My Authors
Read all threads
Augost 1971 Mwanamke Maria Gomez Raia wa Andalusia, Hispania Aliona Madoa Sakafuni Jikoni Wakati Akipika, Kutazama Vizuri Akashangaa Kuona Madoa Hayo Yamejitengeneza na Kuonekana Kama Sura ya Mtu, Baadae Sura Nyingi Zikawa Zinaonekana Sakafuni. Bélmez Faces. #UZI 👇👇
Ilikuwa ni Aug 1971 ambapo mwanamke Maria Gomez Pereira raia wa Andalusia, Hispania akiwa nyumbani kwake jikoni akiendelea kupika aligundua kuwa sakafuni palikuwa na madoa, akachukua tambala afute madoa hayo lakini akagundua ni madoa yaliyoungana na kuonekana kama sura ya mtu. 👇
Hali hii ilimuogopesba sana Maria, akamwambia mumewe ambaye kwa kushirikiana na mwanae wakairarua sehemu ile ya sakafu na kuijenga upya, hali ikawa shwari kwa majuma machache lakini baadae yale madoa yanayojiunga na kutengeneza sura ya mtu yakajirudia tena. 👇👇
Kuona hivyo familia wakatoa taarifa kwa uongozi wa eneo hilo, ikashauriwa sakafu ya jikoni hapo ivunjwe, walipochimba wakagundua kuna mabaki ya miili ya watu waliozikwa hapo miaka mingi nyuma, waliondoa mabaki yote na uongozi wa mji ukayazika mahala pengine, yalikuwa makosa. 👇👇
Baada ya kumaliza kutengeneza sakafu hiyo sasa zilianza kuonekana nyuso nyingi zaidi, watu wengi walidhani Maria alikuwa mchawi kwakua alikuwa hahami, lakini ajabu ni kuwa hadi anafariki mwaka 2004 bado nyuso hizo zilikuwa zinaendelea kuonekana katika sakafu ya nyumba yake. 👇👇
Sura hizi za ajabu zinaitwa The Bélmez Faces.

MWISHO.

#CertifiedThreads
@chawanyu
Follow @KaribuSanaMjini
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with FM facts

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!