MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA NA WASIOJULIKANA.
1. Wanaokuja kututeka mara nyingi, tunawaona hawapo katika utaratibu rasmi wa ukamataji.
>Hawavai uniforms (sare)
>huja na magari ya kiraia
>hawaonyeshi vitambulisho
>hutumia nguvu badala ya mashauriano au maelewano
KOSA: Ni kukubali kutoa ushirikiano kwa watu hao, kuogopa watakudhuru au kukuumiza wakati wa mvutano
Ukweli ungepiga kelele au kuburuzwa au kujaza watu ungepata msaada. Ikibidi kama wakuue Mwenge tuokote Maiti,kuliko kudhani bunduki zile haziwezi kukudhuru huko unakokwenda.
2. KUKUBALI KUCHUKULIWA BILA KUACHA TAHARUKI NA KUWAJULISHA RAIA ENEO HILO KUWA UNAKAMATWA NA WATU WASIO SAHIHI.
Hii inatokea mara nyingi, mtekwaji anachukuliwa kwa kuaminishwa na watekaji kuwa ni maofisa sahihi kwa kuonyeshwa vitambulisho. Vitambulisho bandia mara nyingi.
KOSA: Ni kuamini kila ofisa ni Mkamataji mwema, Watekwaji wanakosa muda wa Kuomba watu wa jirani hata wapita njia
>Kuongozana nae
>kufuatilia gari
>kuwataka maofisa waende nae kwa pamoja kituo cha jirani cha polisi
>kushindwa kuomba wapita njia wapigie simu ndugu,jamaa, Marafiki
3.KUTAKA MASHAURIANO, MABISHANO YA KISHERIA ,NA MARIDHIANO BADALA YA KUJIHAMI
wanaokuja kukuteka wanajua wanavunja Sheria, Wanajua wewe unajua PGO na sheria zote za Makosa ya Jinai na Mwenendo wake, Achana na ubishi
SULUHU NI KUKIMBIA, Ndio naongelea mbio, hizo hizo unazojua, je unakimbia kwenda wapi? Mbio zako ziwe kuelekea
>Kituo cha jirani cha polisi
>au kwa Polisi ofisa
>kambi za jeshi
>Ofisa wa Jeshi
>kama upo barabarani nenda hata kwa trafiki ofisa
Hawa wote wakishuhudia ukamatwaji wako, Dhama itakuwa juu yao. Pia unaweza kukimbia kuelekea katika Maeneo au Majengo ya umma
>ingia Sokoni
>ingia Vyuoni au shuleni
>ingia kanisani au Msikitini
>ingia katika vituo vikubwa au vidogo vya daladala
Huko kote watakuwa na uwezo wa kukukamata wala siyo kukuteka, utapata support ya wananchi..
4. Wale wenye Wasi wasi au Mashaka na Mwenendo wao kuhusika na utekwaji kukosa kampani katika Matembezi, Hawa ni
>Waandishi wa habari za Uchunguzi
>wakosoaji wa mitandaoni
>Wanasiasa wa upinzani
>Watu mashuhuri wasio kubaliana na matendo au mwenendo wa serikali
Kama upo kwenye kundi hilo kwa nini utembee pekee yako hata unapokuwa jirani na maeneo au makazi yako. Kumbuka kesi nyingi za Utekaji ni
> kukosekana kwa taarifa za haraka
>Kukosekana mtoa taarifa wa haraka
>kukosekana anaye kariri namba za usafiri uliochukuliwa nao
>kukosekana mpiga picha wa Matukio ya utekwaji
Usikubali kuwa katika matembezi binafsi na kukosa kampani kila mara, mpaka pale hali ya hatari itakapo tulia.
5. KUKAA/KUSHINDA MAENEO HATARISHI
Wewe upo katika kundi tajwa namba 4 hapo juu, usikubali kwenda kutembea Maeneo yafuatayo 1. Maeneo yenye watu wachache 2. Maeneo au majengo ya vyombo vya Serikali ni rahisi kuficha taarifa zao
3. Maeneo yenye Misitu, vichaka au Mapori ambayo utakosa Msaada wa haraka 4. Maeneo ya Kiza/ukimya sababu Kelele na mbio hazitokusaidia
5. Maeneo yenye makazi Machache, wanatabia kutokutoka nje kusaidiana na Majirani 6. Maeneo uliyozoea kutembelea, badili hapo kipindi cha hatari
7. Chagua maeneo machache kutembelea wakati wa hatari iwe rahisi kujua wanaokufuatilia
PUNGUZA MIZUNGUKO, SHINDA MAENEO SALAMA No. 3 juu
6. KOSA LA SITA TUNALOFANYA WATEKWAJI.
"Kuendelea Kutumia njia za mawasiliano na usafiri" zile zile hata wakati tupo kwenye ALERT ya hatari
>unaendelea kutumia simu hiyo hiyo
>unaendelea kutumia line ya simu hiyo hiyo
>unaendelea kutumia magari au pikipiki zilezile hata baada ya kusikia fununu ya kufuatiliwa na watu usiowajua
>Kuendelea kupita njia zile zile wakati wa kurudi nyumbani au kutoka
Nyumbani hata wakati wa taarifa za kufuatiliwa kwako
>kuendelea kutembelea maeneo ya starehe au vijiwe vile vile hata wakati wa hatari
>Huo ni uzembe, simu yako ikiwa inawaka ujue watekaji wanakuona moja kwa moja.
>Kama unabadili line basi hakikisha unabadili na simu na usiweke line ya zamani katika simu Mpya kwa sababu, Taarifa za mabadiliko ya line yako katika simu yatasomeka katika taarifa Mpya ya IMEI chequer124
Itaonyesha mtumiaji wa simu fulani sasa ameweka line fulani kwenye simu fulani baada ya kutoa ile line fulani (Acha kutumia simu na line ya zamani zilizozoeleka)
>Usitembee nayo simu ya zamani katika gari yako hata kama umeizima,
kwa sababu simu za kisasa zinaendelea kuonekana katika GPS hata kama hazipo ONLINE
7. Kuitikia wito watu tusiowajua kwa tamaa ya fedha au ngono
Watekaji ukijihami, No3, No4 na No5 kwa Maana kuepuka kukaa maeneo hatarishi na kisha ukawa una kampani ya kutembea nayo wakati wote
Huja na Njia ya Kukuita kupitia 1. Kukutamanisha Deal za Biashara na kujifanya kuwa mnajuana katika biashara zako, hivyo angependa muonane mpange namna nzuri ya kufanya biashara
Na wakati unasogea eneo hilo linakuwa limezungukwa na watu
hao wanakuona kuanzia unakuja mpaka unakaa na kisha wao uamua wakuchukuaje
Mara nyingi wanakuita Maeneo ambayo yanaendana na No4 na No 5 ili kufanikisha zoezi la wao kukuchukua bila kupata upinzani kwa watu wakiozunguka eneo hilo
2. Kama si Mtu wa Biashara, basi hutumia
njia ya kukutamanisha NGONO, kwa kumtuma mwanamke mwenye sauti nyororo kukuomba mkutane huku akijifanya anakujua sana.
Kwa tamaa ya ngono, mrembo au Mwanaume huyo humuita mlengwa sehemu ileile ambayo haitakuwa rafiki kwa No4 na No5 ili kusaidia kukukamata kirahisi.
Wakati wote wa mazingira hatarishi, wakati matukio ya utekwaji yameshamiri epuka kupokea wito na kuitikia wito wa MTU usiye mfahamu au kuwahi kumuona..
8. kushinda eneo Moja kwa Muda Mrefu, Vijiweni, kumbi za starehe au Kazini
Ni jambo dogo lakini kubwa sana, kwa watu wenye
taaluma ya utekaji au ufuatiliaji wa watu basi watu wenye tabia ya kukaa eneo moja zaidi ya Masaa 2 au 3 ni rahisi sana katika operesheni za kuwachukua, Wanampatia adui
>Muda wa kujipanga
>muda wa kusoma idadi ya watu ulio nao
>Muda wa kuwakadiria nguvu au nyenzo mnayoitegemea endapo wataanzisha 'ambush' ya kukuchukua
>Unampa adui muda wa kuita wenzie pale anapogundua kuwa zoezi la kukuchukua litachukua muda mrefu au litakutana na Upinzani, basi huita vikosi zaidi
>Unampa adui namna ya kuanza Kuyazoea maeneo hayo na Kujifunza tabia za watu au eneo la tukio
Mfano
>kuna walinzi?
>kuna mtu mwenye silaha?
>kuna mtu anayeweza kuzia kwa nguvu?
>kuna camera zitaona?
ITAENDELEA kesho!
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA NA WASIOJULIKANA.
Njia pekee ni kuwa na Machale, tumia muda kidogo sana katika kikao au mikutano yako kila sehemu unayokwenda na unapoondoka eneo hilo. Usiuweke sana na kuwapa nafasi ya wao kukuchora na kujipanga.
>Acha kinywaji mezani wajue unarudi
>Ondoka kwa style ya kujifanya unaongea na simu pembeni
>Ondokea njia ya kwenda chooni, wajue unarudi
>Jifanye unampokea mtu parking kwa haraka
>Omba wenzako wakusindikize mpaka kwenye gari
>uwepo wa wenzako utawasubirisha kwa dakika kadhaa
>Acha kulipa billi hadharani, acha pesa mezani, wasikadirie tendo lako linalofuata..
9. Kushindwa kuishi mazingira sawa na hadhi ya kazi anayofanya
Hapa naongelea tena wale wote walengwa wa kundi la utekwaji sio tu Tanzania bali Duniani, makundi yafuatayo;
MAMA FATMA KARUME; anasema mzee ABEID KARUME alimueleza, endapo atakutwa na mauti katika mapinduzi ya kumuondoa SULTAN katika ardhi ya Zanzibar, basi mkewe abakie kwa furaha na amani kwa sababu mumewe ni shujaa na akamtaka asomeshe watoto wao (endapo atakutwa na mauti). UZI 👇
PAULINE OPANGO LUMUMBA; mke wa mwanamapinduzi wa Zaire (sasa DR Congo) Patrice Emery Lumumba, alishuhudia kukamatwa kwa mumewe mjini Ilebo jimboni Kassai-Occidental kabla ya kuuwawa jimboni Katanga Januari 17, 1961. Alichofanikiwa kubaki nacho Pauline ni Barua ya Lumumba
Ambayo Patrice aliita “risala yangu ya mwisho kwa Pauline” Kwenye risala Patrice Lumumba alisema "sihofii maisha yangu mwenyewe, ikiwa itahitajika kumwaga damu yangu ili wakongo wapate uhuru wa kweli, kamwe siwezi kusita kuwa sehemu ya sadaka hiyo kwa taifa langu"
●Kambona ni shuhuda wa utiaji saini hati za Muungano 22/4/1964
●Tume ya Kawawa ilipendekeza mfumo wa chama kimoja Kambona akagoma
●Kambona akagoma kutia saini akaanda taarifa nyingine
●Akagoma kukubaliana na Nyerere kwenye kuleta mfumo wa kikomunisti
Nyerere aliporejea kutoka China 1965 alitamani muundo wa siasa za China
●Ndio msingi wa kuundwa tume hiyo iliyopendekeza “muundo wa chama kimoja”
●Msimamo wa Kambona haukumpendeza Nyerere. akamkunjia.
●1966 Nyerere akampiga ‘madongo’ Kambona jukwaa la sherehe za Sabasaba
●siku 2 baadae Kambona akatangaza kujiuzulu ukatibu mkuu wa TANU na uwaziri wa serikali za mitaa
●Baada ya kubaini mpango wa kukamatwa na kuwekwa kizuizini mwezi huo alitoroka nchini
●Alitoroka na familia yake yote, Mkewe, wanae, mtumishi wao kuelekea nchini Kenya
@Matiko_Esther_ aliyekuwa Mgombea Ubunge katika Tarime Mjini, amenieleza habari za kupotezwa kwa ndugu Damas Wilson mmoja ya vijana wa hamasa wa CHADEMA Tarime Mjini ambaye 'alipotea katika mazingira ya kutatanisha' tangu usiku wa 26/10/2020 👇
Imeelezwa kuwa kijana Damas Wilson alipotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa na mwenzake anaitwa Richard Kayanda Tongoli walipokuwa wakitokea nyumbani kwa @Matiko_Esther_ aliyekuwa Mgombea Ubunge Tarime Mjini baada ya kumalizika Kampeni na kwenda kutawanyikia nyumbani
Damas Wilson na Kayanda Tongori ni Vijana wa Hamasa wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini tangu kuanza kwa Kampeni mpaka kupotea kwao huku Damas Wilson akiwa mkazi wa Mtaa wa Byambwi Kata ya Bomani na Richard Kayanda Tongoli akiwa mkazi wa Mtaa wa Byambwi Kata ya Nyandoto.
On Monday @TunduALissu, Chadema’s candidate in the presidential election, was arrested by Tanzanian police outside the German embassy.
Knowing that they were coming for him, he had sought diplomatic protection. He was first turned away by a political officer at the US Embassy
He then went to Umoja House – where the EU, UK, German and Dutch missions are located – where he waited for several hours while the bureaucrats inside deliberated on whether or not to let him in.
Shortly before he was picked up by the cops he sent a WhatsApp message: “They’re all in dread of this petty tyrant it’s unbelievable.”
Jana jioni marafiki zangu wakanichukua kwenda kutazama mchezo wa Biashara United na Yanga SC, lakini sikuwa na hamu ya kutazma use mchezo. Siku yangu ikaita mara none, sikupokea au kutazama. Message ikaingia, nikaamua kusoma nikakuta Askofu Emasius Mwamakula kanipigia kwa kitambo
Askofu Mwamakula baada ya kuona sipokei simu aliniandikia ujumbe wa maneno, nikausoma, nikampigia, Tulizungumza kwa kitambo kirefu, alinipa neno kubwa la faraja sana. Pia akatuombea watanzania wote na mwisho akaomba kuzungumza na ****** ambaye pia alikuwa na ujumbe wake wa kiroho
Kwanini nasema haya hadharani? Sio viongozi wote wa dini wanaweza kutambua maumivu ambayo tunapitia sasa. Sio wote wanatambua kiwango cha kisasi katika vifua vyetu. Viongozi wa dini wanazo nguvu za ushawishi, kusimama hadharani na kukemea uovu kunaponya wengi. Kunyamaza kimya ni