▶️Eneo la Shibuya mjini Tokyo, Japani ndilo linaelezwa kuwa eneo busy zaidi kuvuka (kwa barabara) duniani (Kwa tafsiri rahisi, ni eneo ambalo watembea kwa miguu huvuka barabara kwa wingi zaidi duniani). #vitukuntu
👉Kila siku maelfu ya watembea kwa miguu hugombea kupita kwenye eneo hilo na ndiyo sababu linafahamika kama njia kuu busy zaidi ya watembea kwa miguu duniani.
Eneo hilo linajumuisha barabara 10 huku kukiwa na sehemu 5 za vivuko vya waenda kwa miguu (Zebra Crossing)
▶️Kwa sasa linaelezwa kuwa kivutio kikubwa kwa watalii duniani kutokana na kuzungukwa na majengo mazuri na makubwa.
▶️FAHAMU BAADHI YA REKODI ZA KUSHANGAZA ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA REKODI ZA DUNIA CHA GUINESS. #uzi #vitukuntu
01. Msichana mwenye miguu mirefu zaidi duniani.
👉Naam huyu ni "Maci Currin", binti wa miaka 17 tu akitokea kwenye nchini Marekani. Maci ameweka rekodi hii....
📸👇
....mwaka huu huu wa 2021. Maci ana urefu wa futi sita na inchi kumi, lakini miguu yake tuu imechukua karibu asilimia 60 ya urefu wake wote.
(Unaweza ukaangalia picha zake zaidi Instagram kwenye account yake ya @ _maci.currin_)
📸👇
02. Familia yenye nywele nyingi.
👉Familia ya Ramos Gomez iliweka rekodi ya ulimwengu kuwa familia kubwa zaidi yenye nywele nyingi za mwilini mnamo mwaka 2000. Ndugu wanne wa familia ya watu 19 kutoka Mexico walioitwa Victor Larry Gomez, Gabriel Danny Ramos Gomez,......
▶️WAFAHAMU WATU MASHUHURI WALIOUWAWA KWA KUPIGWA RISASI. #uzi #vitukuntu
01. ABRAHAM LINCOLN
👉Alikuwa raisi wa 16 wa marekani na ndiye raisi wa kwanza wa marekani kuuawa akiwa madarakani. Aliuwawa mwaka 1865 na John Wilkes Booth aliyeudhiwa na maamuzi ya Lincoln ya kutambua....
....haki za watu weusi. Lincoln alipigwa risasi na John Wilkes Booth alipohudhuria kwenye maonyesho ya muziki. Booth nae aliuawa siku mbili baadae baada ya jaribio la kutoroka kushindikana.
(📸👇 John Wilkes Booth)
02. BENAZIR BHUTTO
👉Alikuwa waziri mkuu wa 11 wa Pakistani na kiongozi wa chama chenye ushawishi mkubwa cha PPP. Alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza taifa la kiarabu akichagizwa na siasa zake safi za kidemokrasia. Aliuwawa disemba 27 mwaka 2007 akiwa kwenye gari yake aina ya....
▶️LEO NIMEKULETEA HAPA BAADHI YA PICHA ZA "BEHIND THE SCENES" ZA FILAMU MAARUFU YA "APOCALYPTO" 🎥 #uzi #vitukuntu
📸👇🏾
▶️Filamu hii maarufu kutoka kiwanda cha kutengeneza filamu cha nchini Marekani (Hollywood) inayokwenda kwa jina la "Apocalypto" imekuwa ni mojawapo ya filamu nyingi zenye mafanikio na pia mvuto mkubwa kwa watamazaji.
👉🏾Filamu hii iliachiwa mnamo mwaka 2006.
Tuendelee..
👇🏾 👇🏾
▶️Filamu hii ilikuwa na lengo la dhati la kuelezea maisha ya kale ya wanadamu waliokuwa wakipatikana kwenye maeneo ya Amerika ya Kusini hususani wakazi waliokuwa wakiishi kwenye msitu mkubwa wa Amazon.
👉🏾Muongozaji mkuu wa filamu hii anajulikana kwa jina la "Mel Gibson"