Dumas Beach' Wenye Ukubwa wa KM.2 Upo
Katika Bahari ya Arab (Arabian Sea) Nchini
India KM.21 Kusini Mashariki mwa Mji wa
Surat Magharibi mwa INDIA. .
Beach hii Imekua Maarufu sana Duniani
Kutokana na Vitendo Visivyo vya Kawaida
Vinavyoelezwa Kufanyika..
Mida ya Usiku Kama Vile Mchanga wake
Kutembea Ikifika Jioni n.k, Kwanza Hata
Mchanga Wenyewe katika Beach hi ni
Mweusi!.
Wanasema Pia Nyakati za Usiku kuna Sauti
za Ajabu Husikika, Pia husikika Sauti za
Hatua za Watu Kama Wakifanya Shughuli
fulani Ktk Eneo hilo,
Wakicheka au Kulia na Inaelezwa Kuwa ni
Hatari sana Kwenda Katika Beach hii mida ya
Jioni Baada ya Jua Kuzama.
Ripoti Mbalimbali Zinasema Kwamba Kuna
Watu kadhaa Wameshawahi Kupotea
wasijulikane Walipo hadi leo Baada tuu ya
Kutembelea Beach hiyo Mjira ya Jioni,
inaelezwa kuwa Kuna Maiti Moja ya Mtu
Imewahi Kukutwa Katika Ufukwe huu ikiwa
Imechomolewa Ulimi!. .
Wenyewe Wanasema kuwa Wakati wa
Mchana Panaitwa God's Home na Wakati wa
Usiku inakuwa Devil's Home, Wanadai
Kwamba Inawezekana Hayo yote Yanatokea
Kutokana na Eneo la Beach
ni Sehemu ya Kuzika ya Watu wa Jamii ya
Wahindu Katika Miaka ya Kale.
Mchanga Katika beach hii ni Mweusi, Watu
wa Karibu na Maeneo hayo Wanaamini
kwamba Umekua Mweusi Kutokana na
Mchanganyiko wa majivu ya Miili ya Watu
Waliokuwa Wakizikwa kwa Kuchomwa moto
hapo