SEHEMU YA PILI;

MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA NA WASIOJULIKANA.

Njia pekee ni kuwa na Machale, tumia muda kidogo sana katika kikao au mikutano yako kila sehemu unayokwenda na unapoondoka eneo hilo. Usiuweke sana na kuwapa nafasi ya wao kukuchora na kujipanga.
>Acha kinywaji mezani wajue unarudi
>Ondoka kwa style ya kujifanya unaongea na simu pembeni
>Ondokea njia ya kwenda chooni, wajue unarudi
>Jifanye unampokea mtu parking kwa haraka
>Omba wenzako wakusindikize mpaka kwenye gari
>uwepo wa wenzako utawasubirisha kwa dakika kadhaa
>Acha kulipa billi hadharani, acha pesa mezani, wasikadirie tendo lako linalofuata..

9. Kushindwa kuishi mazingira sawa na hadhi ya kazi anayofanya

Hapa naongelea tena wale wote walengwa wa kundi la utekwaji sio tu Tanzania bali Duniani, makundi yafuatayo;
>Wakosoaji wa serikali
>Wakosoaji wa wanasiasa
>wakosoaji wa wafanyabiashara wakubwa
>Wakosoaji wa vyombo vya ulinzi na usalama
>Waandishi wa habari za uchunguzi
>Wapigania haki za binadamu
>wakosoaji katika Mitandao ya Jamii
>Wapelelezi wa kujitegemea na
> Watu mashuhuri wanaotangaza misimamo yao hadharani kinyume na Watu wenye mamlaka

Wanafanya kazi hatarishi za kukosoa makundi au watu wenye nguvu na mamlaka lakini wanaishi na kupenda kukaa maneo yasiyo na ulinzi au hadhi ya wapambanaji kama wao. Wanafanya makosa sana.
1. Wanapokosa magari, unasikia wamekamatwa kwenye kituo cha daladala
2. Wanaishi maeneo ambayo hayana Ulinzi maalum, sio getini hata mitaani hakuna sungusungu
3. Wanaishi nyumba ambazo hazina camera za kunasa matukio
4.Magari yao hayafungwi camera za mbele/nyuma kuchukua matukio
5. Simu wanazotumia kufanyia ukosoaji in Public ndizo wanazo tumia kwa shughuli zao binafsi
6. Wanashinda maeneo yasiyo na ulinzi na hata camera za kuhifadhi matukio
7. Wanakosa hata silaha ndogo za kujihami kwa sababu zinauzwa ghali
8. Wanakaa katika makazi yanayoendana na kipato sio yanayoendana na kazi zao
9. Wanataka waishi maisha ya starehe na huru kama raia wa kawaida bila kujali hatari ya kazi au shughuli anayofanya
10. Wanarespond mazungumzo na watu wageni
wasiowajua wakidhani ni kwa sababu ya umaarufu wao wala hawajui kuwa ni maadui zao..

10. KOSA LA UOGA POTOFU: Watekwaji wanapaswa kufahamu kuwa, wanaokuja kuwateka hawajaja kuwaua. Actually zoezi la kuwaua watekwaji ni rahisi kuliko zoezi za kuondoka na uhusika.
Kama watekaji nyara wangetaka kukuua
>Wasingekuja wengi
>wasingeshuka kwenye gari, wangekupiga risasi
>Wasinge subiri wakufuate Mtaani, wangekufuata nyumbani usiku kukuua

Watekwaji wengi wanadanganyika na silaha za watekaji ambazo katika zoezi la utekwaji wao,
Binafsi naziona kama mapambo yanayotumika kukuogopesha mtekwaji. kubwa, hatari na mbaya wakati wa kutekwa ni "GARI YA KUKUBEBA sio BUNDUKI"

zingatia utakapokuwa unaanzisha varangati na watekaji au mbio, ondoa kabisa wasiwasi kwamba wata kupiga risasi na kukuua.
Kuwa huru kimbia kasi usilisogelee gari lao

Kimbia kabisa wasikuingize ndani ya gari

Kimbia wakati unaongea pawepo na umbali na mlango wa wewe kutupwa ndani ya gari, mfano ruka mtaro na ukae ng'ambo ya pili, vuka barabara pambana upande wa kulia wa gari pasipo na mlango
Katika zoezi la kutekwa ogopa gari la watekaji na kamwe usiogope bunduki au silaha zao.

Hata hivyo ni heri tukukute umejeruhiwa au kuuwawa barabarani kwa sababu hata huko unapopelekwa huna uhakika kama utarudi uraiani ukiwa hai bila kuumizwa.
Hata hivyo sina maana kwamba ukifuata hayo hauwezi kutekwa na hawa watu wasiojulikana, hapana, lakini unapunguza kwa kiwango kikubwa uwezekano wa kutekwa kizembe na usiache alama za kuanza kukutafuta. Watekaji wengi ni wenye ufundi wa utekaji. Tujihadhari nao. Ahsante.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Martin M. M

Martin M. M Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @IAMartin_

15 Feb
MAKOSA 10 TUNAYOFANYA WAKATI TUNATEKWA NA WASIOJULIKANA.

1. Wanaokuja kututeka mara nyingi, tunawaona hawapo katika utaratibu rasmi wa ukamataji.

>Hawavai uniforms (sare)
>huja na magari ya kiraia
>hawaonyeshi vitambulisho
>hutumia nguvu badala ya mashauriano au maelewano
KOSA: Ni kukubali kutoa ushirikiano kwa watu hao, kuogopa watakudhuru au kukuumiza wakati wa mvutano

Ukweli ungepiga kelele au kuburuzwa au kujaza watu ungepata msaada. Ikibidi kama wakuue Mwenge tuokote Maiti,kuliko kudhani bunduki zile haziwezi kukudhuru huko unakokwenda.
2. KUKUBALI KUCHUKULIWA BILA KUACHA TAHARUKI NA KUWAJULISHA RAIA ENEO HILO KUWA UNAKAMATWA NA WATU WASIO SAHIHI.

Hii inatokea mara nyingi, mtekwaji anachukuliwa kwa kuaminishwa na watekaji kuwa ni maofisa sahihi kwa kuonyeshwa vitambulisho. Vitambulisho bandia mara nyingi.
Read 25 tweets
8 Jan
MAMA FATMA KARUME; anasema mzee ABEID KARUME alimueleza, endapo atakutwa na mauti katika mapinduzi ya kumuondoa SULTAN katika ardhi ya Zanzibar, basi mkewe abakie kwa furaha na amani kwa sababu mumewe ni shujaa na akamtaka asomeshe watoto wao (endapo atakutwa na mauti). UZI 👇
PAULINE OPANGO LUMUMBA; mke wa mwanamapinduzi wa Zaire (sasa DR Congo) Patrice Emery Lumumba, alishuhudia kukamatwa kwa mumewe mjini Ilebo jimboni Kassai-Occidental kabla ya kuuwawa jimboni Katanga Januari 17, 1961. Alichofanikiwa kubaki nacho Pauline ni Barua ya Lumumba
Ambayo Patrice aliita “risala yangu ya mwisho kwa Pauline” Kwenye risala Patrice Lumumba alisema "sihofii maisha yangu mwenyewe, ikiwa itahitajika kumwaga damu yangu ili wakongo wapate uhuru wa kweli, kamwe siwezi kusita kuwa sehemu ya sadaka hiyo kwa taifa langu"
Read 31 tweets
7 Jan
OSCAR SALATHIEL KAMBONA

●Kambona ni shuhuda wa utiaji saini hati za Muungano 22/4/1964
●Tume ya Kawawa ilipendekeza mfumo wa chama kimoja Kambona akagoma
●Kambona akagoma kutia saini akaanda taarifa nyingine
●Akagoma kukubaliana na Nyerere kwenye kuleta mfumo wa kikomunisti
Nyerere aliporejea kutoka China 1965 alitamani muundo wa siasa za China
●Ndio msingi wa kuundwa tume hiyo iliyopendekeza “muundo wa chama kimoja”
●Msimamo wa Kambona haukumpendeza Nyerere. akamkunjia.
●1966 Nyerere akampiga ‘madongo’ Kambona jukwaa la sherehe za Sabasaba
●siku 2 baadae Kambona akatangaza kujiuzulu ukatibu mkuu wa TANU na uwaziri wa serikali za mitaa
●Baada ya kubaini mpango wa kukamatwa na kuwekwa kizuizini mwezi huo alitoroka nchini
●Alitoroka na familia yake yote, Mkewe, wanae, mtumishi wao kuelekea nchini Kenya
Read 10 tweets
18 Nov 20
Hatuishangilii STAZI kwanini?👇

@Matiko_Esther_ aliyekuwa Mgombea Ubunge katika Tarime Mjini, amenieleza habari za kupotezwa kwa ndugu Damas Wilson mmoja ya vijana wa hamasa wa CHADEMA Tarime Mjini ambaye 'alipotea katika mazingira ya kutatanisha' tangu usiku wa 26/10/2020 👇
Imeelezwa kuwa kijana Damas Wilson alipotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa na mwenzake anaitwa Richard Kayanda Tongoli walipokuwa wakitokea nyumbani kwa @Matiko_Esther_ aliyekuwa Mgombea Ubunge Tarime Mjini baada ya kumalizika Kampeni na kwenda kutawanyikia nyumbani
Damas Wilson na Kayanda Tongori ni Vijana wa Hamasa wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini tangu kuanza kwa Kampeni mpaka kupotea kwao huku Damas Wilson akiwa mkazi wa Mtaa wa Byambwi Kata ya Bomani na Richard Kayanda Tongoli akiwa mkazi wa Mtaa wa Byambwi Kata ya Nyandoto.
Read 5 tweets
3 Nov 20
On Monday @TunduALissu, Chadema’s candidate in the presidential election, was arrested by Tanzanian police outside the German embassy.

Knowing that they were coming for him, he had sought diplomatic protection. He was first turned away by a political officer at the US Embassy
He then went to Umoja House – where the EU, UK, German and Dutch missions are located – where he waited for several hours while the bureaucrats inside deliberated on whether or not to let him in.
Shortly before he was picked up by the cops he sent a WhatsApp message: “They’re all in dread of this petty tyrant it’s unbelievable.”
Read 4 tweets
1 Nov 20
Jana jioni marafiki zangu wakanichukua kwenda kutazama mchezo wa Biashara United na Yanga SC, lakini sikuwa na hamu ya kutazma use mchezo. Siku yangu ikaita mara none, sikupokea au kutazama. Message ikaingia, nikaamua kusoma nikakuta Askofu Emasius Mwamakula kanipigia kwa kitambo
Askofu Mwamakula baada ya kuona sipokei simu aliniandikia ujumbe wa maneno, nikausoma, nikampigia, Tulizungumza kwa kitambo kirefu, alinipa neno kubwa la faraja sana. Pia akatuombea watanzania wote na mwisho akaomba kuzungumza na ****** ambaye pia alikuwa na ujumbe wake wa kiroho
Kwanini nasema haya hadharani? Sio viongozi wote wa dini wanaweza kutambua maumivu ambayo tunapitia sasa. Sio wote wanatambua kiwango cha kisasi katika vifua vyetu. Viongozi wa dini wanazo nguvu za ushawishi, kusimama hadharani na kukemea uovu kunaponya wengi. Kunyamaza kimya ni
Read 5 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!