My Authors
Read all threads
Anaitwa 'Sibusiso Mthembu' Raia wa
Afrika Kusini. Mwaka 2012 Alidai kuwa
Alikuwa Amefika Mbinguni Mara nne
Kupitia Malaika Aliyekuwa Akimchukua
Usiku. Akasema kuwa Alikutana na
Yesu, na Alifanikiwa Kuchora Ramani ya
Mbinguni, Ndiyo hiyo Pichani...
Ilikuwa ni mwaka 2012 wakati Sibusiso Mthembu
raia wa Inanda, Kwazulu-Natal, Afrika kusini akiwa na umri
wa miaka 64, alijotokeza hadharani na kusema kuwa
amekuwa akifika mbinguni mara kadhaa na huko alikuwa
amefanikiwa kuchora ramani.
Sibusiso alisema kuwa mara ya kwanza kwenda
mbinguni
ilikuwa ni mwaka 1998, na baadae anasema alitembelea tena
miaka ya 2004, 2006 na 2008. Anasema kuwa yote ilianza
mwaka 1993 ambapo alianza kuota kuwa anatokewa na
malaika mweupe aliyekuwa akimwambia kuwa anahitajika
mbinguni. Alikubali, na baada ya kwenda huko mara
kadhaa
akawa anachora ramani ya huko. Alikuwa nayo.
Kulingana na Maelezo yake, anasema kuwa kuna mbingu 11
kwaajili ya binadamu, na yeye alichukuliwa na kupelekwa
katika mbingu ya tano. Mbingu ya kwanza anasema inaitwa
Criata, anadai kuwa alikutana na Yesu katika mji wa Sharmoy.
Mbingu kuu ni Salem ambako ndiko Mungu anapatikana.
Sibusiso aliendelea kusema kuwa, alipoenda mara ya pili
mwaka 2004 ndipo alipokutana na Yesu, ilikuwa katika sayari
ya Jadelam ambayo imefunikwa kwa barafu zito. Anasema
kuwa alikutana na Musa, Eliya na Abeli. Alifika katika mji
wa
Marhnode ambako huko ndipo binadamu akifa huenda
kufufuka na kuendelea kuishi..
"Ramani bado haiko tayari, lakini siku moja watu kutoka
China, Japan au Uingereza watakuja hapa kuangalia ramani,
na kisha wataenda kuchora yao na watu kusahau kabisa
kama mchoraji halisi wa ramani
hiyo ni mimi kutoka Afrika
kusini. Naandika riwaya pia." Kwasasa Sibusiso ana umri wa
miaka 73.

Weitten by #FmFacts
#BelisANinja
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Rare Breed nigga🧬

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!