Sikuizi value ya relationship inadepend na vile partner wako akona pesa, it's all about thamani.
A Thread
My pal Vic alikua fresh from highschool, alitoka from kucram the solvay process to trusting the process akichase bag, bag ya simiti. Kumbe champ alikua ameshaanza kuulizia kazi ya mjengo ati juu exam yao ilikua mawe na haoni akipita, mi nikamconnect juu watu ni kujengana
Vic alikua amestick to her first love mwenye walijuana since class 6, unakumbuka wale watoto walikua wanapanda stairs kwa kitabu ya maths ya ryma pamoja? Kumbe Vic na Eliza waliendelea pamoja step by step hadi wakamaliza highschool. Mapenzi ilikua na foundation strong ta bomu
Mapenzi ilikua imeshika moto kuliko gikomba hadi jamaa alikua ameshajua mahali atapeleka mahari. Hawa kitu walikua wamebakisha ni kushonesha kitenge, Liz alikua wife material already. Dame hakua mrembo vile, hata kama alikua anakaa vile anataka, alikua anakaa vile Vic hua anataka
Vic alikua anajikaza anatengeneza Liz kucha ndio akikam kumtembelea apewe agware usiku kucha. Bro mwanaume ni kuparara ndio bibi ang'are. Liz alikua anangoja saa mapero wa Vic hawako area halafu anakam kama masaa ya curfew huko Mombasa, alikua anakam only when the coast is clear
Mama Liz naye alikua mama wa kushona, Liz ndio alikua mtu wa kusaidia incase nguo zikue mingi na customer ni wengi but ikifika siku za mechi ilikua inabidi amedanganya mzazi vile masake hudanganya customers wa nguo. Hio familia ilikua ya watu wa fabricated lies. Get it?
Liz alikua anakuja na fare yake, hakuna vile Vic angemhost, ampikie food na bado amlipie fare, yeye hawezi ingilia kazi ya Bonfire Safaris. Vic walikua wanastay kando ya salon ilikua hapo karibu na stage ndio Liz akikam kumtembelea akue anashukia hapo kwao.
After results zimetoka, buda ya Vic aliona haina haja ya kijana kumjazia choo hadi September, akaona ampeleke short course kapolytechnic hivi. Budake alisema hataki kuona mtoto wake akiingia kwa vikundi mbaya which is ironical juu Vic alikua anaitwa Nyakundi😭😂
Ikabidi amewacha bibi Nairobi yeye akaenda kujifunza filming. Kumbe paka akiondoka, paka hutawalwa, get it? Liz alipatana na msee malooku, Alex , pia yeye alianguka KCSE akataka kuanza kulima bangi ndio aone kama atapata high grades but akaona acha ajaribu usanii
Alex alikua anadrip kama besheni imetoboka, ndio maana hakua anatembea na saa juu drip is timeless. Liz alianza kupelekwa dinner, akaanza kupelekwa movies hadi akaanza kupigishwa drip. Alitoka from a 2/10 to a 10/10, from kuvaa Dorris Ng'ang'ana to Dolce & Gabbana.
Kama locals ziko first floor Alex alikua ameraise the bar. After a while communication ikaanza kupungua, dame hataki story za Vic anataka pesa kila saa. "Babe send me money for nails" nikama anataka kusulubisha yesu "Babe I need new shoes" na saizo hata hamtembelei
My guy alianguka hesabu but alikua anajua when sh!t don't add up.Alianza kuona red flags ungedhani ako campaign ya Jubilee. Vic alitime on Friday after class akaamua kupiga a surprise visit on the weekend. Coincidence, Alex alikua na listening party ya album yake before airelease
Sikua najua huko vizuri but nlikua nimepromise Vic nitampeleka aone nani amebadilisha serikali. Tukauliza ulizia kwa mabeshte huko hadi tukapata kwenye party ilikua, mi hukua msee wa watu huku mtaa, naona ata nikiitisha MCA juu I'm a man of my ward.
Si tulifika huko as gate crashers with no shame, huko kulikua kwa macoolkids. Hadi environment na weather ikachange enyewe vindu vichange ANGA, pesa ni mzuri wadau. After like 10 minutes watu walisettle so Alex akasimama kumake announcement.
Akapitisha pamphlet ilikua na tracklist ya his new album zilikua ngoma kama 7 hivi. So mimi na Vic tulinotice kitu weird, Alex hakua boy alikua dame😭. Her name was Alexa, alikua stud so akashorten jina to Alex. Sisi ni story tulikua tunaambiwa hatukuwai muona yet, 😂
Tulikua mtu chwani huko lakini track number one ilikua titled "trust nobody"😂 akisema ati back then when we were eating them Navy Seals na saizo anamaanisha alikua anakula KDF😭 ati "now we getting those Benjamins" na sisi tunajua anatafuta sura ya Kenyatta kwa wolenje
Huyu kama hii mziki ndio ilikua imtoe out of the hood, hapo nayo zii. After 2 songs hivi akasimama tena akisema "before I play this next song I want to introduce my baby to whom I dedicated this track to" Liz alitoka behind the curtains kama mtu anaingia kuperform drama festivals
Alitoka kama amevaa tumbo cut see me through ilikua inaonesha tiddays, badala ya kuzificha alikua anazifeature. Alikua ametoboa pua, kitovu na maskio kitu alikua amebakisha kutoboa ni maisha. Lakini alikua anakaa poa design akiketi bado amesimama na akisimama bado anakaa poa
My guy roho ilianza kudundia kwa magoti, alianza kutetemeka mwili mzima nikama ako kwa tuktuk. Hadi alishindwa kublink, my n!gga froze he didn't move for 5 minutes. Hapa nikaona the only way ni tujitoe, otherwise huku mambo ingeharibika, tukatoka kitu 7 nikacall msee wa nduthi
Rider kajaba kalikua kameshika excess, Vic akapanda wa kwanza, nikapanda sisi tukashika njia, mimi nilikua nimejishikilia na chuma hapo nyuma, Vic ameshika msee wa nduthi, msee wa nduthi ameshikilia handle, nduthi nayo imeshika lami, sisi hao hadi klabu kushikisha before zifungwe
Tuliingia klabu DJ akicheza ile ngoma ya Boutross, jamaa alikua anapiga nduru za Sailors akiwa pekee yake watu wanadhani ni psyche akonayo kumbe yeye anaomboleza 😭. Wadau hamkuniambia kupiga sherehe na heartbroken souls hukua greatness tupu.
Ngoma ilikua like "ati Wanjiru ako single" yeye ako like "mi niko single piaaaa😭😭" Nikamuuliza tutaenda kupiga hii shash kwanza ama tutaanza na drinks? Akaniambia skiza message bro "si Musa aliburn-ingi bush na bado alikata hio maji?"
After a few drinks jamaa alianza kutapika cabbage buana nikama alikua amekula chakula ya sungura, nikamtoa nje nikamchoma kimoja ndio atulie. Vic alinyamaza akiangalia chini a whole 15 minutes halafu akainua kichwa akanishow bro unajua nini? Nikamuuliza nini? akasema bro tustep!
Vic hakua na anything to show for their relationship hata picha, nikama walikua wanadate ki-embassy, no pics allowed. Alikua anasomea mambo ya photography but he failed to see the bigger picture. After a while waliongea, Liz akamshow yeye anataka the soft life, babygirl treatment
Kama Vic hana pesa haiwezi make na si kwa ubad. Hata ka waliachana mechi bado inaendelea, turns out she's bi, enyewe ukiwa na pesa unaweza chomoka in any style. Anyway relationship hua inasimama vizuri kama kuna pesa, hio nayo mkae mkijua. Ukiwa na mathao hawezi kuku-tenga.
You can check out my other threads and follow for more threads coming your way🤝👌🔥
I fell in love with a rich girl halafu kikaumana. The story of Morio and Juliet
A Thread
Mtaa mi hubanjuka na ma-cool kid, ma skrr skrr niggas. Hivi ndo wao huunda form "you guy my guy si we go mumunya some nyags, kwanza my moti doesn't have some ngata and I'm low on guala so I will just use my paps Rangy" then wanamalizia na "1824 is the motive my slime 🤞🏾🤟🏽🤙🏾👌🏾"
Hawa watu ndio uelewe wanasema nini lazima utumie subtitle 😂, so on this day tulikua tunaenda some house party hapo around, sisi haoooo ndrrrrrr hadi kwa mansion. Wadau, mi sijawai ona keja kama hio, itabidi nitafute watu wa nyamabite wanionyeshe kukafunga hio design.
Dame akikuambia ameenda "road" trip wewe jua the "a" is always silent bro
A Thread
My pal Vic alikua ameshapata DL na kajob mahali, now it was our job to drive these women crazy. Alikua ametoka from a relationship right back home, to the streeeeets. From "morning baby❤" to "battery full remove charger😂" from "kupigana cable" to "unplug cable from socket"
Napendanga watu wakirudi streets, kupiga sherehe na heart broken souls hukua greatness tupu!!. Tulikua tunatafuta that one party ya kujump start dhambi. Hio time big man bar-zu hakua amefungua bar na hatukua na Uhuru wa kunywa Pombe so tulikua tunakata maji chini ya maji.
Nilisaidia my bro keja ashugulikie maslahi ya bambi, halafu wakaweka kambi kwangu na wakakataa kutoka hadi na bangi
A Thread
My pal Kim alikua akipiga this rich girl Bianca lugha, talking stage ilikua miezi mbili kama short course but finally aliingia box yake. My pal aliingiza dame anatumia iPhone box yeye akitumia Tecno, huyu lazima angeniambia Siri yake and I wasn't going to tec-no for an answer😌
Kim alikua delivery guy kwa shop flani apa tao inaitwa Techsmartke, ya kuuza iPhones, na on this day alikua anafanya delivery kwa kina Bianca. Bwana ya Bianca wanted to surprise her with an iPhone on her birthday, and that's how Kim met her na akaplay cards right akapewa namba
Nairobi hukua mainly for character development, before unotice uko kwa relationship umeshaachwa kitambo, dame anakuteka akikutoka.
A Thread.
Tulikua tumerelax mansion na my pal Mbeki tukitoa minji like niggas in Kiamaiko. Mbeki hawezi nyamaza, alikua ananiambia story nilimuambia juzi😂.Ulimi ilikua imeisha side moja kama slippers mzee buana. Tulikua tuserve hio minji on that WAP(wet ass plate) for the culture.
Ilikua on a Saturday afternoon kitu saa nane hapo tukiskiza ngoma za Octo na Jones tukicompare nani ndio m-khali. Hio playlist ilikua lit kuliko gikomba, nikama tulikua kamiti juu bars zilikua zinaflow ajabu. Hii beef ya Octo inakuanga ya pesa juu nikama Khaligraph anam O G💸
So my pal Vic and Ann were a thing, they had a long distance relationship. Hii maneno hua inawork if only the 4 of you agree to settle. Vic alikua MKU ya Thika Sabina Joy HQ na Ann alikua Cooperative Uni Koinange Branch. Hizi campo mbili ile uasherati iko huko🙅♂️ sodom kando😂
Ann hakua kiatu, lakini Vic alikua amepata his sole mate, kupata Mali safi sio small feat. He had never Senegal like Ann na alikua anamficha kama vile Mr. Kaplan alikua anafichia Reddington mwili. Hakua na iPhone but alikua mSiri until recently aliamua kumpost.
Nilikua migwatos na some fine mamii kuenda kuingiza omuzigidi🍆bahali yake nikateleza ndani ya shimo karibu nianguke nivunjike mbavu
[A Thread]
Huyu mshee tulimeet kwa my pal Tom, alikua amekuja kuwavisit for some weeks halafu arudi kwao. Tom hukua fisi alikua ameamua kupita na yeye, na walikua macuzo😂.Alikua anasema cousin ni kuanzia kwa mapua kuenda juu😂nikamuambia anipige through pass bana. Tom akasema Hilfiger out
Manz nikapewa namba, semeni kufanya interview pale PC. Blue ticks nilikua waaaaaah, ilikua ina-suck lakini si kupe-nda kwangu. Nilikua nasimp kama Osama but nlikua sure kuna siku atakuja ku-blow hii omuchulichuli yangu🍆😂. So after 4 weeks IVy alianza kureply.