My Authors
Read all threads
#UZI
💨 UNAJUA KUA TECNO na INFINIX ZIMEANZISHWA NA M-NIGERIA??

✴ Tecno na Infinix wametuinua sana, Afrika kwenye watu 10 wenye simu kuna 5 wana tecno.

✴ Hizi simu ni Made in China. Kuna nini nyuma ya pazia?

✴ Nnamdi Ezeigbo ndio nani??
#FLowMaTaTa Shuka nazo 👇👇
✴ Tecno ni kampuni ya simu iliyopo Hong Kong iliyoteka soko kubwa Afrika. Mpaka sasa pato la trillion 2+ za kitanzania.

✴ Bw. Nnamdi Ezeigbo ndiye mwanzilishi wa hii kampuni. Huyu bwana amezaliwa Delta, Nigeria tarehe 4/8/1966. Alivyomaliza elimu ya sekondari alijiunga na
✴ Chuo cha Haba na kusoma diploma ya Electrical and Electronic Eng. Na pia kusoma degree ya Computer science huko Lagos.

✴ Alivyomaliza chuo alifungua ofisi yake ya kutengeneza simu na komputa kama Fundi maiko wa bongo.

✴ Jamaa alikua mkarimu na pia alikua na ule uwezo
✴ wa "Habari, asante kwa kuwasiliana nasi, tunapenda kukutaarufu kuwa....." yaani alikua anajua kuongea na Wateja wake vizuri.

✴ Mdogo mdogo Biashara ikaanza kunoga, kuna siku mteja wake walimshauri kwanini asitanue ofisi yake?, yule mteja akamletea printer
✴ ili aweze kuziuza. Nnamdi Ezeigbo naye akanunua simu akawa anaziuza. Muda tuh Biashara ikaanza kupamba moto mpaka huo moto ukamzidi.

✴ Ikabidi akasome shahada ya uhandisi wa Biashara (BMA program).

✴ Ile ofisi ya kipindi kile akaiita SLOT ikawa maarufu sana hapo Nigeria.
✴ Kuna siku alifikiria kwanini hizi simu ninazouza zisiwe zinatumia line mbili?

✴ Ikabidi awaandikie NOKIA business proposal, NOKIA nao wakaisusa kwasababu walikua wanafurahia kuona mtu mmoja anamiliki Nokia mbili.
✴ Nnamdi Ezeigbo kuna siku alipata safari ya kwenda China. Alivyofika China alikutana na mwamba mmoja ambaye alikua anafanya kazi kampuni ya Bird.

✴ Akampatia huyo mwamba hilo wazo akalikubali. Ikabidi waje wote Nigeria wayajenge vizuri. Nnamdi Ezeigbo alikua ashasajili jina
✴ la TECNO.

✴ Simu ya kwanza kutengeneza ilikua ni Tecno T101 ambayo ilikua unashindwa kufanya kazi kwenye line zote mbili. Wakaja na Tecno T201 ambayo ilifanya vizuri.

✴ Tatizo likaja kwenye mtaji, watu walikua wanachukua mzigo kwa mkopo simu zikishauzwa ndiyo wanalipwa.
✴ Wakapambana mpaka 2007 wakawa washajijengea mfumo mzuri. Teknolojia ya 3G nayo ikaja kuwasaidia sana maana Smartphone ya N 30000 wao walikua wanaiuza N 15000.

✴ Kupitia TECNO ikazaliwa infinix. Jamaa anaamini siku moja Tecno itakuja kutumiwa na watu wa hadhi ya juu.
✴ Mpaka Leo wamepiga hatua kubwa sana Kwenye matoleo ya simu zao. Ukinunua TECNO na Infinix ujue unatumia project ya Ezeigbo.

✴ Sasa hivi ni mwalimu Chuo cha Harvard anafundisha somo la ujasiriamali.

MWISHO
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Njiwa FLow

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!