My Authors
Read all threads
FAHAMU MAANA NA ASILI YA MAJINA YA MAJIMBO YA MAREKANI

#Uzi mfupi.

Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776 na kuwa Jamhuri rasmi mwaka 1789, ina jumla ya majimbo 50 na jimbo la mwisho kujiunga kwenye muungano wa Marekani ni jimbo la Hawaii.
Hawaii iliingizwa kwenye shirikisho rasmi mwaka 1960 baada ya marekebisho ya 15 ya katiba ya nchi hiyo (15th ammendment) na ni zao la sheria mpya iliyoitwa Hawaii Adimision Act, yaliyofanyika mwaka 1959, ili kuingiza jimbo la Hawaii katika shilikisho la muungano wa Marekani.⠀
Hawaii ndio jimbo la mwisho kujiunga na Marekani, na kukamilisha jumla ya majimbo 50 yanayounda Taifa la Marekani/United States of America (USA), ndio maana kwenye Bendera ya Marekani uwakilishwa na nyota 50 kuashiria jumla ya nchi (majimbo) 50 yanayounda umoja wa taifa hilo.
Majimbo ya mwanzo kabisa kuunda shirikisho la Marekani hufaamika kama Glory State, ambayo yalikuwa ni majimbo kumi na tatu (13) ambayo yalipata uhuru mwanzoni kutoka kwa Mwingereza mwaka 1776 na kuungana kisha kuunda nchi ya Marekani.
Muungano wa Marekani ulianza na nchi 13 za mwanzo ambazo ni Delaware, Pennsylvania, New Jersey, Georgia, Connecticut, Massachusetts, Maryland, South Carolina, New Hampshire, Virginia, New York, North Carolina na Rhode Island. Ambapo kimsingi Majimbo haya huitwa Grorly State.
Nje ya majimbo 50 pia yapo majimbo mengine 6 ambayo hayajapewa hadhi kamili ya majimbo lakini ni sehemu ya himaya na mali ya Marekani.

Majimbo haya 6 yana kiwango fulani hivi ya maamuzi ndani ya nchi ya Marekani, majimbo hayo ni pamoja na Puerto Rico, Washington DC
Federal district) ambayo ni
2. District of Columbia,
3. US Virgin islands,
4. Guam,
5. American Samoa na
6. Northern Marian islands.
Hivyo basi,

Majimbo haya sita yana bandera zake yenyewe na yanajitegemea kwa mambo mengi na hayana wawakilishi (representative) wala Senet kwenye bunge la Marekani "Congress", isipokuwa wana wajumbe kwenye bunge la Marekani wasio na uwezo wa kupiga kura.
Turudi kwenye Maana na Asili ya majina ya majimbo

1 ALABAMA

Jina hili limetokana na jamii ya choctaw ambao ni Eed Indians likimaanisha thicket clearers au vegatation (Gatherers)
Kwa kiswahili tunaweza sema ni wanaokusanya au kukata vichaka sehemu kwa ajili ya kuanzisha makazi.
2. ALASKA

Lina maanisha Great land au sehemu kubwa ya ardhi.

3.ARIZONA

Jina hili Inaaminika limetokana na jamii ya wahindi Wa o'odham likimaanisha little spring au chem chem ndogo

4 ARKANSAS
limetokana na jamii ya wahindi wekundu wa quapaw haijawahi julikana linamaanisha nini
5. CARLIFONIA

Jina hili limetokana na kitabu cha "Las sergas de esplandian" cha Garcia ördoñez Karne ya 14 na maana yake haijulikani kisawa sawa

6. COLORADO

limetokana na neno la ki-Spanish likimaanisha red au rangi nyekundu.
7 CONNECTICUT

Limetokana na neno la kihindi "quinnehtuqkut" likimaanisha beside the long tidal River au kwa tafsiri isiyo rasmi ni pembezoni mwa mto mrefu wenye mawimbi

8 DELAWARE
Limetokana na jina la mto Delaware ambao ulipewa jina na wagunduzi Thomas west wa Baron de la warr
9. FLORIDA
Limetokana na ki-Spanish la "pascua florida" (feast of flowers) au kwa kiswahili ni sherehe ya maua

10. GEORGIA
Ni jina lilitokana na mfalme George wa pili wa Uingereza.

11. HAWAII
Inasemekana ni jina lilitokana na nyumba za kiasili za wapolinesia zinazoitwa hawaiki.
12. IDAHO

aliyebuni hili jina hajulikani na wala maana yake haijulikani hadi sasa.

13. ILLINOIS

Jina lenye asili ya Wahindi wekundu lenye maana ya men of Superior tribe.

14. INDIANA

Jina Linalomaanisha Land of Indians au ardhi ya wahindi.
15. KANSAS

Limetokana na neno la Jamii ya Wahindi wekundu wa seoux Likimaanisha People of the South wind

16. KENTUCKY

Lina maana ya Land of Tomorrow

17. LOUSIANA

Jina limetokana na mfalme Louis wa 14 wa Ufaransa
18. MAINE

Jina lilikuwa na maana ya kutofautisha eneo la bara na kisiwa. Pia lina maana ya jina la Henriatta Maria malkia wa mfalme Charles wa I wa Uingereza aliyekuwa anamiliki Jimbo la mayne huko Ufaransa.

19. MARRYLAND

limetokana na heshima ya malkia Henrietta Maria pia
20. MASSACHUSETTS

Jina hili limetokana na Jamii ya native Americans wa Massachusett likiwa na maana ya great hill au kilima kikubwa.

21. MICHIGAN

jyina hili limetokana na neno la kihindi la michigana likiwa na maana ya great lake au ziwa kubwa la maji.
22. MINNESOTA

Neno hili limetokana na jyamii ya wahindi wekundu likiwa na maana ya sky-tinted water au kwa kiswahili kisicho rasmi maji yenye rangi ya Blue bahari.

23. MISSISSIPPI

neno la kihindi pia lenye maana ya "Father of water" au Baba wa maji yote.
25. MONTANA

Neno la ki-Spanish Likimaanisha mounti au mlima.

26. NEBRASKA

Limetokana na neno la kijamii ya Ota Likimaanisha 'Flat water' au maji yaliyotulia

27. NEVADA

Neno Lenye maana ya snow capped au Sehemu ya mwinuko iliyofunikwa na barafu.
28 .NEW HAMPSHIRE
Limetokana na county ya Hampshire iliyoko huko Uingereza.

29. NEW JERSEY.
Limetokana na jina la visiwa vya Jersey huko Uingereza.

30. NEW MEXICO.
Jina hili lina asili ya Mexico kutoka jamii ya wa Aztec likiwa na Maana ya place of mextlii au Mungu wa Aztec.
31. NEW YORK

Ni jina iliyopewa kutokana na kiongozi wa County ya York huko Uingereza.

32. NORTH CAROLINA

Ni jina ilopewa kutoka kwa mfalme Charles wa kwanza wa Uingereza.

33. NORH DAKOTA

Ni neno lenye maana ya allies au muungano kutoka jamii ya Sioux
34. OHIO

Neno lenye maana ya Great river au mto mkubwa

35. OKLAHOMA

Limetokana na jamii ya wahindi wekundu wa Choctaw likimaanisha Red people

36. OREGON

Jina hili hakijulikani asili yake lakini lilitumika kwa mara ya kwanza na Afisa wa kijeshi wa Uingereza Jonathan Carver
37. PENSSYLVANIA

Jina hili limetokana kutokana na heshima ya sir William penn likimaanisha Penn's woodland

38. RHODE ISLAND

Jina hili limetokana na kisiwa cha Rhode kilichopo huko Ugiriki.

39. SOUTH CAROLINA

Jina limetokana na heshima ya mfalme Charles wa (I) wa Uingereza
40.SOUTH DAKOTA
Neno lenye asili ya jamii ya Sioux likiwa na maana ya allies au muungano.

41.TENNESSEE
jina hili limetokana na Jamii ya Cherokee na Maana yake Haijawahi kujulikana.

42.TEXAS
Neno hili lina asili ya jamii ya wahindi wekundu likiwa na maana ya friends au marafiki.
43. UTAH

Neno limetokana na kabila la ute wenye asili ya jamii ya wahindi wekundu likiwa na maana ya people of the mountain.. au watu wa milimani.

44.VERMONT

neno la kifaransa lenye maana ya green mountain au mlima wenye rangi ya kijani.
45. VIRGINIA

Jina hili limetokana na heshima ya malkia Elizabeth wa Uingereza aliyekuwa Bikira wakati huo.

46. WASHINGTON

Ni jina lililotokana na George Washington Baba wa Taifa la Marekani.

47. WEST VIRGINIA

Jina limetokana na malkia Elizabeth wa Uingereza ambaye hakuolewa
48. WISCONSIN

Neno lenye maana ya French corruption

49. WYOMING

Jina hili lina maana ya mountains and valleys alternating au kwa kiswahili unasema sehemu iliyotengwa na Bonde na milima.
Najua utajiuliza mbona yapo majimbo 49 badala ya 50?

Jimbo la 50 ni District of Colombia (Washington DC) ambalo Lenyewe halina hadhi kamili kabisa ya kuwa jimbo kwa sababu ni Federal territory state, Japokuwa jimbo hili lina kiwango cha wawakilishi kwenye Bunge.
Asanteni sana ........🙏🙏🙏

Ijapo network ilikuwa chini lkn naamini tweets zote zimeingia.

Credits to :-Comred Mbwana Allyamtu
Rts & Share Sana
@Eng_Matarra
@pilatowagalilay
@jeka_maluk @allymakamekay
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with JAPHET MATARRA

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!