Je, unafahamu sababu zinazopelekea mashirika ya ndege barani Afrika kupata hasara?

1. Mashirika kutojipanga vyakutosha katika kusimamia na kuendesha biashara za aina hii kulingana na ushindani uliopo hivi sasa.
2. Mashirika ya ndege mfano Air Tanzania, namna ambavyo lilifufuliwa lilileta maswali mengi kwa wasomi hasa wanauchumi pamoja na wananchi kwa kuwa mchakato wake haukuwa wa wazi.
3. Mashirika mengi ya ndege hivi sasa Afrika yanaendeshwa kwa hasara kubwa na hivyo kupelekea shughuli nyingi za kimaendeleo kusuasua na kufanya hali za wananchi kuwa ngumu na wakati mwingine kupelekea mzunguko wa fedha kuwa mdogo,nani atapanda ndege?
Mfano; Kwa mwaka 2019/2020 peke yake mkaguzi wa hesabu za serikali Tanzania Charles Edward Kichere (CAG) anasema shirika la ndege la Tanzania limepata hasara ya zaidi ya bilioni 60 kwa maana hiyo mpaka hivi sasa shirika la ndege la Tanzania bado linaendeshwa kwa hasara.
Kwa mwaka 2015/2016 shirika lilipata hasara ya bilioni 94.3, mwaka 2016/2017 shirika la ndege Tanzania lilipata hasara ya bilioni 109.3 na mwaka 2017/2018 shirika lilipata hasara ya zaidi ya bilioni 113.8.
Kwa mtiririko huo ni wazi kuwa shirika la ndege la Tanzania linajiendesha kwa hasara kubwa ambapo wataalam wa masuala ya anga na uchumi wanadai bado kuna uwezekano kukawa na hasara kubwa zaidi lakini ukweli haujawekwa bayana kutokana na sababu nyingi hasa za kisiasa.
Tatizo kubwa la ATCL kutokufanya vizuri zipo nyingi japo hivi sasa shirika linajificha katika kivuli cha Corona (COVID -19) lakini ukweli utaendeelea kubakia kuwa hata kabla ya COVID -19 bado shirika lilikuwa likijiendesha kwa hasara kubwa.
Serikali Tanzania ili kuweza kufanikiwa katika aina hii ya biashara lazima ikubali kujifunza zaidi kutoka kwenye mashirika yanayofanya vizuri kwenye uwanda huu ilikujipatia uzoefu na mbinu za namna za kuendesha shirika la ndege kwa faida zaidi.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Goodluck Haule 🔥自由憲章

Goodluck Haule 🔥自由憲章 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @RealHauleGluck

8 Sep
Discrimination💥

Dear @FordFoundation

The ramifications of human rights violations disproportionately affect those living in developing nations due to compounding factors and difficulties. The marginalization of groups based on gender identity and sexual orientation.
Although there are exceptionally progressive parts of the world that have made advances toward the inclusion of the LGBTQIAPK (lesbian, gay, bisexual, transexual, queer, intersex, asexual, pansexual/polyamorous, kink) community, stigmatization remains a dilemma.
Other stigmatized cases include persons living with HIV/AIDS and victims of rape or other forms of gender-based violence which is notorious reality in Tanzania. We are truly concerned about your money ‘Grants’ being used to incite discrimination, inequality and stigmatization.
Read 5 tweets
6 Sep
Myself, Human rights defender, I act to promote or protect human rights in a peaceful manner. Human rights defenders are identified above all by what they do and it is through a description of their actions.
I regret to say that @kigogo2014 doesn’t fit that description as HRD.
To be a human rights defender, a person must act to address any human right (or rights) on behalf of individuals or groups. Human rights defenders must seek the promotion and protection of civil and political rights,
as well as the promotion, protection and realization of economic, social and cultural rights.
Read 12 tweets
22 Aug
Siasa za Tanzania katika jicho la tatu: Nini kinaendelea?

1. Mkuu wa Nchi anafariki akiwa madarakani. Huyu ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Taifa hili. Sasa anafariki akiwa madarakani. Hiki kiti ndio cha juu zaidi kwenye kila nchi. Hiki kiti ndio nchi yenyewe.
2. Katibu Mkuu Kiongozi anaaga Dunia akiwa kwenye kiti chake. Kwa wasiofahamu, huu wadhifa ni mkubwa sana kwenye utawala wa nchi, hata Waziri Mkuu ni mdogo kwa kiti hiki. Naweza kusema hata Makamu wa Rais ni mdogo kwa umuhimu wa kiti hiki kwa Rais.
Huyu ni Rais mwenyewe kwa sura nyingine. Huyu ni mshikaji mkubwa wa Rais wa kupika na kupakua (Usidanganywe na protokali unayoona machoni hali ni tofauti sana katika uhalisia)
Read 13 tweets
19 Aug
Today’s democratic systems rely on political parties as one of the main ways of channelling different views and securing a variety of interests in the political decision-making process. Political parties play a crucial role in establishing public authorities, formulating policies
and implementing them. The effectiveness and credibility of parties have a fundamental impact on the nature and success of democracy. They are of the utmost importance for the legitimacy of the whole political system and..,
constitute a necessary precondition for the effectiveness of the democratic process.
Read 8 tweets
10 Aug
The Four (4) important Roles of Social Activism 💥

There are four different roles activists and social movements need to play in order to successfully create social change.
Social movement activists need first to be seen by the public as responsible citizens. They must win the respect and, ultimately, the acceptance of the majority of ordinary citizens in order for their movements to succeed.
Consequently, effective citizen activists need to say “Yes!” to those fundamental principles, values, and symbols of a good society that are also accepted by the general public.
Read 23 tweets
10 Aug
Je, Kuna uwezekano kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA @freemanmbowetz kuoneshwa Mubashara kwenye vituo vya TV?

Mhe. Rais @SuluhuSamia katika mahojiano na @BBCNews umesema kesi ya Bw. Mbowe ni nafasi nzuri kwa mahakama zetu, kuionyesha dunia kuwa haki inatendeka kwa usawa na uwazi.
Kutokana na ukweli kwamba tangu mwalimu Julius Nyerere apewe kesi ya aina hiyo ‘UGAIDI’ na wakoloni wa Uingereza hakuna kiongozi wa kisiasa amshafunguliwa mashtaka ya aina hiyo tangu Uhuru. Basi itakuwa vema @judiciarytz ikimpa Bw. Mbowe ‘open, fair and transparent trial’
Kesi ya Bw. @freemanmbowetz ina ‘public interest’ kubwa sana. Ili kujenga imani na @judiciarytz uendeshaji mzima wa jaribio ‘trial’ ufanyike mubashara. Watanzania na dunia iweze kufuatia shauri hili lenye maslahi makubwa kwa demokrasia, haki na utawala wa Sheria. Ni ushauri wetu.
Read 4 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(