Sikuizi value ya relationship inadepend na vile partner wako akona pesa, it's all about thamani.
A Thread
My pal Vic alikua fresh from highschool, alitoka from kucram the solvay process to trusting the process akichase bag, bag ya simiti. Kumbe champ alikua ameshaanza kuulizia kazi ya mjengo ati juu exam yao ilikua mawe na haoni akipita, mi nikamconnect juu watu ni kujengana
Vic alikua amestick to her first love mwenye walijuana since class 6, unakumbuka wale watoto walikua wanapanda stairs kwa kitabu ya maths ya ryma pamoja? Kumbe Vic na Eliza waliendelea pamoja step by step hadi wakamaliza highschool. Mapenzi ilikua na foundation strong ta bomu
I fell in love with a rich girl halafu kikaumana. The story of Morio and Juliet
A Thread
Mtaa mi hubanjuka na ma-cool kid, ma skrr skrr niggas. Hivi ndo wao huunda form "you guy my guy si we go mumunya some nyags, kwanza my moti doesn't have some ngata and I'm low on guala so I will just use my paps Rangy" then wanamalizia na "1824 is the motive my slime 🤞🏾🤟🏽🤙🏾👌🏾"
Hawa watu ndio uelewe wanasema nini lazima utumie subtitle 😂, so on this day tulikua tunaenda some house party hapo around, sisi haoooo ndrrrrrr hadi kwa mansion. Wadau, mi sijawai ona keja kama hio, itabidi nitafute watu wa nyamabite wanionyeshe kukafunga hio design.
Dame akikuambia ameenda "road" trip wewe jua the "a" is always silent bro
A Thread
My pal Vic alikua ameshapata DL na kajob mahali, now it was our job to drive these women crazy. Alikua ametoka from a relationship right back home, to the streeeeets. From "morning baby❤" to "battery full remove charger😂" from "kupigana cable" to "unplug cable from socket"
Napendanga watu wakirudi streets, kupiga sherehe na heart broken souls hukua greatness tupu!!. Tulikua tunatafuta that one party ya kujump start dhambi. Hio time big man bar-zu hakua amefungua bar na hatukua na Uhuru wa kunywa Pombe so tulikua tunakata maji chini ya maji.
Nilisaidia my bro keja ashugulikie maslahi ya bambi, halafu wakaweka kambi kwangu na wakakataa kutoka hadi na bangi
A Thread
My pal Kim alikua akipiga this rich girl Bianca lugha, talking stage ilikua miezi mbili kama short course but finally aliingia box yake. My pal aliingiza dame anatumia iPhone box yeye akitumia Tecno, huyu lazima angeniambia Siri yake and I wasn't going to tec-no for an answer😌
Kim alikua delivery guy kwa shop flani apa tao inaitwa Techsmartke, ya kuuza iPhones, na on this day alikua anafanya delivery kwa kina Bianca. Bwana ya Bianca wanted to surprise her with an iPhone on her birthday, and that's how Kim met her na akaplay cards right akapewa namba
Nairobi hukua mainly for character development, before unotice uko kwa relationship umeshaachwa kitambo, dame anakuteka akikutoka.
A Thread.
Tulikua tumerelax mansion na my pal Mbeki tukitoa minji like niggas in Kiamaiko. Mbeki hawezi nyamaza, alikua ananiambia story nilimuambia juzi😂.Ulimi ilikua imeisha side moja kama slippers mzee buana. Tulikua tuserve hio minji on that WAP(wet ass plate) for the culture.
Ilikua on a Saturday afternoon kitu saa nane hapo tukiskiza ngoma za Octo na Jones tukicompare nani ndio m-khali. Hio playlist ilikua lit kuliko gikomba, nikama tulikua kamiti juu bars zilikua zinaflow ajabu. Hii beef ya Octo inakuanga ya pesa juu nikama Khaligraph anam O G💸