Katika historia ya uandishi wa Katiba Mpya duniani hakuna nchi yeyote ambayo iliwahi kuandika Katiba Mpya ikakidhi matakwa ya wananchi wote na taifa kwa 100%. Katiba si Msaafu wala si Biblia kwamba haiwezi kufanyiwa maboresho pale yanapohitajika.
Katiba iliyopendekezwa 2014 imetambua haki za makundi mbalimbali kama vile wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wasanii, vijana, wanawake na wengine. Ni Bora zaidi ya Katiba ya 1977. Kwa sasa tupate #TumeHuruKwanza ili tuweze kurejesha mchakato wa Katiba kuanzia Katiba Pendekezwa.
Pia Katiba Mpya iliyopendekezwa 2014 imetambua haki bunifu, mgombea, binafsi, maboresho katika muungano wetu sambamba na kuweka mfumo bora wa kusimamia rasirimali za taifa na kudhibiti mianya ya matumizi mabovu ya rasirimali.
Kundi pekee ambalo linadhani halijatendewa haki katika Katiba Pendekezwa ni kundi la wanasiasa wachache ambao kwao tafsiri ya Katiba bora ni ile inayokidhi maslahi yao ya kisiasa. Hili ni jambo ambalo watanzania wanapaswa kuelewa, wanasiasa wanapigania maslahi yao sio wananchi.
Jambo la msingi ambalo kila mtanzania anapaswa kukubali ni kwamba Katiba iliyopendekezwa ni bora kuliko hii ya sasa. Wakati baadhi ya watu wakiipinga Katiba Pendekezwa na kudai kwamba haiwezi kulivusha taifa letu,…..
wapo watanzania asilimia kubwa ambao wanaiona Katiba iliyopendekezwa kuwa ni chombo madhubuti ambacho kitachochea maendeleo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja, kutofautiana kimtazamo ni jambo la kawaida na hiyo ndiyo afya ya demokrasia iache ichukue nafasi yake. Tupingane kwa hoja na sio ku-push Hashtags tu. Tuulize maswali na tuhoji pale tunatakiwa kuhoji. Hii ni nchi Huru inayofuata Demokrasia.
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
#Ethiopians cannot find common ground on the future of the country by engaging in half-hearted and exclusionary processes. Crucially, a genuine dialogue cannot unfold while major armed conflicts are ongoing. #EndTigraySiegeforeignpolicy.com/2022/01/24/eth…
The government must seek a peaceful end to the conflict with the Tigrayan forces, the Oromo Liberation Army, which has been fighting for self-determination for the Oromo people, and other armed groups in the country.
Federal authorities bear the primary responsibility for building trust and confidence, and creating the conditions necessary for a comprehensive, inclusive, and credible national dialogue.
#Tanzania: The authorities have started the process of amending the online content and the radio and television broadcasting content regulations of the Electronic and Postal Communications Act.
The current regulations give the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) wide discretionary powers to license blogs, websites, and other online content,…..
……, and prohibit radio and television broadcasters from working with foreign broadcasters unless staff from the communications authority or other government department are physically present. Nothing protects the media and journalists against the executive any more in Tanzania.
#Tanzania: matatizo yanayoikabili nchi yetu ni ‘MFUMO’ wa uendeshaji nchi. Tatizo la pili ni ‘MAADILI’ ya viongozi wa umma. Tatizo la MFUMO linasababishwa na taasisi kutokufanya kazi zinazotakiwa kufanya kwa mujibu wa Sheria na Katiba. Tatizo la MAADILI ni kuanzia kwenye Familia.
Ili kumaliza tatizo la MFUMO ni lazima taasisi kama “Bunge, Mahakama, Ofisi ya DPP, Jeshi la Polisii” zinafanya kazi kwa mujibu wa Katiba, Sheria na kanuni. Ili taasisi zifanye kazi ni lazima kuwa na watumishi wenye maadili, weledi na kusimamia viapo na wazalendo kweli.
Ili kupata watumishi waadilifu wenye mapenzi ya kweli ya nchi yetu (wazalendo) ni kuanzia kwenye familia, jamii mtu anayokulia na taifa kwa ujumla. Tanzania ni wazi swala la uaminifu ni tatizo kubwa sana. Watanzania sio waaminifu kwenye mapenzi, siasa, uchumi, hata dini.
Ni vema Rais Samia akakumbushwa kwamba Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni wa kikabila na kikoo. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliona mbali kwa kuua makabila ili kujenga taifa. Rais Samia siasa za MACHIFU & WATEMI hazifai, ni kuwagawa watanzania zaidi ya kuwaunganisha.
Kwa asilimia kubwa tamaduni za machifu na watemi zimejikita kwenye Upagani, matambiko, ushirikina na mambo ya kuabudu mizimu. Ninaheshimu watanzania wanaoamini mambo hayo lakini sio sababu yoyote Rais wa nchi kutumia machifu na watemi kisiasa. Rais ajikite kudumisha tunu za taifa
Takwimu zinaonyesha wazi kwamba tamaduni za machifu na watemi zimezungukwa na mfumo dume. Rais Samia kama kweli anapigania Haki za wanawake na usawa katika taifa hili hapaswi kushabikia tamaduni hizo ambazo tulishaachana nazo siku nyingi kutokana na kutokuwa ba tija kidemokrasia.
CHADEMA ninayoijua mimi sio hii inayoendeshwa kimihemko na wanaharakati ambao ni wana CCM wenye mgongano wa kimaslahi na CCM wenzao waliopo madarakani. CHADEMA ingesimamia siasa za tija na kujipanga kimkakati ccm ingekuwa haipo madarakani.
a) CHADEMA wanawaa vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae ukifika uchaguzi wanawatupa na kuwaokota mamluki wa CCM na kuwapa nafasi za kugombea. Inasikitisha vijana tamaa na mwisho wanatimkia CCM wanapewa nafasi.
b) CHADEMA akija mgeni kutoka chama tawala wako tayari kuharibu systeam yote na hata kukosana na wazawa kwa ajili ya mabwanyenye wa CCM wenye uroho wa madaraka wakikosa nafasi CCM wanatimkia CDM kugombea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, @SuluhuSamia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa.
Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, utafanyika Desemba 16 na 17, Dodoma.
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya siasa, Juma Ally Khatib alibainisha kuwa mkutano huo utakuwa na mada 3 zinazohusu masuala ya kisheria, demokrasia, siasa, uchumi na maadili ya kitaifa, yanayohusiana na demokrasia ya vyama vingi vya siasa.
Baraza la vyama vya siasa nchini linatumia fursa hii, kushauri vyama vya siasa vyote vyenye usajili kamili, kuhudhuria mkutano huo, kwani ni fursa adhimu ya kubadiishana mawazo. Siasa ni ushawishi na ushawishi hufanikiwa kapitia njia ya mijadiliano.