My Authors
Read all threads
Mwaka 2001 'Armin Meiwes' wa
Germany Aliweka Tangazo Mtandaoni
kuwa Anahitaji Mwanaume mmoja
Mwenye Afya wa Umri wa Miaka 18-30
ili Amle Nyama!, Alimpata, Akamla,
Alianza Kula Uume, Nyama nyingine
Akaihifadhi Kwenye Fridge.
Soma mkasa mzima⬇️
Armin Meiwes (39) Mtaalamu
wa Computer Mkazi wa Rotenburg Karibu na
Frankfurt Germany, Mwaka 2001 Alikula
Nyama ya Binadamu mwenzie Bernd
Brandes wa Umri wa Miaka 42 Mtaalamu wa
Majengo (Mhandisi) na Kuifukia Mifupa
Bustanini.
Inaelezwa Armin Alianza Kuchanganyikiwa
sana baada ya Kumpoteza mama yake mzazi
mwaka 1999 na hapo Alianza Kuvuta bangi,
Kunywa Pombe kali kwani Mama yake
Alikuwa Kila kitu kwake, Baada ya Mama
yake Kufariki Akawa Anaishi peke yake
kwenye Nyumba Kubwa yenye Vyumba 44.
Mwaka 2001 Armin Aliweka Tangazo kwenye
Mitandao..
yake Akiandika kuwa "Seeking
Well-Built Man, 18-30 Years Old for
Slaughter." Akiwa na maana Kuwa
Anamtafuta Mtu Aliyejengeka vizuri waa Kati
ya Umri wa 18-30 ili Amle.
Licha ya Watu wengi kucomment katika Post
hiyo, Comment ya Bernd ilishtua kidogo
kwani Aliandika...
"I offer myself to you and will
let you dine from my live body. Not butchery,
dining! Whoever REALLY wants to do it will
need a REAL VICTIM!" Akimaanisha Kuwa
Yuko tayari Kumpa Mwili wake Uliwe Nyama,
Baadae Akamfuata inbox na Kujitambulisha
"Young well-built man, who wanted to
be
eaten". .
Walikubaliana Kukutana March 9, 2001,
Armin Alikuwa anaishi Rotenburg na Bernd
Alikuwa akiishi Berlin, ni Umbali wa Km 533,
Mwendo wa Masaa 8 kwa Gari. Inaelezwa
toka Bernd Atoke kumfata huyo Mlaji,
Hakurudi tena, Aliliwa nyama.
Inaelezwa Kabla ya Kuondoka Bernd
Aliuza
Kila kitu Kuanzia Mali zake Hadi Gari yake na
Akakata ticket ya Ndege Kumfata Mlaji
ambaye Walikutana nje ya Kituo cha Treni
Katika Mji wa Kassel Germany, Walinunua
Dawa za Kupoteza Maumivu (Ganzi) na
Kisha Kuelekea nyumbani kwa Jamaa.
Mwanzo Bernd Alitaka Aghairi na Kurudi
Nyumbani, Lakini Baadae Akanywa dawa
zote na Akasema "Now do it", Jamaa
Akaanza kumla Uume na Baadae Kuendelea
na Sehemu nyingine za Mwili huku
Akijirekodi Ambapo nyama Nyingine Kg 30
Aliikata na Kuihifadhi katika Friji.
Baada ya Miezi 3
Nyama yote akawa
Amekula Imeisha, Akarudi Mtandaoni tena
Kutafuta Mtu mwingine wa kumla Nyama
ambapo Akajieleza kabisa kuwa Ametoka
Kumalizia Nyama ya Bernd siku chache tuu
Nyuma.

Nikipata muendelezo wake ntaweka katika pinned tweet
#Retweet watu wasome mkasa huu
#BelisANinja
Age 58*
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Rare Breed nigga🧬

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!