JAPHET MATARRA Profile picture
Sep 26, 2021 โ€ข 17 tweets โ€ข 14 min read โ€ข Read on X
PUTIN ANAVYOPINDUA VIONGOZI WA AFRIKA KUJIIMARISHA

#UZI:

๐Ÿ’จRais Alpha Conde (Guinea) alipinduliwa kwa msaada wa USA & Ufaransa, lkn kwa ASSIMI GOรTA (Mali) alisaidiwa na Urusi.Pia mauaji ya IDRIS Dร‰BY (Chad) yalifanywa na URUSI
๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ’ป๐Œ๐š๐ฆ๐›๐จ ๐Œ๐š๐ณ๐ข๐ญ๐จ ๐“๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ๐ฒ๐š๐ฃ๐ฎ๐š๐Ÿ‘‡
Mnamo Aprili 20, 2021 majira ya jioni zilianza sherehe huko La Brasserie Kiss, umbali wa 100M kutoka ktkt ya mji wa Bangui (Afrika ya Kati). Kila aliyepita huo mtaa aliona magari kadhaa yamepaki mbele ya nyumba moja ya Ghorofa 3, jumba ambalo ni kivutio kikubwa sana ktk jiji hilo
Jengo hili lipo nje kidogo ya mtaa maarufu wa DU COLONEL CONUS na ikifika usiku hupendeza sana kutokana na mng'ao wa taa ulioizunguka. Kulingana na saa kule ilikuwa mida ya saa 2 usiku hivi na kwa wenyeji wa mji huo, ni muda ambao amri ya kutotembea usiku huanza kutumika.
Siku hiyo watu fulani hawakutaka kuondoka ili wahudumu wafunge.
#Naam...!!!

Siku hiyo watu fulani hawakutaka kuondoka ili wahudumu wafunge.

Kanali VASSILI, mutu ya pamba kali, Mzee wa kuwaka na mvuvi wa watoto wazuri mjini kama @BarakaSaimon3, basi naye alialikwa ktk sherehe hiyo na alikuwa ametupia nguo za kiraia ukimuona huwezi kumjua.
KANALI VASSILI NI NANI?

#Inshort:Ni kijana mdogo raia wa Urusi, anapenda sana raha, pombe kwake ni kama maji tu.Unaambiwa pia mara nyingi akiwa na gari lake la kivita ndani ya mitaa ya jiji hilo, hujiona km yupo Moscow

Yaani huwa hajali sana vizuizi vya traffic akiwa barabarani
Akiwa na wine yake aligonga glasi kadhaa kufurahia kifo cha Rais IDRISS Dร‰BY ITNO wa Chad, ambaye alikuwa amefariki siku 02 zilizopita. Wenzake hawakufurahia hali hiyo ingawa hawakuhusika na mauaji yake. Walifadhaika sana na ilionekana ni kukosa heshima kusherehekea kifo chake.
Licha ya kuwa Kanali huyu alikuwa akifurahia hafla hiyo akiwa na marafiki zake, Lkn alikuwa kazini na simu yake ilimkumbusha km mara 02 hivi

Mtu wa kwanza aliyewasiliana naye usiku huo alikuwa Rais FAUSTIN-ARCHANGE TOUADร‰RA wa Afrika ya Kati na alitaka kufahamishwa habari fulani Photo not related
Rais TOUADร‰RA alitaka kujua vikosi vya Urusi vilikuwa vimefikia hatua gani kwenye operation zao dhidi ya kikundi cha Coalition of Patriots for Change/Coalition des Patriotes pour le Changement (CPC).

Kikundi hiki cha CPC ni muungano wa vikundi kadhaa vinavyojiita vya wazalendo!!
#CPC ni kikundi cha waasi na kinaongozwa na FRANร‡OIS BOZIZร‰ YANGOUVONDA, aliyekuwa rais wa nchi hiyo miaka 10 iliyopita (2003/2013).

#BOZIZร‰ alimpindua rais wa zamani ANGE-Fร‰LIX PATASSร‰ akiwa ameenda Niger. Mnamo 2013, naye alipinduliwa na waziri mkuu TOUADร‰RA aliye madarakani.
Kikundi cha CPC kiliundwa mwaka jana 2020 na kuvuruga uchaguzi mkuu wa 2020/21 nchini humo.

Kanali Vassili ambaye jina lake kamili halijulikani kabisa, ndiye amepewa kazi ya kupambana na CPC na ni mmoja wa viongozi wa kampuni ya WAGNER yenye Mercenaries na makomando wa kivita.
Kikundi cha CPC nitakielezea baadae kuanzia
๐Ÿ“กKuanzishwa
๐Ÿ“กUongozi
๐Ÿ“กOperation n.k

Pia kampuni ya #Wagner nitaichambua kwa undani zaidi kadri tunavyoenda na huu Uzi, #muhimu ni kufahamu kuwa inaendeshwa na Tajiri wa Urusi rafiki na swahiba #01 wa Rais VLADIMIR PUTIN wa URUSI
Kanali VASSILI alikuwa amezoea kuzungumza na TOUADร‰RA na haraka alimjibu na kumhakikishia kuwa kikosi chake bado kina nguvu

Aliongezea kuwa, Jeshi la nchi hiyo ambalo mara nyingi ndio huwekwa mbele karibun litasonga zaidi na punde litadhibiti maeneo yanayoshikiliwa na waasi hao
Kisha baada ya mazungumzo hayo alikata simu na kurudi kunywa wine ๐Ÿท yake

๐ŸŽผSherehe ziliendelea ingawa kulikuwa na amri ya kutotoka nje usiku. Yote kwasababu kiongozi huyo wa kijeshi toka Urusi alikuwa maarufu sana kiasi kwamba uwepo wake tu Club hiyo iliruhusiwa kuvunja sheria.
Lkn unaweza ukajiuliza KIJANA huyu ni nani?๐Ÿค”

๐Ÿ’จMTU ambaye anaogopeka kwa karibu watu wote Jijini Bangui mpk sheria zinavunjwa!!

๐Ÿ“กKijana ambaye ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais, na ni kiongozi wa ngazi ya juu wa Kampuni ya WAGNER huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.!!
๐Ÿ“กJe, ndiye BOSS wa WAGNER huko Afrika ya Kati? kampuni ambayo kwa mujibu wa vielelezo inaonekana haina LEGAL STATUS huko Urusi!

๐Ÿ’จ#Wagner ni nani?

๐Ÿ’จ#Kanali VASSILI ni nani?

๐Ÿ’จ#Wagner imefikaje nchini humo, kufanya nn?

Maswali yote hayo + mengine tutapata majibu hapa chini๐Ÿ‘‡
#Inshort:WAGNER iliingia nchini humo miaka 03 iliyopita

Kwann ina nguvu sana serikalini?
Ni Kwa7bu ilipenyeza watu wake ktk nafasi za uongozi ndani ya nchi hiyo

Sasa kabla hatujaenda huko...

๐Ÿ“กTuingalie kwanza mauaji ya Rais IDRISS Dร‰BY (Chad) & connection na #Wagner (Putin)๐Ÿ‘‡

โ€ข โ€ข โ€ข

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
ใ€€

Keep Current with JAPHET MATARRA

JAPHET MATARRA Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Eng_Matarra

Oct 19, 2021
NANI ALIYEMUUA SOKOINE?

#UZI

๐Ÿ”ฒMnamo April 12, 1984 ilikuwa ni siku mbaya sana ktk Taifa letu na haitosahaulika kwa Watanzania. Siku hiyo tulimpoteza kijana makini aliyekuwa Waziri Mkuu EDWARD MORINGE SOKOINE, aliyefariki kwa ajali mbaya ya gari eneo la Wami-Dakawa (Morogoro). ImageImageImage
๐Ÿ”ฒSOKOINE mmoja wa viongozi bora nchini amefariki miaka 37 iliyopita akiwa na miaka 46. Ikiwa ulizaliwa kpnd hicho sasahv ushakuwa na watoto na pengine unaelekea wajukuu.

๐Ÿ”ฒIngawa historia tumesoma ndio, ILA #chanzo cha kifo chake bado kuna utata kuna maswali YasiYo na majibu. Image
๐ŸŽคNimeamua tufukue makaburi najua hukuambiwa haya๐Ÿ’ฃโคต๏ธ

๐Ÿ”ฒHv NANI HASA ALIYEMUUA SOKOINE?

๐Ÿ”ฒILIKUWAJE AKAGONGWA NA GARI La "Private" #KATIKATI Ya MSAFARA na kupelekea kifo chake (Tujuavyo msafara wa VIP unakuwaga na ulinzi wa usalama, hakuna gari linaruhusiwa kutembea hadi upite) Image
Read 111 tweets
Sep 18, 2021
๐‚๐ˆ๐€ ILIVYOTUMIA MWANAMUZIKI ARMSTRONG KUMUUA PATRICE LUMUMBA (Congo)

#Thread

Mnamo Sept 19, 1960, Mkuu wa CIA huko Leopoldville (sasa Kinshasa) alipokea SMS kupitia chombo cha siri kutoka wakuu wake huko Washington. Mtu aliyejiita 'Joe from Paris' ndiye aliyepiga simu na ..
kumwambia angefika Congo kwa ajili ya Operation maalum.

Hakuna maelezo zaidi yaliyotolewa. Baadae mkuu huyo alionywa kutozungumzia ujumbe huo na mtu yeyote. Wiki 01 baadae 'Joe' aliwasili nchini humo.

Leo nikiwa nasoma kitabu cha ๐–๐ก๐ข๐ญ๐ž ๐Œ๐š๐ฅ๐ข๐œ๐ž (Author: SUZAN WILLIAMS)
kilichotoka Agosti 20, 2021, nimejikuta nikiumia sana nafsi baada ya kufahamu jinsi Marekani ilivyomuua Waziri Mkuu wa kwanza wa DR-Congo, mzalendo wa kweli, kijana mdogo mrefu, mwembamba miaka 36, kwasababu tu USA iliogopa Umoja wa Kisovieti (USSR) ikaamua kumuua.
Read 120 tweets
Sep 13, 2021
FULL OPERATION MAPINDUZI YA RAIS (GUINEA)

#Thread

Baada ya TALIBAN nchin Afghanistan, habari sasa ni MAMADY DOUMBOUYA kiongozi wa kijeshi huko Guinea, kumpindua rais na kuchukua madaraka #Unadhani kikosi kidogo cha SFG kiliwezaje kudhibiti kambi za kijeshi na kumkamata rais?๐Ÿ‘‡
Yes, mwanajeshi wa zamani wa Ufaransa (French Legionnaire) aliyerudi nyumbani miaka 03 iliyopita na kuaminiwa na Rais ALPHA CONDร‰, ndiye aliyemsaliti na kumuondoa madarakani baada ya kutaka kuongoza nchi kwa muhula wa 03

MAMADY DOUMBOUYA ambaye ana cheo cha Kanali alionekana..
kwenye kituo cha Radio-Tรฉlรฉvision Guinรฉenne(RTG), mnamo 5 Septemba majira ya saa 2 usiku, akiwa amevalia kofia nyekundu (Red Beret) ameweka bendera ya taifa hilo begani mwake, na kuzungukwa na wanajeshi wanane, akatangaza kuwa jeshi limechukua madaraka ya nchi.
Read 147 tweets
Sep 9, 2021
MAPINDUZI YA GUINEA TZ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ YA SAMIA INACHAKUJIFUNZA

#UZI

Ilianza kama utani Mzee Condรฉ hakuamini kijana wake mwenyewe aliyemlea, mwenye masters ya vita na cheo akampatia alipomwambia "simama juu hlf ukae chini" Unadhani ilikuwa rahisi kumpindua? Naam It's #Guinea:1958-Present๐Ÿ‘‡
Sikuweza kuandika Uzi yalipotokea mapinduzi ktk nchi nyingine mbalimbali, lkn kwa yaliyotokea jumapili nchini Guinea nimeona niandike ili Watanzania tuone km kuna lolote la kujifunza. Nitaangazia upande wa kisiasa tu. Nitachambua kila kitu kuanzia uhuru hadi kutokea mapinduzi.
Maswali nayotaka kukujibu km ulijiuliza ni haya:๐Ÿ‘‡

๐Ÿ’จHistoria ya Guinea ikoje?

๐Ÿ’จKwnn mpk mapinduzi?

๐Ÿ’จCol. Doumbouya ana nguvu gani

๐Ÿ’จKwann wananchi wamefurahia?

History repeats itself, 1st as Tragedy, second as Farce.
Just retweet ๐Ÿ”„ huenda siku
Uzi huu ukakukumbusha kitu
Read 211 tweets
Aug 18, 2021
WHO is '๐“๐€๐‹๐ˆ๐๐€๐'? WANATAKA NINI HASA AFGHANISTAN?

#๐•ฟ๐–๐–—๐–Š๐–†๐–‰:
Ifahamike, walikuwa yatima ktk kambi za wakimbizi Pakistan.
Je, wana uhusiano na AL-QAEDA? #Tragedy:UINGEREZA & URUSI kuchezea kipigo cha Mbwakoko.
โœด๏ธChimbuko
๐Ÿ“กWalio nyuma yao?
๐Ÿ“‹Tofauti yao na MUJAHIDINA..
Vita vya Marekani nchini Afghanistan vimedumu kwa takribani miaka 20. Nimeona watu wengi wakitoa maoni juu ya Jeshi la TALIBANI kuchukua nchi Lkn wengi hawana historia juu yake. Wengine wanasema Rais wa Marekani @JoeBiden mefanya 'makosa' kuondoa majeshi yake.
BIG NO __Hapana.
Wengi tusichojua ni kwamba, huu ulikuwa ni uhalifu wa kivita na DICK CHENEY, aliyekuwa Vice President wa G. W BUSH na DONALD RUMSFELD, Kiongozi Mkuu wa Ulinzi kipindi cha Vita ya IRAQ (alishafariki), ndio walioiingiza Marekani kwenye shida hii unaiona Leo, kisa wanamtafuta OSAMA
Read 114 tweets
Aug 11, 2021
๐…๐€๐‡๐€๐Œ๐” ๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐‰๐ˆ๐๐€ ๐˜๐€ ๐Œ๐ˆ๐Š๐Ž๐€๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

#๐•ฟ๐–๐–—๐–Š๐–†๐–‰:
Tanzania ni nchi iliyoko Africa
Jina "๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š" lilipatikana kwa mashindano yaliyotangazwa mwaka 1964 na ๐Œ๐จ๐ก๐š๐ฆ๐ž๐ ๐ˆ๐ช๐›๐š๐ฅ ๐ƒ๐š๐ซ ndiye aliyelibun.Hivi unafaham asili ya jina la mkoa wako?
Ktk kipind cha ๐”๐ค๐จ๐ฅ๐จ๐ง๐ข Tanzania ilikuwa na utawala wa majimbo 8, Lkn baada ya #๐”๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ mikoa ilianzishwa kwa miaka tofauti na mpk Leo hii ninavyoandika #Uzi huu ๐Œ๐ข๐ค๐จ๐š 31 imeanzishwa kutoka pande zote Visiwani na Tz Bara.Najua ulishawahi kujiuliza asili ya Mkoa wako
Kila Jina unalosikia lazima kuna chimbuko ambalo ndio Asili ya jina hilo. Aidha, yawezekana limetoholewa ktk lugha za kigeni na kuchukuliwa kutokana na matumizi yake, muonekano, lugha za asili ktk Eneo fulani, tukio ama hata tabia za watu wa eneo fulani na makosa ya kimatamshi
Read 158 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us!

:(