My Authors
Read all threads
Siku 10 tuu Baada ya Filamu ya Cannibal Halocaust Kuachiwa Mwaka 1980 Italia, Director wa Filamu hii Ruggero Deotato Alikamatwa na Serikali kwa Kudhaniwa Kuwa Amewauwa Kweli Washiriki Kama Ilivyoonekana Katika Filamu Hii. Alifungwa Jela, Inatisha, Imefungiwa. #UZI 👇👇
Hii bado ni filamu ya kiitaliano ya kutisha bora sana duniani hadi sasa, inaitwa Cannibal Hallocaust iliyotoka rasmi February 7, 1980 Millan Italia chini ya muongozaji Ruggero Deotato raia wa Italia. 👇👇
Uhalisia uliotumika katika matukio ya kutisha ndani ya filamu hii ulipelekea serikali ya Italia kuamini kua filamu hii ni halisi, haikuigizwa, na mauwaji yaliyofanywa humo yalikuwa ni halisi, hii ilikuwa ni siku 10 tuu baada ya filamu hii kuachiwa. 👇👇
Hii ilipelekea Director Ruggero kukamatwa kwa mauwaji, na ubaya ni kuwa kabla ya kuingia location washiriki wote walisign mikataba ya kutoonekana ovyo kwa mwaka mzima tangu ili kuongeza uhalisia zaidi, hii ilichochezea kuamini kuwa jamaa aliwauwa kweli washiriki. 👇👇
Director alienda jela kwa kosa la mauwaji ambayo kiuhalisia hakuyafanya, ni ufundi tuu wa kutengeneza matukio kwenye filamu, akawasiliana na Luca Barbareschi awaambie wenzake wakatoe ushahidi kuwa wapo hai bila kuongea na vyombo vya habari kwa kuhofia kuishusha filamu sokoni.👇👇
Wanyama wote waliouliwa katika filamu hii ilikuwa kweli kabisa, haikuwa kuigiza. Baba wa muigizaji aliyecheza kama Miguel aliuwawa wakati mwanae huyo akiwa location anaigiza, akiwa msibani na wakaamua waingize kipande hicho kwenye filamu, huzuni ya Miguel haikuwa ya kuigiza. 👇👇
Filamu hii ya kutisha imepigwa marufuku kuonyeshwa katika zaidi ya nchi 50 duniani ikiwemo italia yenyewe, faida waliyoipata kutokana na mauzo ni mara 20 zaidi ya bajeti waliyoitumia kutengeneza filamu.

#CertifiedThreads
BY @KaribuSanaMjini
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with FM facts

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!