▶️ Kifahamu Kivuko cha kwanza kabisa kuwahi kutumika Ulimwenguni..!! #vitukuntu #uzi
👉Je! Unajua kwamba kivuko cha kwanza ulimwenguni kilijengwa na Waturuki wakati wa Dola ya Ottoman..??
👇👇 U S I O N D O K E 👇👇
▶️Katika miaka ya 1800, usafirishaji uliofanyika katika pande zote za Bosphorus ulifanywa kwa kutumia boti. Katika miaka ya 1840, vivuko vidogo pia vilianza kutoa huduma za usafirishaji kwenye eneo hilo la Bosphorus lilopo nchini Uturuki.
📸👇(Bosphorus)
👉Mnamo mwaka1850, kivuko cha "kirket-i Hayriyye" kilianzishwa na huduma ya usafirishaji baharini ilianzishwa kwa watu wa Istanbul kupitia kivuko hiki. Hüseyin Haki Efendi, mmoja wa mameneja wa kivuko hicho, alikuwa mtu mbunifu na alikuwa akifikiria kwa miaka mingi juu ya...
...suluhisho ambalo litarahisisha usafirishaji wa magari kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa kutumia njia ya bahari.
👉Walifanikiwa kupata muundo wa boti aina ya "steamboat" na kuupeleka kwenye uwanja wa meli huko Uingereza, ambapo Waingereza waliupenda sana muundo huo.
▶️Kivuko hicho ambacho kilichukua miaka takribani miwili kukijenga na kilikamilika rasmi mnamo 1871. Kilianza safari yake ya kwanza mwaka 1872.
▶️FAHAMU BAADHI YA REKODI ZA KUSHANGAZA ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA REKODI ZA DUNIA CHA GUINESS. #uzi #vitukuntu
01. Msichana mwenye miguu mirefu zaidi duniani.
👉Naam huyu ni "Maci Currin", binti wa miaka 17 tu akitokea kwenye nchini Marekani. Maci ameweka rekodi hii....
📸👇
....mwaka huu huu wa 2021. Maci ana urefu wa futi sita na inchi kumi, lakini miguu yake tuu imechukua karibu asilimia 60 ya urefu wake wote.
(Unaweza ukaangalia picha zake zaidi Instagram kwenye account yake ya @ _maci.currin_)
📸👇
02. Familia yenye nywele nyingi.
👉Familia ya Ramos Gomez iliweka rekodi ya ulimwengu kuwa familia kubwa zaidi yenye nywele nyingi za mwilini mnamo mwaka 2000. Ndugu wanne wa familia ya watu 19 kutoka Mexico walioitwa Victor Larry Gomez, Gabriel Danny Ramos Gomez,......
▶️WAFAHAMU WATU MASHUHURI WALIOUWAWA KWA KUPIGWA RISASI. #uzi #vitukuntu
01. ABRAHAM LINCOLN
👉Alikuwa raisi wa 16 wa marekani na ndiye raisi wa kwanza wa marekani kuuawa akiwa madarakani. Aliuwawa mwaka 1865 na John Wilkes Booth aliyeudhiwa na maamuzi ya Lincoln ya kutambua....
....haki za watu weusi. Lincoln alipigwa risasi na John Wilkes Booth alipohudhuria kwenye maonyesho ya muziki. Booth nae aliuawa siku mbili baadae baada ya jaribio la kutoroka kushindikana.
(📸👇 John Wilkes Booth)
02. BENAZIR BHUTTO
👉Alikuwa waziri mkuu wa 11 wa Pakistani na kiongozi wa chama chenye ushawishi mkubwa cha PPP. Alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza taifa la kiarabu akichagizwa na siasa zake safi za kidemokrasia. Aliuwawa disemba 27 mwaka 2007 akiwa kwenye gari yake aina ya....
▶️LEO NIMEKULETEA HAPA BAADHI YA PICHA ZA "BEHIND THE SCENES" ZA FILAMU MAARUFU YA "APOCALYPTO" 🎥 #uzi #vitukuntu
📸👇🏾
▶️Filamu hii maarufu kutoka kiwanda cha kutengeneza filamu cha nchini Marekani (Hollywood) inayokwenda kwa jina la "Apocalypto" imekuwa ni mojawapo ya filamu nyingi zenye mafanikio na pia mvuto mkubwa kwa watamazaji.
👉🏾Filamu hii iliachiwa mnamo mwaka 2006.
Tuendelee..
👇🏾 👇🏾
▶️Filamu hii ilikuwa na lengo la dhati la kuelezea maisha ya kale ya wanadamu waliokuwa wakipatikana kwenye maeneo ya Amerika ya Kusini hususani wakazi waliokuwa wakiishi kwenye msitu mkubwa wa Amazon.
👉🏾Muongozaji mkuu wa filamu hii anajulikana kwa jina la "Mel Gibson"