Watatu Maalumu Walioajiriwa Kwaajili ya
Kuwasimamia na Kuwahendo PAKA Hao..
Kwa Mujibu wa Mmoja wa Wasimamizi wa
PAKA hao 'Maria Khaltunen' Mwaka 2010
Alisema Japo Mahitaji ya Makumbusho Haya
Yalikuwa ni Paka 50, Lakini Walikuwa na
Jumla ya Paka 60. .
PAKA 74 Waliokuwa na Vitambulisho,
Walikuwa na jiko lao la Kuwaandalia Chakula
Pamoja na Hospitalu yao Ndogo ya Kuwatib
Wanapougua na Wanalipwa Mishahara Kwa
Kazi hiyo, Mishahara Yao Ndio Huwasaidia
Kupikiwa Chakula, Kutibiwa n.k..
PAKA hao Walikuwa Wakilipwa Jumla ya
€400 (Tshs.1M) Kwa Kila Mwezi Mmoja Saw
na Tshs.13,500/= Kwa PAKA Mmoja kwa Kil
Mwezi kwa Paka hao 74. .
Historia ya PAKA Hao llianzia Tangu Karne
18 Ambapo Mwanzilishi wa Makumbusho
Hayo..
Alipohitaji Kuwe na PAKA Kuhakikisha
Hakuna PANYA Katika Majengo Hayo
Muhimu Katika Historia Utamaduni Ambao
Unaendelea Hadi Leo, PAKA Akifa Huletwa
Paka Mpya. .
Kwa Mujibu wa Mtandao Wao wa
hermitagemuseum.org