#TunduLissu asema waliompiga risasi ni Kikosi Kazi (TASK FORCE) cha Ofisi ya Rais (Dr. Magufuli) chini ya aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa DGI-TISS kwa sass Balozi Dr. Kipilimba. @TunduALissu anasema alitarajia Rais @SuluhuSamia ataondokana na kivuli cha Rais JPM.
Bw. Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kikosi kazi hicho kilijumuisha watu wa Usalama wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya na uwindaji haramu (Poaching).
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa Coco beach na maeneo mengine, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho kwa maelezo ya @TunduALissu
Bw. @TunduALissu amesema waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda, Mdude Nyagali (alimaarufu Mdude CHADEMA) na Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
#Tanzania: Mvutano mkali unaendelea kutamalaki miongoni mwa watu binafsi, wanaharakati, wanasiasa, vyama vya siasa na viongozi wa chama tawala na vyama vya upinzani na serikali kuhusu uwezekano wa kupatikana Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kabla ya UCHAGUZI MKUU 2025.
Madai ya Tume Huru yanasukumwa na hoja kwamba uwanja wa shughuli za siasa hauna usawa, bali unaweka mazingira ya kukipa faida zaidi chama tawala, huku kukiwa na madai ya mara kwa mara ya ukiukwaji wa sheria, ukosefu wa uhuru na kuwepo kwa mamlaka makubwa ya Rais juu ya Tume hiyo.
Madai ya Katiba mpya yanasukumwa na dhana kwamba Katiba Mpya ndilo jawabu la mambo mengi yanayolalamikiwa yakiwemo: mfumo wa uendeshaji nchi, madaraka ya Rais, Haki, Usawa, demokrasia, Uhuru wa kufanya siasa, Uhuru wa Mihimili katika kutekeleza majukumu yao na hata Tume Huru.
Cries of victims in Ethiopia and Yemen go unheard as the West focuses on Ukraine.
For the past one month, the entire world has been justifiably horrified by the events in Ukraine. Ever since Russia started its invasion of Ukraine in February 2022… opindia.com/2022/03/victim…
For the past one month, the entire world has been justifiably horrified by the events in Ukraine. Ever since Russia started its invasion of Ukraine in February 2022, thousands have died, and millions have become refugees leaving their homes.
The Western world has acted as one and has imposed strict sanctions on Russia while providing Ukraine with Billions of dollars worth of aid and weapons. Meanwhile, there are other conflicts around the world, including in Ethiopia, Yemen and other places,
Kwa kifupi, mabadiliko hayo yalianza mwaka 1979 yaliyopelekea kuunzishwa na kuingizwa kwenye Katiba Mahakama ya Rufani baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Mabadiliko ya pili yalikuja Mwaka 1980 ambayo yalilenga kupunguza kero mbalimbali za muungano.
Mwaka huo huo kulitokea mabadiliko ya tatu ambayo yalifafanua mfumo mzima wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar, serikali yake pamoja na Baraza la Wawakilishi. Mabadiliko ya nne yalitokea mwaka 1982 yakiwa na kusudio la kuboresha uteuzi wa wakuu wa Mikoa.
Mwaka 1984 yalitokea mabadiliko mengine ya tano na kuingiza tamko la Haki za Binadamu kwenye Katiba ya Mwaka 1977. Mwaka 1990 kulitokea mabadiliko mengine mawili katika nyakati tofauti ya sita na saba na kuanzisha tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC)
Juma Duni Haji: Wapinzani tusipoungana CCM itaendelea kutawala miaka 100 ijayo. Alichoongea @zittokabwe Zitto ndicho @TunduALissu alichoongea na Rais @SuluhuSamia walipokutana nchini Belgium.
Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo.
Mzee Duni amesema alichokiongea Zitto Kabwe pale Dodoma mbele ya Rais Samia ndio hicho hicho alichokiongea Tundu Lisu na Rais Samia kule Ubelgiji hivyo tofauti ni sehemu tu ya kuongelea.
In comparison, the US has 5,428 while France has 290 and the UK has 225.
The Bulletin of the Atomic Scientists says the Russian arsenal includes 4,447 warheads of which 1,588 are deployed on ballistic missiles and at heavy bomber bases.
It says there are an "approximate additional 977 strategic warheads, along with 1,912 nonstrategic warheads" being held in reserve.
Rais wa Belarus Alexander Lukashenko amejipa madaraka zaidi katika kura ya maoni iliyofanyika siku ya Jumapili.
Tume ya uchaguzi mjini Minsk ilisema asilimia 65 ya watu walipiga kura katika zoezi hilo, wakiridhia mabadiliko ya katiba huku asilimia 10 ikipinga hilo.
Mabadiliko ya katiba yananuiwa kumpa rais Lukashenko aliyeiongoza Belarus tangu mwaka 1994, muda zaidi madarakani na kumuhakikishia kinga ya maisha dhidi ya kufunguliwa mashitaka pindi atakapoondoka madarakani na kuachana na siasa.
Mabadiliko hayo ya katiba pia yataridhia wanajeshi wa Urusi na silaha za nyuklia kuwepo nchini Belarus katika siku za usoni.