SANUKAnaCHAPO Profile picture
Nov 5 7 tweets 3 min read
Nimefanikiwa kunyaka copies za mkataba wa wasanii hawa na Konde Gang unaonyesha kuwa wote kwa pamoja walikubaliana kutofata masharti ya mkataba wao hasa kifungu namba 15(a)(b)(c) cha mkataba wao wa tarehe 31/08/2020.

🧵shuka nao👇 Image
Stori kamili iko hivi…
Kumbuka wasanii hawa waliingia mkataba wa miaka 10 na lebo hiyo tajwa hapo juu
na endapo Kama Konde Gang wangevunja mkataba na moja ya wasanii hao basi walipaswa kumlipa kiasi cha milioni 10 kama fidia.

Ikumbukwe Konde Gang ndiyo iliomba kusitisha mkataba Image
na wasanii hao, waliwaita chini na kukubaliana kuwa mkataba uvunjwe kwani lebo hiyo haikuwa na haja ya kuendelea na wasanii hao, wasanii waliomba kama mkataba ungevunjwa basi vipengele muhimu vizingatiwe ikiwemo fidia ya pesa.

Wasanii wao kupitia mwanasheria wao walitinga Image
BASATA kama chombo cha kusimamia sanaa wahakikishe haki inafatwa kwenye mkataba huo.

Vikao vikafanyika na baadae wote kwa pamoja(pande 2) zilikubaliana yafuatayo;

• Kampuni kuwarudishia password za account zao ikiwemo Youtube na digital platforms zote Image
Ambapo kazi ya zao zinauzwa.

•Kampuni kutohusika wala kufaidika na mirabaha au hakimiliki yeyote inayotokana na kazi za wasanii

•Kiasi cha milioni 10 kwa kila mmoja wa wasanii hao kutolipwa na kampuni tajwa na kusamehewa dhidi vifungu vya mkataba vinavyotaka kufanya hivyo Image
•Wasanii hao kupewa kazi zote ambazo hazijatoka ila zipo kwenye kampuni basi wakabidhiwe

• Wasanii hao kuwa huru kufanya kazi na watu wengine bila kubugudhiwa.

Kutokana na hayo inaonesha namna gani Harmonize hakuwa na bifu wala haja ya kuwakomoa madogo ambao aliweka Image
Pesa nyingi kwenye kuwa brand na kuwafikisha hapo walipo.

Wakati huo huo pia Harmonize amethibitisha kuachana na first lady wa Konde Gang Bibie Anjella ambapo ametanabaisha hamdai hata senti binti huyo sababu aliamua kumsaidia kwa mapenzi yake.

#TheWalkimgMedia #SanukaNaChapo

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with SANUKAnaCHAPO

SANUKAnaCHAPO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @chapo255

Nov 4
ZUCHU ALIVYOMPA CONNECTION DIAMOND KWA MPOMPO.

Mwezi wa 4 mwaka huu ilirekodiwa ngoma ya Zuchu ft. Adenkule Gold, Love, hii ngoma ishatoka na tukaizungumzia kidogo hapa ila hilo si swala, nachotaka kukusanua ni kwamba 👇

🧵 Image
Namna wimbo wa Sona wa Diamond Platnumz ft Adekule ulizaliwa, yani bila Zuchu kufanya hii kolabo ya Lobe na Adenkule basi Diamond asingefakisha Sona kwa urahisi Sona.

Kabla sijaendelea nakukumbusha kupitia @usedpointTz kuna laptop na simu za bei nafuu sana.

Shuka nayoo👇 Image
Zuchu alikuwa na ushikaji na Adenkule, kuna kipindi Ade alikuwa ana comment kwenye posts za Zuchu kama celebs wengine wa Naija, mazoea yakaongeza ukaribu baina yao hao wawili

Kwahiyo huo ndio ukawa mwanzo wa kupatikana kwa wimbo wa Sona wa Diamond, sababu ni Zuchu ndiye alieye Image
Read 4 tweets
Jan 8
KWANINI COUNTRY BOY AMEONDOKA KONDE GANG?

Tetesi ni kuwa DSM Boy, Chido na Killer hawapo sawa na management yao ya Konda Gang inayoongozwa na Chinga.

Kwanini? Nimeweka uzi mfupi kukufafanulia ili usibaki na maswali.

@usedpointTz @Chapo_Porkpoint

#UZI 👇 Image
Kama nilivyoeleza hapo juu hizi ni tetesi si habari ya uhakika hadi pale wenyewe watakapo thibitisha, naomba kwasasa ichukulie kama tetesi.

Za ndaaaaani kabisa zinadai kuwa kabla DSM Boy hajaingia Kondi Gang alipata bahati ya kufanya ngoma na msanii mkubwa Tanzania👇
Sitomtaja jina ila nilishawai kuandika hapa msanii DSM Boy ndoto zake zilikuwa kufanya kazi na nani.

Alipoingia na kusaini mkataba na Kondi Gang aliambiwa apeleke mezani ngoma alizonazo na moja wapo ni hiyo collabo na msanii mkubwa Bongo.
Menejimenti wakaigomea ngoma kwamba👇
Read 8 tweets
Aug 20, 2021
MSANII WA HIPHOP ‘CLASS’ ALIEKATAA DILI LA MILIONI 300.

Wakati msanii wa Hiphop “class” anaachia ngoma yake pendwa alikuwa on top kiasi cha kukataa show kibao kutokana na ufinyu wa muda yani jamaa ilifika kipindi anafanya show leo na kesho ana show 👇#UZI Image
Sehemu nyengine yani back to back, kwa mujibu wa meneja wake anadai jamaa aliwai kataa show ya milioni 16 😳.

Ikafika kipindi kampuni ya simu ya TigoU katika nchi ya Stanza ilimtaka jamaa awe balozi wa kampuni yao na dau lao lilikiwa milioni 300 kwa mwaka 😋.

Japo jamaa 👇 Image
Alikubali ila baada ya kusikia kuwa mchekeshaji ambae ni balozi wa kampuni hiyo analipwa 300M kwenye mkataba wake jamaa akataka dau kubwa zaidi hapo ndipo waliposhindwana na kampuni ya simu ikaona single moja haiwezi kuwa na thamani ya zaidi ya 300M bora tu waachane nae, yaani👇 Image
Read 5 tweets
Aug 18, 2021
SARAPHINA WA BSS

Nimemsikiliza mikwaju yake mipya kadhaa, itoshe kusema ni msanii wa kumuangalia sana 2022 ana hela zake nyingi.

Ni full package ya msanii, anajua kuimba,kucheza na kutawala jukwaa na kingereza kimelala, hata siku akifanikiwa kwenda kimataifa haitaji👇#UZI
RASI SIMBA wakumfundisha kinge.

Bongo fleva ina uhaba wa wasanii wakali wa kike yaani wanahesabika kabisa na hawazidi hata 10 hivyo ujio wake Saraphina itoshe kusema sio tu anaongeza namba ya wasanii wa kike kwenye kiwanda bali anaongeza ushindani na list ya wasanii wa kali.👇
Nikisikia nyimbo zake kama SIO KITOTO,SINGO,IN LOVE na SITAKI TENA unamsikia Vanessa Mdee kwa mbali hii inanifanya masikio yangu yanayo miss ngoma za V-Money yapate tiba kutoka kwa Saraphina.

Kwasasa Saraphina yupo chini ya Maneja mwenye uzoefu na muziki wa bongo anaejulikana👇
Read 4 tweets
Jul 29, 2021
“NILIPEWA GARI ILI NISITOE STORY ZA WASAFI”

Kuna kauli wasanii wanapenda kuitumia kuwa “Wasanii wenyewe hatupendani” hii kauli wala si utani ni ukweli kabisa kuwa muziki wa Bongo Fleva licha ya kukuwa na kuanza kuwanufaisha wasanii ila vita imekuwa kubwa kila mtu anataka👇UZI
Keki kubwa zaidi ya mwengine kupelekea chuki,uongo,fitna na kurogana ila bahati nzuri bado hawajafikia kuuwana 😂.

Nataka leo nikusimulie kisa cha msanii wa Bongo Fleva kutaka kuwekeza kwenye online Tv kwa sharti moja tu wasitangaze habari za wasafi😳👇
Labda nikuweke sawa waandishi wa habari wanapenda sana hela wao hela kwanza kabla ya kazi yako, wako tuyari waje kufanya coverage ya mkutano wako ila usipowapa bahasha juwa tu hawatorusha tukio lako, nimefanya kazi na waandishi kwa ukaribu kwa zaidi ya miaka mi3 sasa, wana 👇
Read 8 tweets
Jul 27, 2021
MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA KESI YA KUBAKA.

Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa(kipindi hujaja mjini 😂) msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze.👇 UZI Image
Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na 👇 Image
Msanii huyo, huyu binti alikuwa form 2 kipindi hicho akiwa anasoma shule ya sekondari ya kishua kidogo ile wanayovaa nguo za rangi ya damu ya mzee chini na juu shati zao nyeupe ila kama chafu(waliamua tu kujitofautisha na watoto wa umbwa 😀)

Turudi kwenye kisa hasa cha story👇 Image
Read 9 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(