Hacking ni kitendo cha Kufatuta Madhaifu katika system.
Hacker - Mtu anaetafuta Madhaifu kwenye System
Aina za Hackers
White Hat : Hackers wanaotafuta madhaifu kwenye system na Kutoa report kwa System administrators ili Madhaifu yaweze kukarabatiwa
BlackHat - Aina ya Hackers Ambao wanatafuta madhaifu kwenye System na kuyatumia kwa Maslahi yao Binafsi
GreyHat- Aina ya Hackers ambao huwa na sifa za BlackHat na WhiteHat hackers
Note: hacking sio illegal, ila Kuhack bila ridhaa ya individual ni illegal
Unaanzaje kuingia kwenye Careear ya Hacking???
1. Anza kujifunza Network.
Hii inasaidia kuwa mtaalamu kwenye maswala ya Networking na Internet ili uweze kuexploit madhaifu katila network.
Unaweza jifunza networking online au kuenroll katika Vyuo kwa Online nashauri CISCO
2. Jifunze Programming
Hii inasaidia Hacker kuweza kuandika script zake mwenyewe na kutokuwa Script Kiddie
Script kiddie ni Hacker ambae anatumia script za mtu kufanya hacking na most huwa hana Experience na Hacking.
Most wanatokeaga huku na Kuadvance
Jifunze Languages
Javascript, C++, Python na Ruby ni languages muhimu kujifunza usisahau Mysql.
Kwa kuanza anza na Language yoyote ulionayo comfortable i.e Nimejifunza Python. Ilichukua kama miezi miwili . Ukiwa Serious ni kama week 2 tu unakua coder mzuri.
Jifunze Linux.
Hio ni essential kwa Hacker yeyote yule, Kujua basic linux skills.
Jua kutumia Command prompt na Powershell (Windows) Terminal (Linux)
Nashauri tumia Os ya Linux kwenye hii career
Tumia Os kama kali na Parrot
Other Distros can do
Anza kujifunza Sana, usikate tamaa
Kuna learning platform nyingi tu kama Youtube, udemy, udonix na pia Itpro