1️⃣ Pombe huzuia (inhibit) enzymes (vimeng’enya) wanaopunguza ukali wa dawa inapoingia mwilini kufanya kazi yake. Hii hupelekea kiwango cha dawa kuendelea kuwa kikubwa mwilini na kuleta athari katika viungo muhimu kama ini na figo.
3/5
2️⃣ Pia baadhi ya dawa huzuia (inhibit) enzymes zinazomeng'enya pombe na kusababisha pombe kuwepo kwenye ubongo kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara ikiwemo viungo vya mwili (ini) kushindwa kufanya kazi na kusababisha kifo.
4/5
3️⃣ Unywaji wa pombe na dawa huweza kusababisha kuongeza kasi ya maudhi madogomadogo yanayosababishwa na matumizi ya dawa ikiwemo kutapika, kichwa kuuma, kuathiri upumuaji (slow breathing), kuvuja damu ndani kwa ndani, kizunguzungu, vidonda vya tumbo na hata kupelekea kifo.
5/5
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Kutokana na taarifa hiyo, @wizara_afyatz inawatahadharisha wananchi kujikinga na madhara ya kiafya yanayoweza kusababishwa na hali hii.
Hizi ni dondoo 5️⃣ za kulinda afya yako katika kipindi cha baridi kali.
2/7
1️⃣ Hakikisha unasitiri mwili wako dhidi ya baridi. Vaa nguo zinazkhifadhi joto vizuri, watoto wadogo wasaidie kujisitiri vizuri ikiwa na kupata uangalizi wa mara kwa mara nyakati za usiku kuhakikisha wamejifunika vizuri.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI KUWAKINGA WATOTO DHIDI YA MAJERAHA NA AJALI #Thread
📸 Hisani ya Mtandao
1️⃣ AJALI NYUMBANI 🏠
Ajali nyingi nyumbani zinazuilika kwa wazazi na walezi kuwasimamia watoto na kuwa waangalifu na kuyaweka mazingira katika hali ya usalama. 1/8
2️⃣ AJALI ZA BARABARANI 🚗🚴♂️
Watoto walindwe maeneo ya barabarani 🛣🚦na wafundishwe kutocheza karibu na barabara au kuwa na mtu mzima 🚸 muda wote wakiwa karibu na au wanapovuka barabara. 2/8