DONDOO KUHUSU UGONJWA WA MONKEYPOX
1️⃣ Virusi wa Ugonjwa huu huishi kwa wanyama jamii ya nyani 🐒,panya 🐀 na kindi 🐿
2️⃣ Kuenea kwa ugonjwa
✅ Ugonjwa huenezwa kwa kugusa mnyama aliethirika na ugonjwa huu🐒➡️ 🚶♂️
✅au kwa njia ya hewa, kugusana, kupitia pua, macho na mdomo 🧍♀️➡️🚶♂️
3️⃣DALILI ZA UGONJWA
✅Homa 🤒
✅Vipele vinavyoweza kuwa na majimaji hasa usoni, viganjani na nyayoni
✅Uchovu 😰
✅Maumivu ya kichwa
Kawaida ugonjwa si mkali na hufanana na tetekuwanga japo kwa watoto wachanga na watu wenye magonjwa sugu huweza kuwa mkali na kusababisha kifo
⚠️TAHADHARI
Hakuna mgonjwa wa Monkeypox aliyewahi kugundulika #Tanzania
🛑Hatua za kujikinga;
✅Kutogusa au kula mzoga au mnyama anaeumwa au masalia yake
✅Nyama inashauriwa ipikwe na iive vyema.
🎗UNAKUMBUSHWA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI ZA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA NA YA MLIPUKO
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Kutokana na taarifa hiyo, @wizara_afyatz inawatahadharisha wananchi kujikinga na madhara ya kiafya yanayoweza kusababishwa na hali hii.
Hizi ni dondoo 5️⃣ za kulinda afya yako katika kipindi cha baridi kali.
2/7
1️⃣ Hakikisha unasitiri mwili wako dhidi ya baridi. Vaa nguo zinazkhifadhi joto vizuri, watoto wadogo wasaidie kujisitiri vizuri ikiwa na kupata uangalizi wa mara kwa mara nyakati za usiku kuhakikisha wamejifunika vizuri.
1️⃣ Pombe huzuia (inhibit) enzymes (vimeng’enya) wanaopunguza ukali wa dawa inapoingia mwilini kufanya kazi yake. Hii hupelekea kiwango cha dawa kuendelea kuwa kikubwa mwilini na kuleta athari katika viungo muhimu kama ini na figo.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI KUWAKINGA WATOTO DHIDI YA MAJERAHA NA AJALI #Thread
📸 Hisani ya Mtandao
1️⃣ AJALI NYUMBANI 🏠
Ajali nyingi nyumbani zinazuilika kwa wazazi na walezi kuwasimamia watoto na kuwa waangalifu na kuyaweka mazingira katika hali ya usalama. 1/8
2️⃣ AJALI ZA BARABARANI 🚗🚴♂️
Watoto walindwe maeneo ya barabarani 🛣🚦na wafundishwe kutocheza karibu na barabara au kuwa na mtu mzima 🚸 muda wote wakiwa karibu na au wanapovuka barabara. 2/8