#UZI

#NJIA_ZA_KISASA_ZA_KUZUIA_MIMBA
Eti Sister/Broo.
Unadhani Pesa anazo toa mzungu ili kutangaza dawa za Kupanga uzazi wa mpango yeye shida yake ni nini.? au ana faidika na nini oyaa mdada au mwana Mama get a lesson twendee chap chap.!?
Uzazi wa mpango ume gawanywa katika makundi ma2.
1.Wa Kizungu.
2.Wa Asili.

1:- Wakizungu hutumia Billions of money kuhakikisha jamii ina tumia njia izo lakin lengo la wazungu ni tofauti kabisa na wanavo fikilia Dada zetu na Wasimbe Wengine.
Mzungu yeye yuko Abroad ana watoto wa 2./3 wala hatumii hizi njia walizo tuletea sisi tutumie sasaa jiulize ana athirka nini na mtu wa Kwampalange anakula kwa jasho lake Mzungu ana faidika na nn kwa kutangaza kila sehemu mabango na..
semina and to use alot of money kushauri wa Africa watumie uzazi wa mpango why..?
Kama ana huruma kweli kwanini zile pesa asinge weka kusaidia uboreshaj wa mahospital na mashule watoto waje soma..!? twende next chapter 👇🏾
Sura ya nnje mzungu anampango wa kutaka wa Africa Wasi zaliane Sana.out of this lengo kubwa hasa ni kama ifuatavyo.
Shirika la afya lili sema 80% ya uzaz wa mpango ni wasichana kuanzia umri wa miaka 14-28 hawa ndo watumiaj wakubwa wa njia ya uzazi wa mpango kwanini na hawana ndoa
Lengo la Mzungu ktk kizazi hiki ni kuandaa kizazi cha Wazinifu(Malaya) ukiangalia wengi kwasasa ni vijana wanao soma Mashuleni na vyuoni ndio watumiaji wakubwa wa uzazi wa mpango.Nadhani Muna waona Wanavyo Jiachia mitaani na vyuoni pasina hofu yoyote ile..
ili aendelee na Ngono zembe lazima watumie njia kati ya hizi sindano,kitanzi,kipandikiz na P2.

Una weza kuona kiasi gani wame weza fanikiwa katika suala la vijana kua wa asherati kwa kiasi kikubwa kwasababu wanajua si rahisi kupata mimba wakisha tumia njia za izo..
👉🏼KITANZI KTK NJIA YA MLANGO WA KIZAZI.
Hii kaz yake ni kuhakiksha kila mwanamke anae kua ame concve kila mimba inayo takiwa iende tungwa basi hii loop hufanya automatic abortion.utatoa mimba ngap.then baadae mnakuja lia MUNGU awapatii Watoto Mkumbuke na mnavyo penda ujana.
👉🏼VIPANDIKIZI KTK BEGA.
Unajua Madhara ya kipandikizi.? Shortly Jiulize kwa Akili Ya kawaida tu.Kipandikiz unaweka began na mimba inaingilia kwenginee kabisa😂Nyie.

Hiki Huvuruga mzunguko mzima wa damu na hiko kijiti kilicho wekwa hapo.
Ita endelea.....🚒

Weka Notification On tu.🎤
Tuna Endelea...
Hiki Huvuruga mzunguko mzima wa damu na hiko kijiti kilicho wekwa hapo..ile hypotharamus gland ina haribiwa na artificial hormone ilio wekwa ktk kijiti ambayo kaz yake nikutema ute mzito unao kwenda fuvuruga hormone halisi ktk mfumo wake na kuvuruga mfumo wa damu.
Hii husababisha uvimbe ktk uterus,na vimbe zinazo patikana ktk ovaries.dalili moja wapo ni kupata pain kali sana ktk sehemu za uzazi wengine hupoteza kabsa hata kupata hedhi.

Wanawake wengi leo wagonjwa wa vimbe ktk system za uzazi.
Wengine hupoteza hata radha ya kufanya tendo la ndoa(mapenzi)yanii hawez fika kituoni kabisaa haya ni madhara hutokana na dawa hizi za kuzuia mimba.

Najua Utakaza Kichwa niulize Toka Lini Mzungu Aka Kupenda mtu Mweusi.!?..Zamani wazaz walo Kuzaa awaja zaliwa na Hakukua na iz way
NJIA NYINGINE NI YA KIJITI.
Hii Njia Bana Daah anyway ila wadadaa wanakuaga na roho flani ivii Ngumu sanaaa.
Hiz njia zinavyo tumika tuu utagundua ni watu Hatar na nusu.

Madhara yake ni atari kama kuleta Cancer ya mlango wa kizazi wanawake wengi wana choma mionzi ukeni.
Sio kwamba kuna mengi yana weza sababisha ila hili likiwa moja wapo na kubwa tu.,kwani ukisex kwa calendar yako una kufaa..?.Mkaze basi hataa pull out mtumie alaa.
TWENDE NJIA YA SINDANO.
Wanawake wengi huchoma cndano. Cndano ina balaa lake sio dogo tatzo wanao tumia hawa fatilii wao wata tumia tuu...alafu wanao fatilia ni sisi Maniga Jia tusio Tumia..Oya My Beiby awez tumia haya ma upuuzi.🚮

Achague Kubaki Na Mimii Au Akajiathir mbele uko
Hii njia ina athari zake kama vie.
👉🏼kunenepa unene usio wa kawaida hii huenda mpelekea ata tumbo kufunika magoti kwa unene wa kizembe na kupoteza shape anakua kama pipa.

Sasaa unakuta Mdadaa Mdogo tumbo limeshuka Balaa Ww ninii tulizana kama utak mimba si uache sex🚮
👉🏼Also ina kata mfumo wake wa hedhi mdadaa MUNGU kesha kuumba ww Maumbile yako ni hayo kwa mwezi utaenda menstruation

Unakuta Mdadaa kama Dume Mwezi mzima hazalishi takasumu za kusafisha mwili wake ambayo ni kawaida kwa kila mwezi sasa mdada ana dunda tuu 2 manth nyiee🤣
Shirika la WHO wali wahi kutoa article wakisema Sindano moja inazuia Mimba kwa miezi mitatu uez shika uja uzito.
Sindano moja ina create sumu kwa miaka 2na miez 6 piga hesabu na kila mwaka unatakiwa choma sindano nne so una sumu inayo zunguka kwa miaka 10 ktk mwili wako.😣
Mji hurumie basi Mda mwengine anyway naleta Short and clear msi choke kusoma naomba kwa leo niishie hapa i will be back kwa njia zingine.

Pia Tuta malizia na asili yetu wa africa au zaman wali wezaje maana tuna ambiwa watu wana ongeza kwa kasi..na kuna hizi njia..lakinii...
Zamani watu hawakua wengi sana na hakuku ata na condom au ndo ndia ya Mzungu kuandaa Kizazi cha Uasherati ame fanikiwa tayari.,

Na still ana endelea kufanikiwa kuwa enezea athari mfe taratibu..!?

See you next session..🤳

@iam_mobam

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Mobam✨

Mobam✨ Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @iam_mobam

26 Jun
........HAIKUA RAHISI ILA ILI BIDI....

Alisema Niko Pekeangu Alipata Alicho Hitaji,.Alijua Sina Kazi Na Pesa Ninazo Pata Ni Struggle Na Jitihada Binafsi Lakini Alipata Kiasi Alicho Hitaji Kwa wakati sahihi.

Niliamini Nimepata mtu sahihi wa kuja Jenga nae Familia na niki amini. Image
Atakua mlezi Bora wa Familia Tulio iwaza Tukiwa Tumelala na Kuijadili kwa Furaha tukisema "MUNGU AKIJAALIA TUWALEE WATOTO WETU KTK MISINGI BORA".

Sikua nafahamu moyoni mwake aliwaza nini japo nilijipa Umuhimu sana ktk maisha yake na kumfanya mwenye furaha.. Image
Alinikosea Sana Yamkini Sina Jazba Nili Muelekeza Kama Mzazi Mwenzangu Mtarajiwa Nili amini hakuna wakumkosoa zaidi ya mimi mwenyewe ili kujeng uhusiano imara.

Alifikia Hatua ya Kuni saliti,.nika waza mzee mmoja alisema mkeo akikusalit muite muulize kip anakosa... Image
Read 13 tweets
8 Jun
Unamjua #MGANGA_PAZI Wewee...😂🤣😂????

#UZI

Wakati ule wa enzi za usultani na ufalme, kulikuwa na nchi moja iliyoitwa Mkira.

Katika nchi hiyo, aliishi mtu mmoja aliyeitwa #Pazi. Mtu huyu alikuwa fukara sana lakini hakuridhika na hali hiyo.
Katika kufikiria mbinu itakayomfanya awe tajiri, aliamua ajifanye mgangd. Baada ya uamuzi huo, alipita kila sehemu akijitangaza.

Alitangaza kwehye masoko, mashamba, mdchungoni mpaka visiwani kuwa yeye ni mganga hodari, asiyeshindwa na lolote.
Wakati huo hakukuwa na hospitali wala madokta,shughuli zote za tiba zilifanywa na waganga.Ukunga ulifanywa na wakunga ambao siku hizi tunawaita waganga wa kienyeji

Habari za mtu aliyekuwa akijitangaza kuwa mganga hodari asiyeshindwa lolote, zilimfikia Mfalme wa nchi ya Mkira.
Read 30 tweets
7 Jun
#Simulizi_Uzi

SAFARI YANGU YA KUTO KUMWANI MWANAMKE KTK MAHUSIANO ILIPOANZIA.

Baada ya mahusiano ya miaka minne ya uaminifu na upendo kwa binti mmoja hivi jina kapuni, ndipo safari yangu ya kuto mwamini tena mwanamke katika mahusiano ilipoanzia kutokana na kile alichonifanyia.
Katika maisha yangu ya mahusino na huyo binti, nilikuwa mwaminifu sana pia nilimwamini kupita kiasi, siwezi sema labda sikuwa na uzoefu katika mapenzi laahasha,

nilikuwa na uzoefu kuliko hata binti mwenyewe yaani..🙌🏾
Kutokana na mazingira aliyokuwa ameyajenga kwangu ndio kilikuwa kichocheo kikubwa kilicho changia kumwamini kupita kiasi,

Kwa uaminifu niliokuwa nao hata kama ungempiga picha akiwa nyumba ya kulala wageni(guest)..
Read 20 tweets
6 Jun
BREAKING NEWS.
06/06/2021

#UZI

MWALIMU ADAIWA KUMPA MIMBA MTOTO WA MWALIMU MWENZAKE HUKO SAME.

Oyaaa Kichwa Ya Habari a.k.a Heading Mumeiona🤓🤓ila #DUNIA

Tushukee Waku Elewa Ni Suala La Kweli.
Same. Mwalimu wa shule ya Sekondari Lugulu iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro,.

Anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu, mwenye umri wa miaka 17 na kisha kutokomea kusikojulikana.
Mei 27 mwaka huu shule hiyo iliwapima wanafunzi wote wa kike ujauzito na mwanafunzi huyo alibainika kuwa na ujauzito wa miezi wa sita.

Akizungumza na Mwananchi juzi, Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Nduga Makenji ...
Read 9 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(