Viungo vya ndani na uwezo wa mwili ni tofauti na miili yetu
Wanaishi kwenye maji ya Asia ya Kusini-mashariki, wanakaa katika boti yani wanaishi baharini .
Wanauelewa kidogo wa wakati na umri, kalenda, siku za kuzaliwa, na kadhalika.

Ni watu wa Bajau, hebu wajue hapa
Pia wanaitwa "Sea gypsies,"hili kabila ni tofauti na wanadamu wengine wote kwenye sayari ya Dunia.
Inasemekana miili yao ni tafauti na yetu kwa sababu wanauwezo mkubwa wa kukaa ndani yaa maji kwa mda mrefu, zaidi ya dakika 15.

ndani ya siku wanaweza maliza masaa 5 ndani ya maji
pia wanauwezo wa kufika adi futi zaidi ya mia mbili 200 chini ya bahari
Bajau wanaishi katika nyumba zao ambazo zipo mbali na fukwe za bahari ya Philippines Indonesia na malaysia na kikawaida wanaendaga nchi kavu kwa kufanya exchange ya samaki ili wapate vitu vingne au kama kuna
dhoruba kali baharini wanaenda nchi kavu kuomba hifadhi

Utafiti uliochapishwa katika jarida la Cell mwaka 2018 uligundua kuwa watu wa Bajau wana spleen (bandama) kubwa zaidi ya 50% kuliko binadamu wa kawaida wa maeneo ya karibu.

Ki biologia spleen inatumika ku tunza damu yenye
oxygen kwa bajau kua na spleen kubwa kuna wapa uwezo wa kutunza damu yenye oxygen kwa muda mrefu

Uvuvi wao mkubwa wanatumia mikuki na kuwawinda samaki kwa kuogelea
Unaweza angalia video wakiwa wanawinda samaki katika source nyingne kama youtube
kutokana na technology kukua na ushindan mkubwa katika uvuvi bajau wameanza kutumia mbinu nyingne katiks uvuvi kama kutumia milipuko.

Turn on post notification kupata kila thread ntakayo post
#BelisANinja

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Rare Breed nigga🧬

Rare Breed nigga🧬 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @bel_is_A_ninja

Jan 27, 2020
Bologna na Modena ni Miji iliyopo
Kaskazini mwa Italia. Mwaka 1325 watu
wa Miji hii waliingia katika Vita kali
iliyodumukwa zaidi ya Miaka 300, Kisa
kilikuwa ni Kuibiana Ndoo hii Pichani!. Hii
ni moja kati ya Vita zenye sababu za Ajabu
Kuwahi kutokea. Inaitwa "Vita ya Ndoo." Image
Vita hii yenye sababu ya kushangaza ilianza
kupigwa mwaka huo wa 1325 huku eneo la mapigano likiwa
ni huko Emilia-Romagna kaskazini mwa Italia. Walipigana kwa
zaidi ya miaka 300 kabla ya watu wa mji wa Madena
kushinda vita!. Madena ndio walioiba ndoo, na ndio
walioshinda vita.
Inaelezwa kuwa ndoo hii mpaka leo hii bado
ipo nchini Italia.
Sababu kubwa ya vita hii haikuwa kuibiana ndoo, Ndoo
ilikuwa ni kama kasababu kadogo tuu kalikokuwa
kanasubiriwa ili walianzishe. Ni sawa na unavyokuwa
unamchukia mtu, sasa unasubiri kasababu kadogo tuu
ulianzishe!..
Read 9 tweets
Jan 25, 2020
Anaitwa 'Sibusiso Mthembu' Raia wa
Afrika Kusini. Mwaka 2012 Alidai kuwa
Alikuwa Amefika Mbinguni Mara nne
Kupitia Malaika Aliyekuwa Akimchukua
Usiku. Akasema kuwa Alikutana na
Yesu, na Alifanikiwa Kuchora Ramani ya
Mbinguni, Ndiyo hiyo Pichani...
Ilikuwa ni mwaka 2012 wakati Sibusiso Mthembu
raia wa Inanda, Kwazulu-Natal, Afrika kusini akiwa na umri
wa miaka 64, alijotokeza hadharani na kusema kuwa
amekuwa akifika mbinguni mara kadhaa na huko alikuwa
amefanikiwa kuchora ramani.
Sibusiso alisema kuwa mara ya kwanza kwenda
mbinguni
ilikuwa ni mwaka 1998, na baadae anasema alitembelea tena
miaka ya 2004, 2006 na 2008. Anasema kuwa yote ilianza
mwaka 1993 ambapo alianza kuota kuwa anatokewa na
malaika mweupe aliyekuwa akimwambia kuwa anahitajika
mbinguni. Alikubali, na baada ya kwenda huko mara
Read 7 tweets
Dec 15, 2019
Roy sullivan alipigwa na radi mara 7 katika maisha yake 1942-1977 na zote hazikumuuwa wakawa wanamwita “human lighting conductor”.
1. Mpigo wa kwanza wa Sullivan ulitokea mnamo Aprili 1942. Alikuwa amejificha kutoka kwa dhoruba katika mnara wa moto . Mnara ulikuwa umejengwa mpya na haukuwa na fimbo ya kupitisha radi wakati huo;mnara ulipigwa mara saba au nane.
Ndani ya mnara,
"moto ulikuwa unaruka kila mahali". Sullivan akatoka nje umbali wa mita chache akapigwa na radi na hii ndo ilikua mbaya zaidi kuliko pigo zote Ilimchoma ya nusu-inchi pande zote mguu wake wa kulia, ikagonga vidole vyake, na kuacha shimo kwenye kiatu chake.
Read 10 tweets
Dec 3, 2019
Mwaka 2001 'Armin Meiwes' wa
Germany Aliweka Tangazo Mtandaoni
kuwa Anahitaji Mwanaume mmoja
Mwenye Afya wa Umri wa Miaka 18-30
ili Amle Nyama!, Alimpata, Akamla,
Alianza Kula Uume, Nyama nyingine
Akaihifadhi Kwenye Fridge.
Soma mkasa mzima⬇️
Armin Meiwes (39) Mtaalamu
wa Computer Mkazi wa Rotenburg Karibu na
Frankfurt Germany, Mwaka 2001 Alikula
Nyama ya Binadamu mwenzie Bernd
Brandes wa Umri wa Miaka 42 Mtaalamu wa
Majengo (Mhandisi) na Kuifukia Mifupa
Bustanini.
Inaelezwa Armin Alianza Kuchanganyikiwa
sana baada ya Kumpoteza mama yake mzazi
mwaka 1999 na hapo Alianza Kuvuta bangi,
Kunywa Pombe kali kwani Mama yake
Alikuwa Kila kitu kwake, Baada ya Mama
yake Kufariki Akawa Anaishi peke yake
kwenye Nyumba Kubwa yenye Vyumba 44.
Mwaka 2001 Armin Aliweka Tangazo kwenye
Mitandao..
Read 10 tweets
Nov 30, 2019
Dumas Beach ni Ufukwe wa Bahari
(Beach) wa KM. 2 Uliopo Magharibi
mwa INDIA, Mchanga wake ni Mweusi!,
Ikifika Jioni Mchanga huo Huwa
Unatembea, Ni Hatari sana Kutembelea
Nyakati za Usiku, Inaelezwa Lilikua ni
Eneo la Kuzikia hapo Kale
Full story ⬇️⬇️
Ufukwe huu wa Bahari wa
Dumas Beach' Wenye Ukubwa wa KM.2 Upo
Katika Bahari ya Arab (Arabian Sea) Nchini
India KM.21 Kusini Mashariki mwa Mji wa
Surat Magharibi mwa INDIA. .
Beach hii Imekua Maarufu sana Duniani
Kutokana na Vitendo Visivyo vya Kawaida
Vinavyoelezwa Kufanyika..
katika Beach hiyo
Mida ya Usiku Kama Vile Mchanga wake
Kutembea Ikifika Jioni n.k, Kwanza Hata
Mchanga Wenyewe katika Beach hi ni
Mweusi!.
Wanasema Pia Nyakati za Usiku kuna Sauti
za Ajabu Husikika, Pia husikika Sauti za
Hatua za Watu Kama Wakifanya Shughuli
fulani Ktk Eneo hilo,
Read 8 tweets
Nov 15, 2019
Majengo Haya ya Maonyesho
ya Kihistoria Yaliyopo URUSI Yalianzishwa
Mwaka 1764 na Kwa Mara ya Kwanza
Yalifunguliwa Mwaka1852, ni Maonyesho ya
Pili kwa Ukubwa Duniani Nyuma ya 'The
Louvre Museum' ya Ufaransa Yalioanzishwa
Mwaka 1793. .
Kila December 7 ya Kila Mwaka
Kunasheherekewa
Kunasheherekewa Sikukuu ya Kuanzishwa
Kwa Makumbusho Haya ya 'Hermitage
Museum' Huko URUSI. .
Inaelezwa Kuwa Katika Majengo Haya Kuna
PAKA Maalumu Wenye Vitambulisho Vyenye
Passports na Wanalipwa Mishahara Kwaajili
ya Kuhakikisha Hakuna PANYA yoyote
Atakaekatiza Humo Ndani..
na Kuna Watu
Watatu Maalumu Walioajiriwa Kwaajili ya
Kuwasimamia na Kuwahendo PAKA Hao..
Kwa Mujibu wa Mmoja wa Wasimamizi wa
PAKA hao 'Maria Khaltunen' Mwaka 2010
Alisema Japo Mahitaji ya Makumbusho Haya
Yalikuwa ni Paka 50, Lakini Walikuwa na
Jumla ya Paka 60. .
Read 8 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(