnsey

18 Aug
MBINU 5 ZITAKAZOKUSAIDIA KUKUZA BIASHARA YAKO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII.

Inawezekana hapo ulipo umekwama, huoni maendeleo yoyote ya biashara yako, wakati huo huo unaona wapinzani wako wanaendelea kupiga hatua.

Upo katika hali hiyo?
Usiwe na wasiwasi, kila mfanyabiashara au mjasiriamali kama wewe, amewahi kupitia hali kama hiyo.

Kama umeshindwa leo, haina maana utaendelea kushindwa kila siku.

Au unasemaje Brother @mafolebaraka ?
Siku zote SILAHA kubwa katika biashara na MAARIFA!

Maarifa ndio silaha yako kubwa, ndio maana leo unapaswa kunisikiliza kwa makini kwa sababu ninaenda kukupa MAARIFA (Mbinu) takazokusaidia kufufua tena matumaini yako.
Read 21 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(