Elimu ya Afya kwa Umma Profile picture
Official page for Health Promotion Section in Ministry of Health - 🇹🇿
Jun 20, 2022 7 tweets 3 min read
DONDOO MUHIMU ZA KULINDA AFYA KATIKA MSIMU WA BARIDI KALI

Mamlaka ya Hali ya hewa nchini @tma_services imetangaza kuongezeka kwa vipindi vya baridi katika saa 24 zijazo.

Mathalani mkoani Mbeya jotoridi 🌡 linakadiriwa kushuka mpaka nyuzi joto 4°C 🥶.

#thread 1/7 Kutokana na taarifa hiyo, @wizara_afyatz inawatahadharisha wananchi kujikinga na madhara ya kiafya yanayoweza kusababishwa na hali hii.

Hizi ni dondoo 5️⃣ za kulinda afya yako katika kipindi cha baridi kali.

2/7
Jun 19, 2022 5 tweets 3 min read
EPUKA KUCHANGANYA MATUMIZI YA POMBE NA DAWA.
.

Je, ni kwanini haishauriwi kuchanganya matumizi ya pombe na dawa?!

#thread Shuka nayo ⏬ 1/5

swahilitimes.co.tz/2022/06/afarik… Tunatoa pole kwa familia iliyopoteza uhai wa mpendwa wao kutokana na kunywa pombe wakati akiwa kwenye dozi ya dawa kwa ajili ya matibabu.

#SafetyFirst #alcohol #medication

2/5
Jun 2, 2022 12 tweets 5 min read
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI KUWAKINGA WATOTO DHIDI YA MAJERAHA NA AJALI
#Thread
📸 Hisani ya Mtandao Image 1️⃣ AJALI NYUMBANI 🏠

Ajali nyingi nyumbani zinazuilika kwa wazazi na walezi kuwasimamia watoto na kuwa waangalifu na kuyaweka mazingira katika hali ya usalama. 1/8 Image