Kutokana na uzi nilio andika jana kua na maswali mengi sana juu ya vitu kama smart tv,Android tv,UHD,FHD,4k,8k leo nitajubu maswali mengi sana kwenye huu uzi shuka nami π§΅
1.SMART TV AU ANDROID TV
Hapa nitakupa utofauti kati ya smart tv na android tv then wewe ndio utafanya uamuzi uchukue ipi.
Smart Tv -ama kwa jina jingine wanaita internet TV ni Tv yenye uwezo wa kuunganishwa na internet na hufanya kazi kuikaribia sana smartphone
Utofauti wake hii inakuja na already installed applications na huwezi ku download zingine maana haina playstore wala appstore faida ya smart tv ipo fast kuizidi android tv
Android Tv -ni aina ya smart tv ambayo inatumia os(operating system) ya android hii inakuja na playstore
Ambapo utaweza ku download application mpya unazo taka ila tu haipo fast ukilinganisha na normal smart tv.pia bei za android ziko juu ukilinganisha na normal smart tv
2.Resolution (HD,FHD,4kUHD,8kUHD)
Term hizi zote humanisha kiwango cha unβgavu wa tv yako na kadri Resolution
inavyokua kubwa ndio TV inakua na uwezo mzuri zaidi wa kuonyesha picha zenye ubora zaidi na bei pia inakua kubwa zaidi
3.WIRELESS CONNECTIVITY
Hii ni feature nzuri sana kwenye tv jaribu kusoma kwenye box kama kuna features kama wi-fi,Bluetooth,mirroring hizi feature zitakusaidi
a kuunganisha tv yako ku share na simu yako vitu vingi mfano kutumia bando la kwenye simu yako kwenye tv,pia kama una airpods unaweza connect na tv ukaendelea ku enjoy movie zako bila kuwakela wengine
4.CONNECTION NA PORTS
Cheki matundu ya kuunganisha vifaa vyako kwenye TV ili usiwe na haja ya kuchomoa chomoa nyaya unapotaka kuunganisha vifaa vingine
Size zilizo zoeleka ni inch 32,40,43,49,50,55 .kufanya maamuzi ya size ipi uchukue ni kupima umbali wa eneo itakapo wekwa tv na eneo ambapo mtazamaji atakaa
Mfano umbali wa futi 4-6 nunua tu inch 32,futi 5-8 unaweza nunua inch 40/43 na kuende
6.Brand
Kila brand zinakua na features tofauti tofauti kujitofautisha na brand nyingine ila tu usikimbilie sana brand zenye majina zilizo zoeleka toka zamani,kuna brand zingine mpya lakini zinafanya vizuri sana sokoni na zina features very unique na bei zako kidogo zipo chini
β’ β’ β’
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Kama tulivyo elezea kwenye nyuzi nyingi zilizopita ni android tv kua na uwezo wa ku support play-store na wakati huo smart haina uwezo huo ,
Matatizo ya android tv ni kama
1.KUJIZIMA MARA KWA MARA
Kama Tv yako hua ina tabia ya kujizima na kujiwasha kila mara hii yaweza kua ni settings kwenye day dream na screen saver unacho takiwa ni ku turn off hizo settings kama likiendelea basi fanya factory reset ya Tv yako
2.TV INAKUA SLOW
Hii husababishwa na app ambazo una zi install kutoka play store zinajaza memory space pia zingine zinakua hazipo compatible na TV yako
Solution:zi uninstall hizo apps ambazo ukizi lunch TV inakua slow
π¨πΏβπTEKNOLOJIA 5(tano) ZILIZOLETWA NA UJIO WA COVID-19 DUNIANI .
Ujio wa Covid-19 duniani unalazimisha idadi kubwa ya nchi kuanza kutumia teknolojia tano(5) muhimu ambazo zina athiri utendaji kazi wa watu moja kwa moja huku idadi kubwa ya ajira tulizo zizoea zikipotea ifikapo2025
Jitahidi kuzisoma hizi nyuzi maana zimebeba mambo muhimu sana yatakayo kusaidia kufanya maamuzi mazuri juu ya skills gani unatakiwa kuwa nazo na ni fani gani umshauri mdogo wako au mtoto wako ama ndugu yako ambazo zitakua na soko miaka ijayo
Zifuatazo ni Teknolojia 5 muhimu
1. Artificial Intelligence (AI) and Machine Learning
Ikiwa na maana ya uwezo wa computer π» ama π€ robot kufanya kazi ambazo ilitakiwa zifanywe na binadamu teknolojia hii ina lenga kupunguza msongamano wa watu kwenye taasisi ,hapa computer inakua na uwezo wa kujifunza kila siku
LIST YA SIMU MPAKA SASA (29 DEC 2021)
ZINAZO SUPPORT eSIM Technology
π¨πΏβπ
Kwa ambao watapenda kutumia teknolojia hii mpya 1.Apple
-iPhone XR (model A2105 kuanzia 2018)
-iPhone XS (model A2097 kuanzia 2018)
-iPhone XS Max (model A2101 kuanzia 2018)
-iPhone 11
A2221 kuanzia 2019)
-iPhone 11 Pro (model A2215 kuanzia 2019)
-iPhone SE (model 2020)
-iphone 12 mpaka iphone 13promax
2.Samsung
-samsung galaxy S20 mpaka S22 ambayo itakua released mapema January 2022
-samsung note 20
-samsung note 20ultra 5G
-Samsung Galaxy Fold
-Samsung Galaxy Z Fold2 5G
-Samsung Galaxy Z Fold3 5G
-Samsung Galaxy Z Flip 3.Google pixel
-google pixel 2 mpaka google google pixel 6pro
4.Huawei
-Huawei P40
-Huawei P40 Pro
-Huawei P50 Pro
-Huawei Mate 40 Pro
UJIO WA Teknolojia YA kutotumia tena laini za simu π‘eSIM π¨πΏβπ
Moja kati ya safari fupi sana zilizobaki ni utumiaji wa laini za simu kwa maana ya micro SIM na Nano SIM,
Leo nitakupa uzii kwa lugha nyepesi kabisa upate kuwa na ufahamu juu ya eSIM na faida zake pia
Utofauti wake na SIM cards ,
Kwanza kabisa kirefu cha SIM ni subscriber identity module card ambayo ina uwezo wa kujifadhi namba za simu,IMSA na keys π zake ambazo kwa ujumla husaidia kuwatambua wateja wa mtandao husika !
Sasa tukija upande wa eSIM yenye kirefu cha
Embedded subscriber identity module ikiwa na maana ya intergrated circuits ambazo zmewekwa pamoja kwenye motherboard na inafanya kazi zote ambazo ilitakiwa zifanywe na sim card ya kawaida utofauti wake tu ni kwamba yenyewe itakua rahisi kuweza kubadilisha matumizi ya data
Hivi karibuni kumekua na brand nyingi sana duniani zimeweza kutengeneza TWS earbuds kwa majina tofauti tofauti pia mfano ,
-inpods
-airdots
-macaron
-Airpods
-TWS i..
Brand zote hizo pamoja na utofauti wa majina lakini zote zimela
zimika kutumia Teknolojia ya bluetooth sasa kuna kampuni nyingi duniani ambazo zinatengeneza Bluetooth chipsets models na ni vigumu kuzijua kwa kuziangalia muundo wake wa nje mpaka pale ambapo umezipasua kwa ndani ukiangalia vizuri kwenye PCBA kunakuaga na herufi
Tofauti tofauti zinazomanisha bluetooth chips mfano
A inamanisha Airoha
B inamanisha BES Hengxuan
C inamanisha CSR Qualcomm
Hii ni tofauti na earbuds kutoka. Apple na Huawei ambao wao wana bluetooth chipsets za kutengeneza wao tofauti na hizi popular BT chipsets
ZIJUE AINA ZA SCREEN PROTECTORS ZA SIMU NA UBORA WAKE.π¨πΏβπ
Kuna ka uoga flani hua kanakujia baada ya kuiangusha smartphone yako,hii sio tu inaleta uoga lakini inapunguza thamani ya simu pia lakini haya yote unaweza kuepukana nayo kwa kuchagua screen protector yenye ubora wa kulind
a simu yako
Zifuatazo ni Aina za Protectors nimezipanga kutokana na ubora wake.
1.Tempered glass screen protector
Maana ya glass kua tempered ni glass yenyewe kupitishwa kwenye joto kali na kuchanganywa na kemikali muhimu ambazo zinaongeza uimara wa glass kuhimili mgandamizo
Na mshituko wa aina yeyote so hakukisha unapoenda kununua protector angalia kama ni tempered hua inaandikwa juu ya package yake mfano huu hapa chini na mara nyingi ukipima thickness yake hua zinakua 0.76mm ni protector nzuri sana kulinda simu yako