Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, @SuluhuSamia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa.
Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, utafanyika Desemba 16 na 17, Dodoma.
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya siasa, Juma Ally Khatib alibainisha kuwa mkutano huo utakuwa na mada 3 zinazohusu masuala ya kisheria, demokrasia, siasa, uchumi na maadili ya kitaifa, yanayohusiana na demokrasia ya vyama vingi vya siasa.
Baraza la vyama vya siasa nchini linatumia fursa hii, kushauri vyama vya siasa vyote vyenye usajili kamili, kuhudhuria mkutano huo, kwani ni fursa adhimu ya kubadiishana mawazo. Siasa ni ushawishi na ushawishi hufanikiwa kapitia njia ya mijadiliano.
Uhuru, umoja na mshikamano katika Taifa letu kupitia siasa na demokrasia vitapatikana kupitia baraza la vyama vya siasa. Hata Mwalimu Nyerere aliipata Uhuru wa nchi hii kwa njia ya mazungumzo na kushirikiana na wakoloni. Siasa ni ushawishi na kujadiliana.
Kutokana na ukweli kwamba Baraza la vyama vya siasa nchini liko kisheria ninaamini linauwezo wa kutatua na kuondoa matatizo ambayo yanavikabili vyama vya siasa nchini. Wadau wa siasa nchini ni vema wakahudhuria na kushiriki katika majadiliano. Wahenga walisema “Usikatae Wito”.
Chama cha siasa kususia majadiliano na kukutana na viongozi waliopo madarakani ni sawa na kujichimbia kaburi la kisiasa. Hata kama kweli hawatapata fursa ya kuhutubia au kuzungumza na Rais @SuluhuSamia waende. Huu ni mwanzo mzuri wa kuanza mijadala na mazungumzo ya kisiasa nchini
CHADEMA ninayoijua mimi sio hii inayoendeshwa kimihemko na wanaharakati ambao ni wana CCM wenye mgongano wa kimaslahi na CCM wenzao waliopo madarakani. CHADEMA ingesimamia siasa za tija na kujipanga kimkakati ccm ingekuwa haipo madarakani.
a) CHADEMA wanawaa vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae ukifika uchaguzi wanawatupa na kuwaokota mamluki wa CCM na kuwapa nafasi za kugombea. Inasikitisha vijana tamaa na mwisho wanatimkia CCM wanapewa nafasi.
b) CHADEMA akija mgeni kutoka chama tawala wako tayari kuharibu systeam yote na hata kukosana na wazawa kwa ajili ya mabwanyenye wa CCM wenye uroho wa madaraka wakikosa nafasi CCM wanatimkia CDM kugombea.
I believe that legalizing prostitution would reduce crime, improve public health, increase tax revenue, help people out of poverty, get prostitutes off the streets, and allow consenting adults to make their own choices.
/: Prostitution: I believe that to protect the rights of sex workers, it is necessary not only to repeal laws which criminalize the sale of sex, but also to repeal those which make the buying of sex from consenting adults a criminal offence. #ProtectSexWorkers
The fact that various aspects of sex work are treated as criminal conduct in our country means that sex workers cannot rely on support or protection from the police. For many sex workers, reporting crimes experienced during the course of their work. #ProtectSexWorkers
Mchakato wa #KatibaMpya ulianza rasmi mwaka 2011 kwa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Na. 83/2011 na baadaye ikatungwa Sheria nyingine ya Kura ya Maoni Na. 11/2013.
Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ilitamka kuanzishwa kwa ‘TUME’ ya Mabadiliko ya Katiba.
TUME hiyo ilianzishwa chini ya Waziri mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba, ikaratibu mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi na kuandaa rasimu ya kwanza ya katiba ambayo kupitia uhariri wa Mabaraza ya Katiba ikapatikana Rasimu ya Pili ya Katiba.
Rasimu hii ya pili ambayo ni maarufu kama Rasimu ya Warioba ikawasilishwa kwenye Bunge Maalum la Katiba (BMK) ambalo kwa kiasi kikubwa lilikuwa na wajumbe wengi kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi -Zanzibar.
The ramifications of human rights violations disproportionately affect those living in developing nations due to compounding factors and difficulties. The marginalization of groups based on gender identity and sexual orientation.
Although there are exceptionally progressive parts of the world that have made advances toward the inclusion of the LGBTQIAPK (lesbian, gay, bisexual, transexual, queer, intersex, asexual, pansexual/polyamorous, kink) community, stigmatization remains a dilemma.
Other stigmatized cases include persons living with HIV/AIDS and victims of rape or other forms of gender-based violence which is notorious reality in Tanzania. We are truly concerned about your money ‘Grants’ being used to incite discrimination, inequality and stigmatization.
Myself, Human rights defender, I act to promote or protect human rights in a peaceful manner. Human rights defenders are identified above all by what they do and it is through a description of their actions.
I regret to say that @kigogo2014 doesn’t fit that description as HRD.
To be a human rights defender, a person must act to address any human right (or rights) on behalf of individuals or groups. Human rights defenders must seek the promotion and protection of civil and political rights,
as well as the promotion, protection and realization of economic, social and cultural rights.
Je, unafahamu sababu zinazopelekea mashirika ya ndege barani Afrika kupata hasara?
1. Mashirika kutojipanga vyakutosha katika kusimamia na kuendesha biashara za aina hii kulingana na ushindani uliopo hivi sasa.
2. Mashirika ya ndege mfano Air Tanzania, namna ambavyo lilifufuliwa lilileta maswali mengi kwa wasomi hasa wanauchumi pamoja na wananchi kwa kuwa mchakato wake haukuwa wa wazi.
3. Mashirika mengi ya ndege hivi sasa Afrika yanaendeshwa kwa hasara kubwa na hivyo kupelekea shughuli nyingi za kimaendeleo kusuasua na kufanya hali za wananchi kuwa ngumu na wakati mwingine kupelekea mzunguko wa fedha kuwa mdogo,nani atapanda ndege?